Deogratias Mahinyila
@AdvMahinyila
Followers
16K
Following
2K
Media
361
Statuses
2K
National Chairperson-CHADEMA Youth Wing. Advocate of High Court| Notary Public and Commissioner for Oaths.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2015
Tunapokamilisha Masaa 24 bila taarifa ya @PoliceTanzania kuhusu alipo Makamu Wetu @HecheJohn Kama Chama hatutakuwa viherehere wa kusema wapi alipo. Kwasababu hatujui na mliondoka nae nyie. Ni Muhimu Polisi mkaeleza na kujibu swali hilo mapema. ITASAIDIA.
4
62
255
Ni kweli. Nimepewa taarifa na Wakili Mauki. Mchana wa leo nikiwa bado Mahakama Kuu, Ofisini kwetu Sinza, A. Walivamia watu wasiojulikana wakiwa na silaha za moto na kumchukua kwa nguvu mteja wetu GIDO MBELE aliyekuwa ameongozana nao. Hatujui nia yao zaidi: Na walikompeleka.
2
106
378
Kupoteza Mwanachama kwa Chama cha siasa sio jambo zuri ila Sisi VIJANA wa CHADEMA tunayo furaha akiondoka mwanachama ambae alikuwa anatuhumiwa kwa UDALALI Chamani. Tulihangaika sana kuishi na watu wa aina hii mbele ya Umma. Tunajivunia kuwa na Chama chenye watu wasafi zaidi leo.
26
113
612
Amenijuza Wakili Mathias Paul Mlimi kwamba wapo watu watatu wanaojiita ni wateja wanahitaji huduma ya uwakili wananitafuta mimi. Wamekiri kwake kuwa wana namba zangu lakini wanatamani kazi yao niifanye nae. Ameniambia hajawaelewa na anawasiwasi nao. Nimezipokea taarifa hizo.
31
129
688
Kwa Kauli Moja Watanzania nafikiri tumeelewa ni njia gani tunapaswa kuitumia kutatua Changamoto tulizonazo kama Taifa. Tuendelee kujifunza.
11
59
272
Vijana wa CHADEMA tunalokusudi tunalolipigania. Tutasimama na Kusudi hilo bila kujali mazingira yatakayokuwepo. Tutausimamia wito huo tulionao bila kuogopa. Aluta Continua @ThatBoyKhalifax @TheChanzo
5
65
321
"Katiba ni nyaraka ya kitaifa, Ni nyaraka ya wananchi, CCM na Serikali yao wasidhani wao ndio wenye mamlaka ya kufanya Taifa hili liwe na katiba au lisiwe nayo". @AdvMahinyila, Mwenyekiti BAVICHA Taifa.
0
20
73
Vijana wa CHADEMA tunalokusudi tunalolipigania. Tutasimama na Kusudi hilo bila kujali mazingira yatakayokuwepo. Tutausimamia wito huo tulionao bila kuogopa. Aluta Continua @ThatBoyKhalifax @TheChanzo
5
65
321
*Deogratius Mahinyila: Ukweli Uko Upande Wetu CHADEMA,Tutashinda*
11
83
324
*Deogratius Mahinyila: Ukweli Uko Upande Wetu CHADEMA,Tutashinda*
11
83
324
Nimezungumza na Kaka @ThatBoyKhalifax pale @TheChanzo Raha ya Mazungumzo umpate wa kuzungumza nae. Tumezungumza kwa ajili ya Vijana na hatima ya Taifa letu.
10
99
535
nimefanya mazungumzo mazuri sana na ya kina na mwenyekiti wa bavicha @AdvMahinyila kuhusu mambo kadhaa: utekaji unaoendelea kusumbua nchi, ukatili wa polisi, no reforms, no election, ndoto zake binafsi kama kijana, etc. yatakujia hivi punde kupitia @TheChanzo:
14
51
305
Rais wa TLS wakili @Mwabuk2Boniface asisitiza uwajibishwaji wa askari waliomshambulia wakili @AdvMahinyila kwenye viunga vya mahakama.
1
42
109
Hapa mambo ni mawili tu. 1. Wafute hii kesi ya mchongo au 2. Wakomae nayo, waendelee kudhalilika.
20
191
1K
Mtu aliyeghushi nyaraka anakamatwaje? @PolisiTanzania Kwanini hamjitambulishi? Kosa la mtuhumiwa hamsemi, hamvai Sare, hamtumii magari ya Polisi. Huu ufafanuzi mlishindwaje kumwambia mtuhumiwa? Let's meet in Court and see who stands tall. The law will decide and do the talking.
13
86
354
Nimepokea taarifa za kutekwa kwa @ItsTemba Gaspar Erasmus Temba, Mwenyekiti wa BAVICHA Kanda ya Kaskazini. Waliomchukua wamejitambulisha kuwa Polisi lakini hawakuwa na sare wala magari ya Polisi. Tukio hilo limetokea muda huu Arusha mjini. Tutatoa taarifa rasmi.
4
84
338
Vijana ndani ya Taifa hili miili yetu imekufa Ganzi. Hatuogopi kuwa rumande. Tunafurahia na kumshukuru Mungu tukisikia mwenzetu yuko Polisi. Wazazi na jamii wanaona heri mtoto wao awe jela wataenda kumsalimia. Kuna Bomu linatengenezwa ndani ya Taifa. LITALIPUKA SIKU MOJA. TUAMKE.
5
37
268
Nimepata taarifa kuwa ndugu yetu Gasper Temba yupo Kituo cha Polisi Kati Arusha. Nawashukuru wote mliopaza sauti, na zaidi nampongeza Temba kwa akili ya haraka ya kukimbilia benki mahali palipo na kamera nyingi ili kubakisha ushahidi wa tukio. Hata hivyo, tukio hili linaacha
17
169
943
Vijana ndani ya Taifa hili miili yetu imekufa Ganzi. Hatuogopi kuwa rumande. Tunafurahia na kumshukuru Mungu tukisikia mwenzetu yuko Polisi. Wazazi na jamii wanaona heri mtoto wao awe jela wataenda kumsalimia. Kuna Bomu linatengenezwa ndani ya Taifa. LITALIPUKA SIKU MOJA. TUAMKE.
5
37
268