BUHA FM RADIO
@buhafm
Followers
103
Following
137
Media
108
Statuses
208
The Radio is voted to give voice to the voiceless by enabling information sharing, social cohesion in local communities and refugees in western Tanzania and EA
Kasulu Kigoma
Joined February 2020
Services for people living with HIV should go in hand with protecting people with disabilities who also needs attention, is the statement of the World AIDS Day celebration linked to the World Day of Persons with Disabilities in refugee camps in Tanzania organized by Medical Teams
0
0
1
According to the AIDS Act of 2008 if you stigmatize a person with HIV/AIDS, you can be fined 2m Tsh or imprisoned for 1 year, Dr. Frederick Kilindo, acting DMO Kibondo DC, who was the guest of honor said responding to the message from people living with HIV/AIDS in Nduta Camp
0
0
0
Medical Teams yaadhimisha siku ya ukimwi duniani kwa kuhamasisha jamii ya wakimbizi kupima na kudhukua tahadhali. Wakimbizi zaidi ya 300 wanaishi na VVU katika kambi ya Nduta Kibondo. @medicalteams @UNHCRTanzania @UNAIDS
1
0
5
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MWL VUMILIA SIMBEYE https://t.co/304JYFNFoi via @YouTube
0
0
0
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Xi Jinping aliyeambatana na Mkewe Profesa Peng Liyuan katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing tarehe 04 Septemba, 2024. Hongera Mama @SuluhuSamia kazi iendelee
0
0
0
Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_ amekutana na mkurugenzi mpya wa WHO kanda ya Afrika na mbunge wa Kigamboni @DocFaustine wameteta mengi kuhusu uhusiano wa kimataifa na masuala ya afya
0
0
0
Mchambuzi mwandamizi na Mshititi wa Lugha Kiswahili nchini Dkt. Ahmad Sovu ametunukiwa tunzo ya Kiswahili na Rais Mstaafu Mheshimiwa Dkt.Jakaya mrisho Kikwete mapema leo ktk Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Tunzo hiyo imetolewa na taasisi ya WATETEZI WA KISWAHILI TANZANIA 🇹🇿(WAKITA)
0
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Julai, 2024. Hongera sana Mh. mama wa Taifa @SuluhuSamia
0
1
2
Mhe. RAIS @SuluhuSamia Tunashukuru kwa kukitambua chama cha waandishi wa habari za vijijini, pia ni waasisi wa mtandao wa Radio za Kijamii Tanzania ndio tumeanzisha chama hiki. Tunaomba uungwaji mkono wako
Asante Mh. Rais SSH kutambua uwepo Rural Journalists Association of Tanzania [RUJAT]. Wajibu wetu ni kuzipa fursa habari za vijijini ambazo licha ya kuandikwa sana, hazipati nafasi kwenye vyombo vyetu vya habari. Wana RUJAT tunafanya kazi hii kwa moyo wa dhati.@SuluhuSamia 🙏
0
0
0
Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Kasulu limeanza kufanya shughuli zake rasmi katika majengo mapya. DC Kasulu apongeza madiwani kwa usimamizi
0
1
2
Prof. Ndalichako apeleka shangwe la Eid kwa watoto wenye ulemavu
0
0
0
‘Makala Ya Wanawake Na Mabadiliko Ya Tabia Nchi- Women And Climeate Change’ is on #SoundCloud
https://t.co/1LVVqdII9t
0
1
2
Uteuzi- Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ateua wapya na kupangua wakuu wa mikoa Mikoa na wilaya na Halmashauri. @SuluhuSamia
https://t.co/QdyLumTbWA
0
0
1
Wanawake hao kutoka Shirika la Umoja wa mataifa linalohudumia wakimbizi duniani UNHCR kwa kushirikiana na mashirika mengine ya Umoja wa mataifa na wadau wa UN wametoa taulo kwa ajili ya afya za wasichana, kama sehemu ya kuonesha thamani na wajibu wa Mwanamke katika jamii
0
0
2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia , akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam leo Endapo maazimio ya kikao kikubwa cha serikali kama hiki yatazingatiwa Tanzania itapaa kiuchumi na huduma za jamii. Wewe unasemaje? lete maoni
0
0
1
Siasa za mguso wa kijamii, Ndalichako asaidia watu wenye ulemavu kupata nyenzo za kutembelea. Akabidhi magari kwa ajili ya huduma za afya jimboni. Atamba kufanya makubwa zaidi na anakiri Dr. @SuluhuSamia ameiheshimisha Kasulu
0
0
0
Chuo Kikuu cha Dodoma kimeitaka jamii kupuuza kauli ya kwamba Hesabu ni ugonjwa wa taifa, Chasisitiza hesabu na sayansi ni masomo rahisi yakizingatiwa. Prof Razaq Rukina
0
0
0
UDOM yajipanga kuinua ubora wa elimu katika fani za sayansi, hisabati na ICT, @UNICEFTanzania na @CanadaTanzania wapiga jeki mpango huo. Walimu 1400 wa sekondari kujengewa uwezo Kigoma, Tabora na Songwe. #sayansiinawezekana
0
1
3