
β€οΈ Miss Platnumz β€οΈππ½π§π»ββοΈβ£οΈ
@zoetjesheeftX
Followers
27K
Following
38K
Media
43K
Statuses
125K
professional chef-kok, I'm only responsible for what i say not for what you understand. * The right one will never let you go Β° α‘£π© . Β° .
Joined February 2016
Every man deserves her π
202
1K
9K
Ili ufanikiwe kuna mambo matatu lazima uyazingatie sana kwenye maisha mambo yenyewe hata mimi siyajui ndo maana sjafanikiwa.... Hali leo nafuu Nimekula chakula pendwa
0
0
0
Kila siku unamuachia Mungu! Hivi, utahisije ukiambiwa hayupo? π’ __ Let's be SERIOUS!π₯Ί
0
0
0
Usipokuwa na ujuzi wa AI, kila kitu unachoona kwenye mitandao ya kijamii, utaamini. __ Akili mtu wanguπ₯Ί
0
0
0
Bora mvua inyeshe uko uko tu
2
3
7
Anataka 20 round zake π€£π€£π€£π€£
0
0
0
ππππ
0
0
0
Pale maeneo ya Mlima wa Bwana kabla hujafika maji chumvi kuna bodaboda amempush mtoto alikuwa anavuka uzuri dogo kwa nje anaonekana hajaumia sana. Boda alikuwa na abiria amekimbia, washkaji wameunga kumkimbizia wakimkamata yule kazi anayo. Mwenye boda anaelekea maji chumvi
3
10
38
0
0
0
Butola busokelo mbeya hakika mwakibete amefanya busokelo iwe Jiji hongera Saana butolaπ₯°
0
0
0
Je unaweza kula ugali na nyama ilochemshwa bila kuungwa? π€
0
0
1
HAPO UTAKULA TUNDA KWA NANI π
0
0
0
Challenge ya UGALI comment picha ya Ugali wako na mboga zake
0
0
0
Samaki 500 Unga sembe nusu 500 Majani ya maboga 200 Nazi 500 Bamia 200 Nyanya 200 Mkaa 500 Mafuta 200
0
0
0
Bahari Ina mengi KWAKWELIπ€
0
0
0
Challenge ya WALI comment picha ya WALI wako na mboga zake
0
0
0
Tukiwa Tu Serious Ukiwa Hapa Inabidi Umwambie Mtu Upo Mtaa Gani???π
0
0
0
Tangu mwaka uanze umefanikiwa kwenye nini? MimiππΎ β’ kuacha kuangalia porno na picha za utupu.
3
7
15
Umelala zako ila chumba cha jirani wakaamua tu kukutesa kihisia na kiakili kwa kelele za huba ulifanya niniπ
0
0
2
Location ngumu sana hiii ya Leo π€£π€£
0
0
0