baynit1999 Profile Banner
Marcel Profile
Marcel

@baynit1999

Followers
293
Following
1K
Media
12
Statuses
724

Entomology| Pests management| Zoology | Agri-based pests studies| Young africans | Chelsea

shambani
Joined August 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@baynit1999
Marcel
11 months
Leo nimemaliza kuangalia episode ya mwisho ya series bora kabisa ya "the good doctor".Ni miaka saba yenye seasons saba zenye historia kubwa. Hii movie imetupa kila kitu, tunashukuru.
0
1
9
@baynit1999
Marcel
3 days
Ateba.
@Afrika_Stories
Afrika Stories
3 days
What do you call it in your language
Tweet media one
1
0
0
@baynit1999
Marcel
3 days
Hamna kitu inakuwaga ngumu kama kuwaelezea watu kwamba kwenye hayo mamia ya hizo division 1 zote haumo, kwenye two pia haumo ila kwenye kumi na tatu tu wa mwisho ndo umo.
Tweet media one
0
0
0
@baynit1999
Marcel
7 days
Mwenyezi Mungu hujua zaidiโค๏ธ.
@millardayo
millardayo
7 days
BREAKING!.Mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota, ameripotiwa kufariki dunia katika ajali mbaya ya gari iliyotokea nchini Hispania, karibu na eneo la Zamora, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo na kwa mujibu wa shirika la habari la EFE la Hispania, ajali
Tweet media one
0
0
3
@baynit1999
Marcel
8 days
RT @the_beardedsina: Please Vaccinate your Dogs and Pets. Sadly, once the symptoms of Rabies starts. There is no cure . .
0
2K
0
@baynit1999
Marcel
8 days
Natamani nipate muda nipitie kama kuna articles zinaelezea jinsi mtu anajisikia akiwa kwenye hii hali. Uoga unaoupata kugundua kwamba unakufa.
@the_beardedsina
The_Bearded_Dr_Sina
10 days
Please Vaccinate your Dogs and Pets. Sadly, once the symptoms of Rabies starts. There is no cure .
0
0
3
@baynit1999
Marcel
9 days
Simba ya msimu huu imetukumbusha kuwa unapofanya kazi kwa juhudi sio guarantee ya wewe kufanikiwa.
1
0
5
@baynit1999
Marcel
15 days
This is pacome zouzoua appreciation post.
Tweet media one
Tweet media two
0
0
2
@baynit1999
Marcel
16 days
Vidole vimeoza?๐Ÿค”. Hapana,. Hivyo sio vidole,. Ni aina ya fungus anayeota kwenye miti aitwaye Xylaria polymorpha. Common name ni dead man's fingers.
Tweet media one
0
0
2
@baynit1999
Marcel
17 days
Anaitwa quokka,.Huyu ndo mnyama mwenye furaha zaidi duniani. Akiona kamera tu anaweka pozi halafu anacheka. Hapendagi stress,.Akiwa na mtoto halafu ghafla akakutana na simba, atamrushia simba yule mtoto halafu yeye atasepa. Mtoto afe, mama apone, furaha iendelee ๐Ÿ˜
Tweet media one
0
0
0
@baynit1999
Marcel
23 days
We jamaa๐Ÿ˜‚.
@Ngafocus
Helter Skelter
23 days
@iamjatello1 Wewe unaweza enda bana inaonekana umeteseka sana.
0
0
0
@baynit1999
Marcel
1 month
Ahmed ally hamna kitu ameongea hapo, kapasuka vibaya sana.
@CharlieBihemo
๐Ÿฆ๐ ๐ˆ ๐‡ ๐„ ๐Œ ๐Ž โ„ข
1 month
Ahmed Ally kampasua Vibaya Sana Ally Shaban Kamwe.
0
0
3
@baynit1999
Marcel
1 month
Huyu nyigu kamkamata caterpillar hajamuua. Kamchoma mwiba wa sumu ili aparalyze. Kwa nini hamli na hamuui?.Basi atamjengea sehemu, atataga yai kwa pembeni. Yai litatotoka, larvae atakuta mama kamuandalia nyama fresh na tamu kabisa. Atakula polepole na kukua kama yanga afrika.
Tweet media one
0
0
2
@baynit1999
Marcel
1 month
Aedes aegypti. Anang'ata mchana ukicheka anakung'ata na jioni. Bingwa wa kugawa homa za vipindi. Anakupea chikungunya usiposhtuka anakupea na dengue kama tunda. So beautiful.
@kafangi
๐‰!๐Œ๐Œ๐˜
1 month
Mosquito gani hii iko na stripes?
Tweet media one
Tweet media two
2
1
3
@baynit1999
Marcel
2 months
Wamehack page ya simba๐Ÿ˜‚.
0
0
3
@baynit1999
Marcel
2 months
RT @YoungAfricansSC: "Nikifunga goli nataka watu wote mje tushangilie pamoja" โญ๏ธa few moments later @DenisNkane . #TimuYaWananchi .#DaimaMโ€ฆ.
0
54
0
@baynit1999
Marcel
9 months
Basi bwana, hao jamaa wakishamaliza kukua humo na kufikia adult stage, wanaanza kufanya utaratibu wa kurudi kwenye maji kuendeleza maisha yao. Wanachofanya ni kuimanipulate akili ya huyo mdudu kwa kumconvince arudi au atafute sehemu yenye maji halafu azame ili waweze kutoka๐Ÿ˜„.
0
0
2
@baynit1999
Marcel
9 months
Kuna hawa wanaitwa horse hair worms. Adults wanaishi na kuzaliana ndani ya maji tu. Mayai yakishaanguliwa ndani ya maji wale minyoo watoto (larvae) hawawezi kukua humo mpaka wawe ndani ya wadudu wa nchi kavu akiwemo huyo praying mantid.
1
0
4
@baynit1999
Marcel
10 months
Jioni jioni hivi (at dusk) ni rahisi sana kukutana na huyu mbu mkubwa kwelikweli. Ukimuona kwa mara ya kwanza ni either uzimie au ukimbilie kwa mwamposa bulldozer๐Ÿ˜„. Ila ukweli ni kuwa huyu wala sio mbu. Anaitwa crane fly na wala hana tatizo lolote na binadamu๐Ÿ˜„.
Tweet media one
0
0
8
@baynit1999
Marcel
11 months
Consistent pesticide application across your farm on the same day is crucial for effective pest control. Kamwe usipige dawa upande mmoja wa shamba halafu upande mwingine umalizie kesho.
0
0
6
@baynit1999
Marcel
11 months
Huyo wa brown ni predator. Yeye huishi kwa kufyonza na kuharibu wadudu wengine hasahasa caterpillars na weavils. Mdudu huyu hana madhara yoyote kwa mmea na huweza kutumika kuwacontrol wadudu wengine.
0
0
1