
iDesign
@ImMichael_K
Followers
2K
Following
6K
Media
2K
Statuses
19K
I Help Biz Owners Turn Confusing Designs into Clear, Powerful Visuals that Attract & Sell • #muuzachai💰
Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2011
safari ilianza na $40 tu, kukesha sana .haka ni ka achivement kangu vere spesho. Uspesho wake; namna imefika hii, by having a laptop and a skill. this is very special for me!. I hope it opens more doors to $100+ $500+ inshallah. wapi top-rated plus 🔭. let me drop it here 🤑
33
32
208
shooting ém blank canvas
0
0
2
ukitaka kujua wateja. muulize Haji. huyu anakutana nao sana wateja. Ila kuhusu client Mimi naweza kukujibu ni wale hawana mambo mengi sio mteja mjuaji. anaingia mfukoni sababu ya huduma anayopata sio sababu anaona kama anakusapoti au kukupnea huruma.
@ImMichael_K Tofauti yao nini . Wateja na Client.
1
0
3
Mama watoto anakuja mbio mbio. "ajira poto kuna mabadiliko, kuna mabadiliko niwekee niingie". Kumbe jamaa wameupdate kuweka namba ya form4. Kucheki cheki na ya kwangu nakuta kumbe #muuzachai si haba nilisimamia ukucha miaka hiyo
1
0
9
Kumbe mlishakiwasha nyie jamaa @ShukuruAmos 😅😅. Ila kwenye ulaji huwa hakukosagi mivutano.
@ally_eh @gamutu255 Sijaisoma, ila aliyetweet huwaga mpumbavu.
4
0
7