EngJubel Profile Banner
Eng Jubel Profile
Eng Jubel

@EngJubel

Followers
10K
Following
31K
Media
2K
Statuses
33K

Luke 16:11

Chinampa de Gorostiza
Joined May 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
@EngJubel
Eng Jubel
28 days
“Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.” Yeremia 33:3 SRUV
5
19
203
@EngJubel
Eng Jubel
1 hour
Tukumbuke: Sote tumezaliwa uchi inamaanisha huu utajiri wameupata hapa hapa duniani. Hakuna kukata tamaa.
4
6
12
@EngJubel
Eng Jubel
11 hours
“Eti pesa hainunui furaha, ukiwasikiliza shauri zako” @MwanaFA
0
1
7
@EngJubel
Eng Jubel
15 hours
TUKUSA.
@NiiteSonga
SONGA
15 hours
BUKOBA tupo hapa.
0
0
4
@prolific_88
Williard
22 hours
#KIDAFTARICHAMINOTI DAY 2 ✅️ LEO PIA KIPO KAMA KAWAIDA RETWEET WANA WAKAE KARIBU NA HELA . 🤑🤑🤑🤑✅️✅️✅️✅️
@prolific_88
Williard
2 days
#KIDAFTARICHAMINOTI LEO TUNAE TENA KAMA KAWAIDA RETWEET TULE WENGI.
1
26
46
@MsFrancic
Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼
23 hours
Wateja Hi!😊 Price: 12000 (12k) 5 Ltrs Location📍:Ubungo Mawasiliano Contact☎️: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya kwa gharama za mteja Kibdly Repost🙏🏾
7
48
67
@EngJubel
Eng Jubel
20 hours
Ukipiga simu mara moja isipokelewe, piga tena baadae. Usipige simu zaidi ya mara moja kwa wakati mmoja.
3
4
20
@EngJubel
Eng Jubel
1 day
As a man unapopiga simu hakikisha una issue ya muhimu. Nakupa hii itakusaidia sana.
2
1
18
@EngJubel
Eng Jubel
1 day
As a man unapopiga simu hakikisha una issue ya muhimu. Nakupa hii itakusaidia sana.
2
1
18
@prolific_88
Williard
2 days
#KIDAFTARICHAMINOTI LEO TUNAE TENA KAMA KAWAIDA RETWEET TULE WENGI.
@prolific_88
Williard
2 days
#KIDAFTARICHAMINOTI ✅️ LEO KIPO KAMA KAWAIDA TUNAELEKEA WEEKEND YA MINOTI 🤑🤑 RETWEET WANANGU WASIPITWE NA CHA LEO.
6
65
88
@EngJubel
Eng Jubel
2 days
Usilete mizaha kwenye maombi, Mungu anasikia kila uombalo na atajibu kwa wakati wake. Say amen.
1
3
14
@EngJubel
Eng Jubel
3 days
Utamsikia mtu anatufananisha na wakenya.😅😅
@Nyaburinyauma
Nyaburi🇰🇪
3 days
Raila has left us. Let's contribute towards his best send off.
1
0
4
@EngJubel
Eng Jubel
3 days
MONEY attracts the WOMAN you want, Struggle attracts the WOMAN you need.
1
1
7
@EngJubel
Eng Jubel
3 days
Kuna mjinga mmoja utasikia anakuambia gari ni anasa.😁
5
1
27
@MsFrancic
Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼
3 days
⚠️⚠️ATTENTION #WeProduceAndProvideTheBest
@MsFrancic
Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼
4 days
HIII NI KWAAJILI YA KUSAFISHIA CHOONI TUU HARUFU YAKE NI LONG LASTING ,KAMA UNASHARE CHOO NA WATU WENGI (public Toilets), HII NDO KIBOKO YA HARUFU🔥NI NZITO PIA Price: 12000 (12k) 5 Ltrs Location📍:Ubungo Mawasiliano Contact☎️: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya REPOST🙏🏽
48
87
196
@NiiteSonga
SONGA
3 days
Ukubwa ni kutambua kuwa kutofautiana kimawazo sio kugombana.
14
41
292
@EngJubel
Eng Jubel
4 days
Ukiwa na bidhaa ukahitaji saini ya Jobs jamaa wa Iphone yule, itakulazimu ulipe 50,000USD. Wealth.
0
2
4
@salamisev
𝐒𝐀𝐋𝐀𝐌𝐈
4 days
Mimi sikupata bahati ya kumuona J. J Okocha ila Ronaldinho nilimuona kuanzia 2006. Sasa wakubwa mliowahi kuwashuudia wote... Nani alikuwa mkali zaidi kati yao? Ronaldinho 🆚 Okocha
89
26
349
@EngJubel
Eng Jubel
4 days
Hivi kuna gari bora zaidi Toyota?
8
4
37
@nyuki_malkia
Malkia Nyuki 👑
4 days
Ukifumaniwa na mke wa mtu unamgonga 1. Utaomba msamaha?🙏🏿 2. Utalia? 😭 3. Utasali sala zako za mwisho ?🤲 4. Utalegeza tako wasikuumize? 💨😃
22
23
125
@Waeastzoo
Eastzoo
4 days
#Dearnyerere Wasimbe limekuwa gumzo kwa taifa 😁😁
2
5
9