trtafrikaSW Profile Banner
TRT Afrika Swahili Profile
TRT Afrika Swahili

@trtafrikaSW

Followers
43K
Following
3
Media
10K
Statuses
15K

Afrika kama ilivyo

Joined August 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
54 minutes
Umoja wa Afrika umetoa wito wa kuachiliwa “mara moja na bila masharti” kwa Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, baada ya jeshi kuchukua mamlaka ya nchi hiyo kwa nguvu. Katika taarifa iliyotolewa kupiita mtandao wakijamii wa X siku ya Alhamisi, Mwenyekiti wa Tume ya AU,
0
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
2 hours
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameishutumu serikali ya Congo kwa kuchelewesha kutia saini makubaliano ya amani yenye lengo la kumaliza mzozo katika eneo lenye utajiri wa madini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. "Kinachochelewesha, naweza kukuhakikishia... hakitoki
0
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
3 hours
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameitaja ziara ya Papa Leo XIV nchini Uturuki kuwa "hatua muhimu sana ambayo itaimarisha misingi yetu ya pamoja" “Naamini kwamba ujumbe utakaotoka Uturuki (utakaowasilishwa na Papa Leo XIV) utafikia ulimwengu wa Kiislamu, Kituruki na
0
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
3 hours
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki kuhusu tukio la moto katika Mkoa Maalum wa Utawala wa Hong Kong wa Jamhuri ya Watu wa China: - Tumehuzunishwa sana na vifo vilivyosababishwa na moto huo - Tunatuma rambirambi zetu kwa familia za waliopoteza maisha na kwa watu wa Jamhuri ya China
0
0
1
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
4 hours
Afrika ina baadhi ya volkano za ajabu zaidi duniani ikisemekana kuwa na zaidi ya volkano 100 ambazo zinaweza kulipuka wakati wowote. Licha ya kuhusishwa na matatizo, volkano ina manufaa pamoja na majivu na lava ambayo hutengeneza udongo wenye rotuba. Joto linalotokana na volkano
0
0
1
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
5 hours
Papa Leo anaonya kwamba migogoro ya kimataifa inaweza kufungua njia ya vita vya tatu vya dunia, akisema “mustakabali wa ubinadamu uko hatarini” na “hatupaswi kamwe kulikubali hili”
0
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
5 hours
Papa Leo XIV: - Ulimwengu unaotuzunguka unadhoofishwa na matarajio na maamuzi yanayokandamiza haki na amani - Uturuki ina nafasi muhimu sasa katika mustakabali wa Mediterania na dunia, zaidi ya yote kwa kuthamini utofauti wa ndani - Hata kabla ya kuunganisha Asia na Ulaya na
1
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
5 hours
Rais Erdogan wa Uturuki: - Tunakubali wito wa kimataifa kwamba Syria haipaswi kuachwa peke yake - Chuki dhidi ya Waislamu na chuki dhidi ya wageni zinachochewa kwa makusudi na bila kujua kwenye mitandao ya kijamii - Lazima tuyazingatie hayo zaidi kuliko maslahi ya kisiasa - Pia
1
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
5 hours
Rais Erdogan wa Uturuki: - Serikali ya Israel imeshambulia miundombinu ya raia kwa mabomu, ikiwa ni pamoja na makanisa, misikiti, shule na hospitali huko Gaza - Ninashukuru msimamo wa Papa na mtangulizi wake kuhusu Palestina - Njia pekee ya kufikia haki nchini Palestina ni
1
0
1
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
5 hours
Rais Erdogan wa Uturuki: - Hii ni nchi ambapo watu tofauti waliishi pamoja kwa amani na tuko tayari kufanya chochote kinachohitajika ili kuendeleza urithi huo - Tunachukua jukumu la kutatua matatizo katika kanda hili - Tunawahifadhi wakimbizi kutoka Syria na Ukraine -
1
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
5 hours
Rais Erdogan wa Uturuki: - Watu wa makabila, dini na rangi tofauti wameishi kwa uhuru katika ardhi yetu kwa karne nyingi - Tangu 2002, nyumba za watawa nyingi na sehemu za ibada zimerudishwa - Kila raia wetu ni raia wa daraja la kwanza wa Jamhuri ya Uturuki, bila kujali kabila,
1
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
5 hours
Rais Erdogan wa Uturuki: - Nimefurahi kumkaribisha Papa Leo na wajumbe wake hapa Uturuki - Ninaamini ujumbe utakaotoka hapa utafikia Waislamu na Wakristo na kuongeza matumaini ya amani - Tumebadilishana maoni yetu na matarajio ya pamoja kuelekea udhamini wa amani
1
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
5 hours
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na Papa Leo XIV waliwahutubia wageni huko Ankara
1
0
1
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
5 hours
Jenerali Horta Inta-A ametangazwa kuwa “Rais wa mpito” nchini Guinea-Bissau siku ya Alhamisi kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyomuondoa Rais Umaro Sissoco Embalo madarakani, kulingana na kituo cha utangazaji cha taifa cha nchi hiyo, TGB. Katika taarifa iliyotangazwa kwenye
0
0
1
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
6 hours
Uganda imetangaza kusitisha kuwapokea wakimbizi kutoka nchi ambazo hazina vita. Imesema itaanza kutowapa hadhi ya ukimbizi raia kutoka Ethiopia, Eritrea na Somalia. Waziri wa Masuala ya Misaada na Wakimbizi Uganda, Hilary Onek alieleza kuwa shirika la Umoja wa Mataifa la
0
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
6 hours
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imeagiza ndege mbili za kukodi kutoka shirika la ndege la Ethiopian Airlines. Ukodishwaji wa ndege hizo , ni sehemu ya mkataba wa mwaka 2024 kati ya Ethiopian Airlines na Avions de Transport Regional (ATR). Ndege hizo
0
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
6 hours
0
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
6 hours
Kenya ina kiwango cha 15 cha juu zaidi cha umaskini uliokithiri duniani kwa 46% na ingawa nchi imekuwa kiuchumi tangu 2015, Wakenya wengi ni maskini zaidi leo kuliko walivyokuwa wakati huo. Hii ni kwa mujibu ya ripoti iliyotolewa na OXFAM inayoangazia kuongezeka kwa matabaka
1
1
1
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
7 hours
Mbunge nchini Kenya, Peter Kaluma, amejeruhiwa katika purukushani kwenye kituo kimoja cha kupiga kura wakati wa uchaguzi mdogo. Kaluma, ambaye alikuwa wakala mkuu wa mgombea wa ubunge Boyd Were, alipata jeraha la kichwa alipokabiliwa na kundi la vijana. Mlinzi wake pia
0
0
0
@trtafrikaSW
TRT Afrika Swahili
7 hours
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Saqr Ghobash. Katika mazungumzo hayo, ambayo pia yalihudhuriwa na baadhi ya viongozi wa Bunge la UAE pamoja na maafisa
0
0
0