msakufarm Profile Banner
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@msakufarm

Followers
13K
Following
167K
Media
2K
Statuses
50K

Farmer | Agronomist | Agriculture influencer Email: [email protected] Call& Whatsapp+255 767337029 #tukaforcechaka

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Imekuwa wakati mzuri tena kuonana na waziri wa kilimo Mhe. @HusseinBashe kuzungumza mawili matatu kuhusu mafanikio na changamoto za shambani hadi sokoni. @msakufarm
Tweet media one
22
62
354
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
23 hours
RT @PichaNzuri: ##Always๐๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข๎จ€. Bwana Shamba kasema twende shambani.cc.@msakufarm
Tweet media one
0
1
0
@grok
Grok
5 days
Join millions who have switched to Grok.
80
151
964
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 days
Mungu wetu akatufanyie wepesi tena siku ya leo na kuzibariki kazi halali za mikono yetu. ๐Ÿ™
Tweet media one
Tweet media two
7
8
77
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 days
RT @Nalimasaumu: Shamba jipya, Malengo mapya. Tunamkimbiza Mwizi kimya kimya๐Ÿƒ. December tukutane Sokoni ๐Ÿซ‘๐ŸŒฝ . #harakatizakilimo https://t.cโ€ฆ.
0
3
0
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 days
RT @kautipes: @msakufarm Process yake unaimanya? Mana zao sio shida, shida ni process ya vanilla kuzaliwa Hadi kuvunwa.
0
1
0
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 days
๐Ÿ˜น.
@moodymbiombio
Kimaro๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 days
@NchiAhadi @Jambotv_ Sawa Gabriel.
0
0
1
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 days
Alafu wanakwambie wameifanyia demo cha ajabu chache ndio zinafanya vizuri nyingine zinarudi maabara tena,hapo wakulima tushakula za uso ๐Ÿ˜€.
@babu_shamba
Tabasamfarm
9 days
Kila kukicha soko la mbegu linapokea bidhaa mpya. Maamuzi ya kuleta hizi bidhaa mpya huwa wakulima wanashikirishwa?.
2
1
4
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 days
RT @Mazikuagric: Biashara ya mbegu, mbolea na viuatilifu haihitaji kusukumwa na TOSCI, TFRA au TPHPA pekee kukagua ubora. Ni biashara inayoโ€ฆ.
0
3
0
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
RT @Joshua83933663: @msakufarm Kwa hiyo dogo umeona hatujafa kwa kutolewa kwa Taifa Stars, umeamua utuue kwa maumivu ya vanilla?๐Ÿ‘น๐Ÿคฃ.
0
1
0
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
RT @Gody_sway: Hivi kuna zao gani lingine biashara yake ilianguka vibaya kama Vanilla??.@msakufarm @Octavianlasway
Tweet media one
0
2
0
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
Nimekaa hapa nikakumbuka zao la vanilla.hivi sasa kilo moja Bei gani?.
21
5
88
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
Naam ๐Ÿซก.
@kuyelayelaa
KapellaโœŒ๏ธ
9 days
@msakufarm Acha waendelee kulilaumu.uzuri halina muda wa kupoteza ili kujibizana nao. Sisi buyuni tunakimbiza mwizi kimyakimyaa yaani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
0
7
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
Lishe hii ni DONA SAMAKI au KIEPE YAI ?๐Ÿ˜„.
@themkulima
Themkulima
9 days
Mimea ishibe kwanza
Tweet media one
3
0
8
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
Watu wanaujasiri aisee Jamaa kadakwa baada ya kuuza Mbegu feki ndani ya 88.
5
1
29
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
RT @mastermind_tz: It's weekend Farmers,. Wake Up, . Show Up,. Do Your Part !. @AmFarm14 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐ŸŒฑ #Agribusiness
Tweet media one
Tweet media two
0
4
0
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
RT @AbdulAlly253493: @msakufarm Ndiyo! Mbegu ya MSAADA ni aina ya muhogo inayokua haraka na kutoa mizizi yenye afya. ๐Ÿ‘.
0
1
0
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
RT @AbdulAlly253493: @msakufarm Hii ni kweli! Lakini pia kuna sababu za soko ambazo zinawafanya bei kupanda. Wakulima wanapaswa kupata hakiโ€ฆ.
0
1
0
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
RT @Agronomme_: Chinese cabbage
Tweet media one
0
4
0
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
RT @AbdulAlly253493: @msakufarm Hapo ni kama vile unavyoona wakulima wakipiga maji shambani ili mimea isianguke; tikimaji linapewa lawamanaโ€ฆ.
0
1
0
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
Tweet media one
Tweet media two
0
10
0
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 days
Unazani ni kwanini tikimaji linapewa lawana ya kupoteza mapambano?ushawai fikiria?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
12
73