AmosCyprian4 Profile Banner
Amos Cyprian Profile
Amos Cyprian

@AmosCyprian4

Followers
1K
Following
21K
Media
709
Statuses
21K

Social Media Manager | Helping Businesses & Companies Grow in social media platforms | Meta Ads & Content Strategy Expert. (DM NOWπŸ‘‡)

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
9 months
Its Very Easy To Grow In Social Media. If you Give Yourself Time and Clear Goals. SMART goal. Am Here To Help Your Business In Social Media.
2
5
21
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
12 hours
Kwani sie misaada tulikuwa tunaomba nchi gani?
0
0
2
@AbdulAlly253493
Abdul Ally
1 day
@AmosCyprian4 Exactly. Marketing inavutia people ku-interest kwenye product/brand, sales inahakikisha wale walio interested wanakuwa customers. Tofauti ipo, lakini zinashirikiana sana ku-drive growth.
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
2 days
Marketing na sales vina utofauti mkubwa sana japo ni skills ambazo zinarandana sana. sasa marketing kazi yake kubwa ni kwenda kwa watu kuwaambia kuhusu huduma au bidha yako. lakini huyo mtu akitaka kuinunua ndio sales inakuja kuclose deal.
1
1
1
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
17 hours
Hello December 🫡πŸ”₯. Enjoy The Video 😁
0
0
1
@kapeto98
KAPETOπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
1 day
Wiki hii @ZetuSiasa Wanakuletea Episode Maalum ya SIASA NA AMANI. Kwa taifa lolote linalotaka kusonga mbele, siasa yenye hekima na maamuzi yenye busara lazima yaende sambamba na amani ya kudumu. Amani hutupa nafasi ya kujenga, kushirikiana na kufanya maamuzi yanayoliletea taifa
1
18
27
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
2 days
x premium wamenipa offer ya 2300 kwa mwezi huu kama welcome yao. mtego huu siuingii
3
0
3
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
2 days
Marketing na sales vina utofauti mkubwa sana japo ni skills ambazo zinarandana sana. sasa marketing kazi yake kubwa ni kwenda kwa watu kuwaambia kuhusu huduma au bidha yako. lakini huyo mtu akitaka kuinunua ndio sales inakuja kuclose deal.
2
1
7
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
2 days
tushapuyanga mwaka 2025 ni muda sasa wa kutulia kuweka malengo na kutafuta sababu kwanini hatujayatimiza
1
0
3
@Afya_code
Health with Mhando 🩺
2 days
@AmosCyprian4 Nice Guys wanaziba masikio now. Baadae DM " Brother nimempa kila kitu hadi wadogo zake nawasomesha lakini hanisikilizi, haniheshimu na ananisaliti" Date within your social class Nice Guys mtajifunza lini...? #KuwaNiceGuyniUgonjwa
1
2
1
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
2 days
Mwezi Mpya hata Mwezi Mpya Sabato Hata Sabato. Disemba Leleleee
0
0
0
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
3 days
Yan X ukiscroll kidogo unakutana na Julius na mhalifu mwenzake πŸ˜‚
0
0
2
@ImMichael_K
iDesign
5 days
One content imenipa followers wapya 1.2k na Imegharimu saa 1 na kidogo katika kudevelop idea script kushoot na kuedit. Kubwa zaidi ni post pekee kufikia 100k IG Kila mmoja anahitaji breakthrough tena kwa ile conte ambayo hudhanii...
@ImMichael_K
iDesign
16 days
Website 3 za Graphic design unazotakiwa kuzijua. Kama unatumia #Pinterest pekee unakosa uhondo. 1. https://t.co/TZqABf3cHv 2. https://t.co/4upq9N3D4F 3. FONTINUSE Tumia hizi website tatu kupata inspiration ya kazi zako iwe logo, posters nk #graphicdesigner #designinspiration
3
1
12
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
5 days
Tuseme ukweli Hii Social Media Marketing itanipa Hii Gari kweli. Embu njoeni tuyazungumze kwanza, Namna ya Kupata Hii gari. Au kuna namna tunafichana Mambo wakuu
1
0
3
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
5 days
Acha tu niseme kuwa Unanisaidia sana kaka nikiwa nahitaji bando kwa Haraka. Service ni kali na chapu, nzuri zaidi maana nimekuwa mteja wako mda mrefu kuna time siko karibu na Wakala na sina ela kwa simu Lakini unanipa Bando Then Baadae nakupa. Tawile πŸ™
@MaxTz255_
Myunani
6 days
Nifanyaje Ili Uamini hakuna Utapeli apa?
2
0
4
@ImMichael_K
iDesign
6 days
#ContentCreation is fun... tools, process and final output
@ImMichael_K
iDesign
8 days
Sawa kiongozi sitakuangusha
2
1
5
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
7 days
Hivi siku hizi hakuna goli la Baba au ela zimeisha kwenye maandamano.
2
0
2
@MopaoGraphicx
MOPAO
7 days
Kuna jamaa Ali quote tweet yangu alisema Kwa kazi ya graphics design unaweza nunua hii gari bhana tudidanganyanr ni uongo πŸ˜‚πŸ˜‚ haiwezekan hata kama MTU unalipwa M3 kwa mwez huwez nunua kwa iyo kazi πŸ˜‚πŸ«΅
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
7 days
JETOUR DASHING
2
1
3
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
7 days
Kuna Post moja uko TikTok ya Jetour wanapishana wazungu Tu kucomment πŸ˜‚.
4
0
5
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
7 days
Kagera
@Cargo_1911
CARGO⭐🌍
7 days
3
0
4
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
7 days
JETOUR DASHING
1
1
5
@gabyconscious
π™Άπ™°π™±πšˆ π™»π™Ύπš…π™΄πš‚ πšƒπ™΄π™²π™· 6.0
7 days
Brand ina level ndomana ukiona mtu kama Baraka Bonge miaka 5 bado anakua kibarua wa wazungu unajua hamna kazi β€”miaka 5 kwenye game inabidi uwe unaRun biashara, agency, startup. Sio kulipwa $200 kwa mweziπŸ˜‚ hizo kazi za watoto wa chuo maJR.
@AmosCyprian4
Amos Cyprian
8 days
@miracleboytz Kuna jambo nawaza hapa nahisi utakuwa na majibu Hivi Brand haina levels?
5
5
57