Explore tweets tagged as #Mitandaoni
Mitandaoni ni sehemu ambayo kila mtu anapambana tuone anafuraha na anapiga hatua,.. lakini tukibaki wenyew hatuwezi danganya nafsi zetu, kama huamn , jichanganye kwa pisi unayoiona kama ina maisha humu, utakutana na njaa kali kuliko hiyo yako🙌😂. Nb. Picha haiendani na story
35
24
96
Stream, download, upload na fanya mengi mitandaoni ukiwa na Internet ya ODU router Kwa 100,000\ tu unapata ODU router pamoja bando la mwezi FREE DELIVERY & FREE INSTALLATION bando zake; 70k Mbps 25 100k Mbps 40 Cc @heristraton29 CALL 0687892129 https://t.co/Ylo0KxfsHe
3
62
71
Uzoefu wa ustahimilivu kutokana na maoni/comments za udhalilishaji mitandaoni huwa ni tofauti baina ya mtu na mtu, @TillahBlessed anasema kwa sasa anaumizwa na comment za aina hiyo ikiwa zinatoka kwa mtu anaemjua. Kwako ikoje? 🔗 https://t.co/TF2AeAGX3z
#DIWI #DIWERS #TFGBV
0
2
3
Leo nataka tuwaongelee hawa watu wa mitandaoni ambao huwa hawapost kitu kichochote na wapo Online huwaitwa majina kama ''ghost-views'' ''lurkers'' ukipost hawa like wala ku comment wanasoma wanaishia zao utaona post yako ina views kibao wanakufatilia kimya kimya threads 🧵👇
12
34
115
Kilichoanza kama mahubiri ya kuvunja madhabahu sasa kimewaacha Wakenya mitandaoni na maswali kuhusu kitendo cha Mchungaji Ezekiel Odero wakati wa maombi. https://t.co/1hvM7AVPTq
0
0
0
Repost 🙏🏽 Led fil light ni suluhisho kamili kwako! ni Taa/Mwangaza maalum unaokupa picha safi na nzuri ukionekana vizuri popote ulipo. Inafaa Kwa: 🕰️Waandishi wa maudhui Mitandaoni “content creators” 🕰️Wafanyabiashara Mitandaoni 🕰️Watu wanaofanya kazi Mitandao 🕰️Wote wapenda
12
36
47
Tangu ufunguzi rasmi wa mtanange wa Kombe la Taifa Bingwa Afrika Afcon 2025, kumekuw ana gumzo mitandaoni juu ya mgeni rasmi aliyeyafungua mashindano hayo. Mwanamfalme Moualay El Hassan wa morocco amesababisha msisimko ndani na nje ya Morocco, huku waliokuwa hawajamjua
0
0
1
🚨 TUNDU LISSU NI HATARI KWA USALAMA WA TAIFA!!! Baadhi ya maoni yanayozunguka katika midahalo ya kisiasa, hasa mitandaoni na kwenye duru zisizo rasmi, yanaeleza kuwa changamoto kubwa anayokabiliana nayo Tundu Lissu kwa sasa akiwa kizuizini huenda isiwe kifungo chenyewe pekee,
69
30
51
Repost familia 🙏🏽 Led fill light ni suluhisho kamili kwako! ni Taa/Mwangaza maalum unaokupa picha safi na nzuri ukionekana vizuri popote ulipo. Inafaa Kwa: 💎Waandishi wa maudhui Mitandaoni “content creators” 💎Wafanyabiashara Mitandaoni 💎Watu wanaofanya kazi Mitandao 💎Wote
5
24
28
Mwajiriwa Acha kufanya kazi kwa kujitoa kwa kampuni yako, fanya kile unacholipwa na uende nyumbani. Unapofanya kazi kwa kampuni kwa masaa 10, usipoteze tena muda kwenye TV na mitandaoni Anzisha MRADI & BIASHARA ili familia yako iweze kurithi, Fam haiwezi kurithi kazi yako.
15
44
286
KATIKA hali inayozidi kuonyesha tofauti za kimtazamo kati ya wazalendo wa kweli na wale wanaoendeshwa na mihemko ya mitandaoni, mchambuzi wa siasa Alvin Habibu ametoa tamko zito linalowataka Watanzania kupuuza kelele za watu wanaodhani uongozi wa nchi ni sawa na kuposti picha au
68
46
50
Kina dada miaka 20-28 wanajituma sana, we mwanetu miaka 30 bado unajiona mtoto, upo mitandaoni kuilamumu serikali. Sawa mwanetu.
3
4
32
Taarifa inayosambaa mitandaoni kwamba viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje wamechota kiasi cha USD million 4 kwa ajili ya kwenda nje kusafisha nchi ni za uzushi hazina ukweli na zipuuzwe. Baada ya kufuatilia Wizara ya Fedha ( Hazina) inayotoa fedha, Wizara hiyo imekanusha vikali
1
1
2
Mimi nikiitambulisha laini yangu mpya kwenye apps za kukopa mitandaoni
13
8
164
Wanaonekana mashujaa mitandaoni lakini wakikamatwa wanalilia mama zao kama bado wananyonya vile. Huyu kijana sijategemea kama anaweza kulia masaa 6 bila kunyamaza. Hawa mashujaa wa mitandaoni ukiwakama unakutana na vitu vya ajabu , walivyo online sivyo walivyo kwenye uhalisia.🤣
23
10
22
Zama zimebadilika. Leo taarifa zinapatikana kwa haraka zaidi mitandaoni kuliko kwenye TV. Mitandao ya kijamii imekuwa sauti ya wananchi katika kufuatilia, kujadili na kutoa maoni kuhusu siasa. Kuipuuza ni kujinyima uhalisia wa kizazi cha sasa. Usikose episode mpya ya @ZetuSiasa
11
24
32
Wakati kanda ya Afrika Mashariki ikishuhudia ushindani mkali wa kutafuta umaarufu kupitia influencers (washawishi) wa mitandaoni, Tanzania imesisitiza kuwa mafanikio yake katika sekta ya utalii yanatokana na uhalisia na rasilimali zake zisizohitaji 'kupambwa mno' na gharama za
64
40
45
NCHI AMBAZO HAZIPENDANI AU ZINACHUKIANA (nchi hizi Kuna muda raia wake wanatukanana mitandaoni au serikali kulaumiana zenyewe ) NB: chuki baina ya nchi hizi inasababishwa : 1. Uchumi 2. Dini 3. Kumiliki Silaha za nyuklia 4. Kiburi na kujiona 5. Roho mbaya 1. TUANZE NA BARA LA
8
11
38
Mwanamume mmoja amezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kulipa malipo yake ya mwisho ya malezi ya Mtoto kwa kumwaga sarafu 80,000 zenye thamani ya dola 800 kwenye nyasi za mbele ya nyumba ya aliyekuwa Mke wake. Malipo hayo yaliletwa kwa kutumia trela ndogo, huku tukio hilo
5
15
202