Neville Meena
@NevilleMeena
Followers
13K
Following
115
Media
704
Statuses
3K
Former Managing Editor: Mwananchi and Tanzania Daima dailies, Secretary: Editors Forum 2009 - 2021 Best Journalist of the Year 2011 Trainer, Mentor & Consultant
Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2014
Dar es Salaam tuna TANESCO na DAWASA, loh tabu kweli kweli
0
0
0
Ni vyema mamlaka zetu kutoa majawabu pale zinapotafutwa, badala ya kusubiri kuzungumza baada ya taarifa kutangazwa. Dunia ni KIJIJI.
0
0
2
Inavyoonekana kwa sasa ni dhambi na haramu kulalamikia utekaji na upoteaji wa watu katika nchi yetu, sad. Mungu atunusuruπππ
3
57
368
πππMungu akupe pumziko la amani kaka Charles Hillary. What a loss!
0
0
5
Breaking News:The Conclave has chosen an American Cardinal Robert Prevost a the new Pope!
0
0
0
Moshi mweupe Vatican kuashiria kupatikana kwa Papa mpya anayechukua nafasi ya Hayati Papa Francisco.
1
0
2
Tanzia: Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya [93] amefariki dunia leo. Mungu ampe pumziko la amani mzee wetu.
1
2
3
Shule za jijini Dar es Salaam zitafungwa kwa siku mbili [2] kwa maana ya kesho Jumatatu na keshokutwa Jumanne [Januari 27 & 28, 2025] kutokana mkutano wa Nishati wa kimataifa utakawashirikisha wakuu wa nchi wapatao 30.
1
1
3
Miguel Gamond, msaidizi wake Wapewa Thank You Yangaπ€π€π€π€
0
0
6
Askofu Chediel Elinaza Sendoro wa KKKT Dayosisi ya Mwanga mkoani Kilimanjaro amefariki dunia usiku huu katika ajali ya gari. Gari la Askofu huyo limeharibika vibaya [kama linavyoonekana pichani] na mtoto wake aliyekuwa naye amenusurika.
7
6
32
Mfanyabiashara Rostam Aziz amelaani mauaji ya aliyekuwa Mjumbe wa Sekretariet ya CHADEMA, Mzee Mohamed Ali Kibaoπππππ
2
0
2
Hapa kuna ujumbe wa Rais SSH ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM kuhusu mauaji ya Mzee Kibao ambaye ni Kada wa CHADEMA. Pia kuna ujumbe wa Mwenyekiti wa UVCCM, Ndg. Kawaida [ambaye pia ame-repost] ujumbe wa Rais SSH. Alichokiandika Kawaida sasa kuhusu mauaji hayo duhπ³π³π³π³
11
5
18
Katika hili la kuuawa kwa Mzee Kibao, nchi yetu Tanzania; imechafuliwa, imejichafua na imechafuka!!!
0
0
2
Waovu wametumia Akili mnemba [Artificial Intelligence - AI] kubadili habari ya ukurasa wa mbele wa Gazeti la Mwananchi leo Jumanne Septemba 3, 2024. Wameondoa habari ya aliyekuwa DC Longido na wamepachika uongo kuhusu Odemba, Chadema na Ubalozi wa Marekani nchini.@MwananchiNews
0
10
25
Zab 118:22 inasomeka hivi: "Jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu la pembeni." ππππ
0
0
3
Baadhi ya waandishi wa habari walioko uwanja nanenane Dodoma wako gallery. TV iliyowekwa ili wafuatilie matukio ya hitimisho la maonyesho haionyeshi chochote. Shughuli zinaendelea ambako Mh. Rais Samia anasubiriwa kuhutubia.
1
0
0