
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia yaHabari
@wizaramth
Followers
16K
Following
3K
Media
3K
Statuses
4K
Akaunti hii inatoa habari /taarifa Mbalimbali za Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Dodoma, Tanzania
Joined December 2020
Mkutano huo uliozikutanisha nchi za Afrika kujadili mustakabali wa Afrika ya kidijiti. #AfIGF2025 #AfricaIGF #enhancingafricasdigitalfuture.
0
0
1
uliozikutanisha nchi za Afrika kujadili mustakabali wa Afrika ya kidijiti. #AfIGF2025 #AfricaIGF #enhancingafricasdigitalfuture.
0
0
1
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.) akifungua Mkutano wa 14 wa Jukwaa la Afrika la Utawala wa Mtandao (AfIGF 2025), Mei 30, 2025, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. #AfIGF2025
0
0
5
Hafla ya ufunguzi wa Jukwaa la 14 la Utawala wa Mtandao Afrika (AfIGF 2025), Mei 30, 2025, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. #AfIGF2025 #AfricaIGF #enhancingafricasdigitalfuture
0
2
7
Mei 28, 2025, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. #IGF2025 #AfricaSchoolOfInternet.
0
0
1
Kuelekea jukwaa la wadau wa Utawala wa mtandao barani Afrika(AfIGF) Mkurugenzi wa Tume ya Tehama Tanzania Dkt. Nkundwe Moses Mwasaga atashiriki kama msemaji katika jukwaa hilo. #AfIGF2025 #MtandaoAfrika #Kidijitali #TanzaniaYaKidijitali #UtawalaWaMtandao
0
0
2
BADO SIKU 2!.Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF).Tarehe: Mei 29 - 31, 2025.Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania.Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika. #AfIGF2025 #MtandaoAfrika #Kidijitali #TanzaniaYaKidijitali
0
0
1
BADO SIKU 2!.Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF).Tarehe: Mei 29 - 31, 2025.Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania.Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika. | #AfIGF2025
0
2
4
BADO SIKU 6!.Jiandae kwa Mkutano Mkuu wa 14 wa Afrika wa Jukwaa la Utawala wa Mtandao (AfIGF).Tarehe: Mei 29 - 31, 2025.Mahali: JNICC, Dar es Salaam, Tanzania.Kaulimbiu: Kuwezesha Mustakabali wa Kidijitali wa Afrika. #AfIGF2025 #MtandaoAfrika #Kidijitali #TanzaniaYaKidijitali
1
0
2