Dingi
@AvithK10243
Followers
26
Following
208
Media
1
Statuses
392
2026 is coming Delete negative people. Forget your past. Accept your mistake. Restart your life.
5
15
55
Tuchangie hapa sasa wanangu. REPOST 200
TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina: Catherine johaness protace Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam. Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar.
1
78
198
Mzee Wa Upako hapa kaongea Point Fulani hivi
24
280
827
@YesayaSamson @EsirEid @TheRealJongwe Niwahakikishie wasimbe uyu jamaa Hana hata mia ila kidogo anapambana mwambie aludi kwao mreba akapambane na dangote
1
1
0
#TajiriLaKihaya Mpwa hafai kukosa Vita ya Msimbe kisa bundle… Kuwa online- shuhudia mtanange live… Na hii ndio maana halisi ya TAJIRI LA KIHAYA NI MMOJA TU💯
@EsirEid @mchumimrembo Tajili tajili bando langu la buku linaniishia na mpambano ni 🔥🔥 Fanya unyama nipate bando jingine au Kwa yoyote mwenye kuniwezesha nisipitwe na mpambano japo najua taili hushindwi kitu 0763969536
83
30
390
Wadau ukiiona hii post fanya kuwatag hawa 🚨 Please help! Tag @elonmusk @Support to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender & victim of political persecution. Silencing him = silencing truth. #UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech
119
621
1K
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 10 Anaendelea Katuga Kwenye kifungu cha 262 baada ya mshitakiwa kusomewa mashitaka ile Tarehe 10/04 na aliambiwa hawezi kujibu chochote. Kwahiyo vifungu vyote vilizingatiwa kwa mujibu wa sheria. Kifungu cha 263(3) cha CPA kilifuatwa kwa mujibu
53
496
1K
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Septemba 9, 2025 Part 1 Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari. Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa huo mrejesho kuwa sasa
32
382
898
Hii ni ishara kwamba mtu anapokaa imara kwenye ukweli na haki, hata vizingiti vya woga, mateso, na adhabu ya kisheria havina nguvu ya kudhoofisha roho yake. Haki haiwezi kufungwa, haiwezi kunyanyaswa, na haiwezi kuzimwa. Nimefarijika sana nilipoona umetambua kuwa uliukosea umma
51
364
3K