
CHAUMMA Tanzania
@ChaummaT
Followers
1K
Following
897
Media
456
Statuses
688
Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) advocating for democracy, the rule of law, accountability, and respect for human rights for the advancement of Tanzania.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2020
Naibu katibu Mkuu Mh.Benson Kigaila Leo 26,August 2025 amechukua ya kugombea Ubunge Jimbo la Kivule. #UwakilishiMakini #Chaumma2025
3
0
15
Mgombea mwenza Mh.Devotha Minja akiambatana na mgombea Uraisi Mh.Salum Mwalim Leo,August 23,2025 amefika kijijini kwao na kupokelewa kwa shangwe. Mara baada ya kufika iliendelea misa ya kumshukuru Mungu. #UwakilishiMakini #Chaumma2025
2
7
26
Mgombea Uraisi Mh.Salum Mwalim akiambata na Mwenyekiti wa Chama Taifa Wakili Msomi Hashimu Spunda Rungwe Leo August 23,2025 wamewasili Mkoa Kilimanjaro kuendelea na Ziara ya Kutafuta wadhamini. #UwakilishiMakini #CHAUMMA2025
1
3
23
Mgombea Uraisi kupitia CHAUMMA Mh.Salum Mwalim Ameendelea na ziara yake ya kutafuta wadhamini Leo August 23,2025 amesalimia wananchi wa Sandala Jimbo la Hai,Mkoani Kilimanjaro . #UwakilishiMakini .#CHAUMMA2025
1
5
25
RT @DevotaMinja: Namshukuru Mungu leo nitapokelewa katika ardhi niliyozaliwa kijiji cha Rauya Marangu Kilimanjaro ahsanteni wazazi wangu nd….
0
13
0
RT @Busara29_: Hatupoi, hatuboi. CHAUMMA Leo, tumewasili Karatu, Manyara kuendelea na safari ya kusaka wadhamini wa Mgombea Urais @Chaumma….
0
4
0
RT @Busara29_: Msafara wa mabadiliko umeingia Karatu, Manyara. Zoezi la wadhamini linaendelea kwa nguvu, wananchi wakipaza sauti zao kwa #U….
0
3
0
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHAUMMA, Mh. Salum Mwalim leo Agosti 22, 2025 ameendelea na ziara ya kutafuta wadhamini wilayani Karatu, mkoa wa Arusha . Katika ziara hiyo, amefungua rasmi Ofisi mpya ya Chama wilaya Karatu. #UwakilishiMakini
3
5
22
RT @Busara29_: Mgombea Urais wa JMT kupitia @ChaummaT, Mh. Salum Mwalimu na Mgombea Mwenza Mh. Devotha Minja wakiendelea na ziara ya kusaka….
0
6
0