Devota Minja
@DevotaMinja
Followers
20K
Following
85
Media
325
Statuses
1K
Professional journalist ,worked with ITV /Radio one 2002-2015 Former Mp Morogoro region (special seat)https://t.co/vOzwuQOQ8z date vice Chairperson Chaumma.
Morogoro, Tanzania
Joined February 2017
Tunamshukuru Mungu leo 12/8 nikiwa na mgombea Urais mhe Salum Mwalimu Tumechukua fomu Tunakileta kwenu rasmi Chaumma mkiunge mkono tukafanye mabadiliko makubwa ya kupata Katiba mpya na sheria nzuri zitakazolinda Haki za watu .
12
7
52
RT @CatherineRuge: *Matukio ya picha* .Mh.Salum Mwalim Mgombea wa Urais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania akiambatana na Mgombea Mwenza….
0
5
0
RT @CatherineRuge: Kibegi Cha Masela chawasili ZANZIBAR . Hakika ZANZIBAR imeitwa ikaitika .Salum Mwalim Mgombea wa Urais wa Jamuhuri ya mu….
0
4
0
RT @CatherineRuge: Mgombea Uraisi kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA @ChaummaT .Mh.Salum Mwalim, akiambatana na Mgombea mwenza Mh.….
0
6
0
Jana 7/8 Ni siku ya ambayo tumepokea jukumu kubwa la chama chetu la kwenda kupeperusha bendera ya Chaumma ahsanteni wajumbe wa mkutano mkuu kwa imani yenu kubwa kwetu hakika hatutawaangusha katika mapambano haya ya kuipeleka CCM likizo .@ChaummaT
29
8
54
RT @CatherineRuge: @DevothaMinja .Makini na mwenye dhamira ya dhati Mgombea Mwenza wa Urais tuliyemchagua, akiweka mbele maono, ujasiri na….
0
10
0
RT @CatherineRuge: Mkutano Mkuu wa @ChaummaT uliofanyika tar 7/8/2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.#UwakilishiMakini….
0
7
0
RT @MwanzoTvPlus: #BREAKING: CHAUMMA YAMPITISHA SALUM MWALIMU KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Katibu Mkuu wa.@ChaummaT Ta….
0
5
0
RT @ChaummaT: Hadi kufikia tarehe 4 Agosti, hali ya watia nia ilikua kama ifuatavyo. - Wagombea udiwani 2116 (53%).- Wagombea Ubunge 183 (….
0
8
0
RT @IpyanaJr007: Hadi kufikia tarehe 4 Agosti, hali ya watia nia ilikua kama ifuatavyo. - Wagombea udiwani 2116 (53%).- Wagombea Ubunge 18….
0
11
0
RT @IpyanaJr007: Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimemteua Salum Mwalimu kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. @Chaum….
0
7
0
RT @Busara29_: Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimemteua Salum Mwalimu kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #Uwakil….
0
7
0
RT @IpyanaJr007: Tumezungumza na Watanzania juu ya rasilimali zao, wameelewa na kupokea sera zetu. Tumewaonesha namna ambavyo umaskini wao….
0
10
0