Explore tweets tagged as #TeachingIsProfession
@_jyoti_chauhan
Jyoti Chauhan
1 year
औरों के लिए होते होंगे रोज डे ,प्रपोज डे, टेडी डे वैलेंटाइंस डे हम तो #टीचर है जनाब हमारे लिए तो इंडिपेंडेंस डे ,रिपब्लिक डे, योगा डे स्पोर्ट्स एग्जाम दे बस #teachingisprofession
3
5
23
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Walimu mnahadaiwa kama watoto. #TeachingIsProfession
24
18
118
@Msukuma17
Bandari Yangu
2 years
0
0
0
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Watukana walimu MITANDAONI. #TeachingIsProfession
8
6
73
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Jambo la kushukuru. Walimu hatujaguswa. #TeachingIsProfession
13
7
82
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
11 months
Walimu....Hawa watoto Hawa wakifeli hamfungwi...sijawahi kusikia mwalimu amehukumiwa kwenda jela kwa sababu ya wanafunzi kufeli mtihani wa form II,IV au VI. Ukishajua hilo ,achana na watoto wasiotimiza wajibu wao. Utaenda jela na familia yako itataabika #TeachingIsProfession
51
62
557
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Kijana wa Kitanzania hata akiachwa na mpenzi wake ,lawama kwa walimu. #TeachingIsProfession
24
14
142
@officialmtanga
Mtanga 🇹🇿🇺🇬
2 years
Hashtag ni #TeachingIsProfession bahati mbaya haina maokoto. Miaka ijayo serikali inafanya watu waichukie hiii kada
0
1
6
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
6 months
Walimu tunanyanyasika sana kwenye mapenzi. Itungwe sheria ya kutulinda walimu kwenye mapenzi. #TeachingIsProfession
16
10
116
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Kama begi uliliona Zito shule. Basi gunia liwe jepesi mtaani. #TeachingIsProfession
5
5
47
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Tafiti zinaonesha mahitaji ya walimu ni makubwa sana nchi hii. #Accountability #ElimikaWikiendi #TeachingIsProfession
12
16
116
@MAYORofSoxk
Ikenna
1 year
Today is World Teachers' day God bless the Teachers and their efforts will not be in vain. Amen #TeachingIsProfession #TeachersDay2024
0
0
1
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Wakishatukana walimu...wanasahau nao walisomea ualimu .....sasa wanaogopa hata Kuja live kukuuliza...inabidi waje as anonymous. #TeachingIsProfession
14
5
74
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
6 months
I said this February 2025. Leo hii yametimia. UDOM wameanza kusitisha udahili wa Shahada za ualimu. #TeachingIsProfession
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
11 months
Mimi sioni sababu ya Higher Learning Institutions kuendelea kudahili wanafunzi wa kozi za ualimu. Sioni mantiki kwa HESLB kuendelea kutoa mikopo kwa wanafunzi wanaotaka kusoma kozi za ualimu. Kiufupi DUCE na MUCE zinapaswa zifungwe au zingeuzwe matumizi. #TeachingIsProfession
38
34
255
@clitonmichael
Cliton Michael
1 year
@Dr_DGwajima @elyneema Walimu tujitahidi kuzingatia hizi kanuni ili kujiepusha na hii changamoto; tuna familia za kulisha, sasa iweje ujitie matatizoni kwa masuala ambayo yanaweza kuepukika? #TeachingIsProfession #KataaUkatiliWeweNiShujaa
2
2
5
@itsankhan
BALOZI
10 months
Kijana wa Kitanzania hata hasipo eleweka na content zake, lawama kwa walimu. #TeachingIsprofession
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
10 months
Na sipo hapa ili nieleweke
1
1
3
@GJHuesmann1
Gretchen Huesmann
2 years
0
0
2
@Adjahcent9
Mompreneur🇹🇿
2 years
0
0
0
@DHSBoys
DHSBoys
1 year
0
2
5
@bajabiri
Moyo wa TAIFA ™️
11 months
Nawakumbusha tu,nyumba wanazoishi walimu haziendani na hadhi yao...wajengewe nyumba walaum za milioni 50. #TeachingIsProfession https://t.co/0iogeWPsui
50
30
238