Dickson Lyimo Profile
Dickson Lyimo

@DicksonLyimo6

Followers
1K
Following
2K
Media
2K
Statuses
10K

UDSM Alumn, C.E.O of @diiboss_tz Tanzania Athlete,Fear of God. For business πŸ“ž|WhatsApp 0762019556 Comedian, Runner Chelsea Fun

Joined December 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
2 hours
Kumekucha,Mungu akawape tena nguvu na mafanikio wiki hii. Jumatatu njema.
0
0
0
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
17 hours
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
0
0
0
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
18 hours
Nipate mbege sasa
Tweet media one
5
1
10
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
21 hours
Leo nimefurahi nimesali Misa Takatifu Parokia niliyobatiziwa nikiwa mdogo na kukulia hapo kiimani.Tumsifu Yesu Kristu.
0
0
4
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
2 days
Tweet media one
1
0
0
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
2 days
Jama kafariki lini?.Erick David Nampesya. Moja ya manguli kwenye Tasnia ya habari aisee. Mungu akupe pumziko la amani.
Tweet media one
0
0
0
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
2 days
Kwa njia sasa kuelekea kwa Mama na Baba Dickson.Nikifika home naenda kuongea na wazee kuhusu okitoba ili waelewe bila #NorefomsNoelection hatutiki ukoo mzima
Tweet media one
2
2
9
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
3 days
Unapiga za usoni mnoo sikuhizi kaka.
@TitoMagoti
Tito Magoti
3 days
Mtu hana mashavu alafu anakwambia amepulizia gesi ikajaa. Inachekesha sana.
Tweet media one
1
0
4
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
3 days
Yani huyu ni wale wanatumia madhabahu kuiba alafu wanarudi kukisafishia madhabahu hiyo hiyo na kujigamba na alivyoiba.
@TitoMagoti
Tito Magoti
3 days
Nigga isn’t a pastor but rides on a bandwagon of dense devotees to whom he sells hopes and fake miracles. A proper conman of his generation.
1
0
4
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
4 days
Wale vijana wa pesa,pombe na nyama za bure wapo barabarani hii ni ishara ya ule msemo wa Waswahili usemao. ukiona mbuzi anazurura mjini ujue mwenyewe yupo karibu.
0
0
0
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
4 days
Babalevo anamcheka ZKπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅.@mackphason njoo ucheke
Tweet media one
2
0
2
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
4 days
Kaaa kwa kutulia kakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
@Mkushiiii
Mkushi
4 days
Kumbe ukioa usiku lazima uiombe tena, Mbona hamkusema sasa? πŸ₯ΊπŸ’”.
1
0
1
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
4 days
Ukiskia kuna dili naskilizia nakuwekea pesa yako tuma namba fasta ndio hili sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅.
@Thereal_taivina
Taivina James
4 days
Mwanetu amepata Kimeo cha Ghafla Dk za Jioooooniiiiii.
Tweet media one
0
0
1
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
4 days
Lema anakakama flani hivi ni vile watu hatumzingatiagi sana ujue 🫒
Tweet media one
0
0
1
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
4 days
Leo nina PAWA hii ng'ombe imesepa ili tutesa kwa namna moja ama nyingine ilale tu.
@IAMartin_
Martin Maranja Masese
5 days
β€œutapambana na spika kweli? Naweza kukupiga marufuku kuongea humu na miaka yako yote ikaisha na hakuna pa-kwenda. Hakuna cha swali. Hakuna cha nyongeza. Hakuna kuongea chochote ndani ya Bunge. Utanifanya nini? Pambana na kitu kingine siyo Ndugai.” - Job Ndugai, 13 Septemba 2017
0
0
0
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
5 days
Wa**nge wamefunga mpaka komenti tusitoe pole zetu manina🫡🫡🫡.
@bunge_tz
Bunge la Tanzania
5 days
TANZIA
Tweet media one
0
0
1
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
5 days
Nimefurahi kusepa kwake mnoo ,ila kafa bila kujua nyuma ya pazia kuhusu hili la hawa ng'ombe 19. hili pekee ndio litaniuma.Nilitamani siku aliseme hili ukweli ujulikane ila alale anakostahili sasa.
@mackphason
Mackphason ΧžΧ§Χ€Χ‘Χ•ΧŸβš½ πŸ‡―πŸ‡²
5 days
job products
Tweet media one
0
3
4
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
5 days
Kuna namuna Mungu anatufurahisha yaani mm niseme ukweli sijaumi Ndugu Job kukata moto japo hata Mimi ni njiani siku moja ila kwa leo ni shangwe kwangu.Apumzike anakostahili.
@TitoMagoti
Tito Magoti
5 days
Ndugai alimfuta Tundu Lissu ubunge. Ndugai alimnyima Lissu matibabu. Ndugai aligeuza Bunge genge la kuhalalisha ubatili wa dola. Ndugai was cruel & turned our parliament into a ghetto. He wasn’t worth a title of the Speaker. Apumzike anapostahili, na bado!.
8
14
162
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
5 days
Muda sasa wakumwona Mbowe akitoa kichwa juu ,tuendelee kumwaga maji shimoni watoto wanejitokeza juuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
0
0
4
@DicksonLyimo6
Dickson Lyimo
5 days
RT @iPhone_Usedtz: Google pixel 7Pro. 128GB|Ram 12GB.Blue-sky .Tsh 700,000/= tzs. NB:Mikoani tunatuma malipo.Baada ya kupokea.Exchange & To….
0
45
0