World Press Freedom Day (2025)
@WPFD_TZ
Followers
517
Following
335
Media
112
Statuses
489
THEME: Reporting in the Brave New World: The Impact of Artificial Intelligence on Press Freedom and the Media | #WPFD | #WPFD2025
Tanzania
Joined April 2023
Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2025 ni jukwaa la kipekee kwa wadau wa habari kushiriki katika kuangazia athari za Akili Mnemba (AI) katika sekta ya habari. Maadhimisho yatatoa fursa ya mijadala yenye tija na hatua madhubuti za kulinda Uhuru wa Habari. #WPFD2025
1
15
21
28/04:#Arusha:🇹🇿 #WPFD national celebration we, @MediaCouncilK,@Twaweza_NiSisi @NewTMF & ,@NuktaAfrica discussed the impact of #AI on Media Sustainability-in the region. Calls to report & fund public interest journalism, innovate based on audience research, train, embrace #AI.
1
6
8
ARUSHA: Akizungumzia suala la uhakiki wa Taarifa, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo amesema kupitia https://t.co/ziy04alt6x wanashirikiana na Wanachi kuwaonesha kile kinachofanyika kwa kuwa ni sehemu ya Elimu ya kuelewa mchakato wa uhakiki wa Taarifa potofu
0
2
6
ARUSHA: Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiAfrica, Maxence Melo anasema “Katika kufanikisha elimu ya kukabiliana na taarifa potofu, tumewajengea uwezo Wadau wa Habari kukabiliana na changamoto ya taarifa potofu, tumekuwa tukifanya hivyo kwa Wadau mbalimbali.” Ameongeza "Tuliamua
0
2
7
ARUSHA: Kuna changamoto ya baadhi ya Taasisi za Serikali kushindwa kuwa ‘Active’ katika kujibu kwa wakati kuhusu taarifa mbalimbali zinazokuwa zinasambaa Mtandaoni Hayo yamesemwa na Nuzulack Dausen kutoka Nukta Africa ambaye ameongeza kuwa “Wanapofanya hivyo kuna Watu wanaweza
1
1
14
ARUSHA: Balozi wa Uswisi-Tanzania, Nicole Providoli amesema Mijadala iliyofanyika katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025 imeonesha faida na changamoto zinazoweza kusababishwa na Akili Manemba (AI), pia imegusia suala la uhakiki wa Taarifa ambalo nalo ni la
2
3
32
ARUSHA: Mkurugenzi wa Masuala ya Kisekta kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Mwesigwa Felician amesema Mtandao wa Telegram hauna shida na unafanya kazi kama kawaida Amesema hayo baada ya kuulizwa swali na Mdau katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya
2
1
10
Waziri Mkuu Majaliwa: Maadili, Ujasiriamali na Utamaduni Vipewe Kipaumbele katika Tasnia ya Habari Akizungumza kama mgeni rasmi katika maadhimisho ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika mkoani Arusha katika hoteli ya Gran Melia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
0
5
8
“Natamani sana kuona waandishi wa habari wa Tanzania wakibadilisha aina ya habari wanazoandika ambazo zitalenga kukuza uchumi wa Tanzania, ningekuwa na uwezo ningewabadilisha waone umuhimu huo. Habari ina uwezo wa kubadilisha aina ya maisha ya watu ki-uchumi” - Paul Makonda -
0
3
7
ARUSHA: Wadau wa Habari kupitia Maazimio waliyoyatoa katika Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025 wameeleza kuwa kadiri Akili Mnemba (AI) inavyoathiri Uandishi wa Habari, wanapendekeza kuwepo kwa Mifumo madhubuti ya Kitaifa ya kusimamia matumizi yake kwa Uwajibikaji katika
1
1
24
📢 📢 #𝗪𝗣𝗙𝗗𝟮𝟬𝟮𝟱 𝗶𝘀 𝗻𝗼𝘄 𝗟𝗜𝗩𝗘! Join global conversations on media freedom, ethical AI, and the future of journalism. Don’t miss out! 📺 Watch the live stream here: https://t.co/nmlG6jmigh
0
10
14
Akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Mwakilishi wa UNESCO Nchini Tanzania, Michel Toto amesema Uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu katika Jamii za Kidemokrasia Ametoa wito kwa wadau wa Sekta ya Habari kuzingatia kuwa
1
1
12
ARUSHA: Wadau wamesema kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, wanasisitiza umuhimu wa kuhakikisha Usalama na Heshima ya Waandishi wa Habari Nchini, wakitoa wito kwa Serikali, Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Wanasiasa na Jamii kwa ujumla kuhakikisha Waandishi wanalindwa dhidi ya
1
3
15
ARUSHA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaulinda Uhuru wa Habari na inafanya hivyo kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali wakiwemo Wadau wa Habari Amesema hayo katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yanayofanyika Kitaifa katika Hoteli Grand
1
1
4
ARUSHA: Akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika kuboresha Mazingira ya Sekta ya Habari, Wadau wanatakiwa kutoa maoni zaidi kuhusu Sera ya matumizi ya Akili Mnemba (AI) iweje, wakati huo huo
1
1
6
ARUSHA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itayapokea maoni ya Wadau wa Habari na itayafanyia kazi hata kama itakuwa ni masuala ya mabadiliko ya Sera, Kanuni au Sheria Ameeleza hayo katika Maadhimisho hayo ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025, ambapo Kaulimbiu
1
2
8
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini, Susan Ngongi akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya WPFD 2025 amesema Akili Mnemba (AI) si tena dhana ya nadharia ya mijadala, ni uhalisia unaobadilisha kwa kina namna tunavyotengeneza, kusambaza na kupokea taarifa, hivyo maamuzi ya
2
2
23
ARUSHA: Akizungumza katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari 2025, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema “Uandishi usiofuata Maadili unaweza kuwa chanzo cha kuporomoka kwa Tamaduni, Mila na Desturi zetu, na hii ndiyo sababu ya kuwepo kwa Vyombo vya
3
1
18
"Mwandishi wa habari mnyime kila kitu lakini usimnyime uhuru wake wa kufanya kazi", - @MsigwaGerson. #WPFD2025
1
2
2