
TCRA Consumer Consultative Council (TCRA CCC)
@ConsumerCcc
Followers
3K
Following
79
Media
943
Statuses
1K
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano ni chombo kilichoundwa kisheria chini ya Kifungu cha 37 cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano
Dar Es Salaam
Joined December 2019
USISAMBAZE TAARIFA ZA UONGO WALA ZENYE KUZUSHA TAHARUKI KWA JAMII. DELETE MARA MOJA NA EPUKA KUSAMBAZA KWA MTU MWINGINE. @TZMsemajiMkuu .@MsigwaGerson .@wizaramth
0
0
0
Chukua Tahadhari, . Usisambaze taarifa usizokuwa na uhakika nazo kwani ni kinyume na Sheria za Nchi. #KuwaSmart.#HudumaBoraYaMawasilianoNiHakiYako. @MsigwaGerson .@TZMsemajiMkuu .@wizaramth
0
0
1
Hakiki usajili wa laini zako l za simu sasa. #SITAPELIKI.#KuwaSmart.#HudumaBoraYaMawasilianoNiHakiYako
0
2
3
#SITAPELIKI. Mawasiliano kati ya Mtoa huduma za mawasiliano na mtumiaji ni namba 100 Pekee. Kama sio namba 100 Potezea!. #KuwaSmart.#HudumaBoraYaMawasilianoNiHakiYako
0
0
0
#SITAPELIKI. Endapo utapokea ujumbe wenye kiashiria cha utapeli; Tuma neno UTAPELI kwenda namba 15040 kisha utapokea ujumbe utakao kutaka utume namba iliyokutumia ujumbe huo kwenda namba 15040 Jeshi la Polisi watachukua hatua. #KuwaSmart.#HudumaBoraYaMawasilianoNiHakiYako
0
0
0