@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
Tumemuandikia barua Mhe Rais @SuluhuSamia tukishauri AMSIMAMISHE KAZI Mhe Jaji Biswalo Mganga, kupisha UCHUNGUZI wa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi akiwa DPP. #Uadilifu #Maadili #Mahakama #Haki
Tweet media one
Tweet media two
121
434
1K

Replies

@libeberu
@mfukunyuzi
1 year
@TitoMagoti @Akram50206424 @SuluhuSamia @PMadeleka Mnakonikwamza ningi wanasheria wa Tanzania akina @PMadeleka @TitoMagoti @TunduALissu na wengine ni modalily mzatumia kudeal na issues, kwa nini msiemde mahakamani kumshtaki niswalo mahakama iamue au itoe tafsiri badala ya kwenda kiomba feva kwa alomteua
8
0
4
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
1
2
6
@SIMONZACHARIAH
Simon Zachariah
1 year
2
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
1 year
@SIMONZACHARIAH @SuluhuSamia @PMadeleka Thanks, Simon. Niliisikia hii kwenye ziara ya Nairobi. Na YouTube ilipotoka. Ninajivunia hili kundi hakika.
0
0
2
@SteveFredy1991
Steve Fredy
8 months
@TitoMagoti @SuluhuSamia @PMadeleka Kaka Tito hivi Raisi wa nchi anao uwezo wa kumsimamisha kazi mtumishi wa mhimili mwingine? Sio kwamba ilipaswa mahakama yenyewe ndio inapaswa kumsimamisha? @TitoMagoti ?
1
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
8 months
@SteveFredy1991 @SuluhuSamia @PMadeleka Utaratibu wa nidhamu ya Majaji wasio waadilifu kama Biswalo uko kwa Rais. Katiba inaelekeza hivyo, mkuu.
1
0
2
@MpettaMan
Carlos Mpetta@BrunoManunited.
8 months
@TitoMagoti @SuluhuSamia @PMadeleka Safi sana na Rais kuona amekosea na kuanza upya si kosa kwa nn inaonekana kama ni mbaya wkt ni kawaida tu maana yy ni binadamu ati.
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
8 months
0
0
0
@Balimponya
Elias G. Balimponya💪
1 year
@TitoMagoti @SuluhuSamia @PMadeleka Nimesoma barua aliyoandikiwa Mhe. Rais ila nimeambulia patupu. Kwamba siku hizi, yasemwayo na watu inakuwa ni TUHUMA? Nadhani Mtuhumiwa ni aliyefunguliwa mashtaka juu ya jambo fulani na uchunguzi wa jambo hilo huanza. Mfungulieni kesi Jaji Mganga ili awe MTUHUMIWA.
1
0
3
@McinikaWaLamar
Daktari Wa Manesi 💉💊
1 year
0
0
11
@MpaleMpoki
Mpale Mpoki
1 year
@TitoMagoti @SuluhuSamia @PMadeleka Lakini halazimiki kumsimamisha
Tweet media one
2
0
11
@jofrey_mentor
MENTOR
1 year
0
0
0
@yusufu3133
Babii
1 year
@TitoMagoti @SuluhuSamia @PMadeleka Mwenzie Dorothy je hakushiriki?
1
0
2
@PMadeleka
Peter Madeleka
1 year
@TitoMagoti @SuluhuSamia Hatuwezi Kukubali MAHAKAMA iendelee kuwa na “JAJI” mwenye TUHUMA za UJAMBAZI wa pesa za umma.
7
15
115
@TheTumaLicious
Tuma Licious
1 year
@TitoMagoti @SuluhuSamia @PMadeleka Safi👏👏Hongereni kwa hatua hii🤗
0
0
3
@samhillu
Samwel Mhilu
1 year
@TitoMagoti @SuluhuSamia @PMadeleka Safi sana! Mpaka kieleweke. Huu ni uthubutu.
0
0
2
@annan_marck
#BandariHaiuzwi
1 year
@TitoMagoti @SuluhuSamia @PMadeleka Narudia tena na tena Mh Samia ni sikuo la kufa
1
0
2
@mnwasele
Mnwasele Abdullatif Fundikira
1 year
0
0
1
@MbwamboProsper
Prosper
1 year
0
0
1
@robby_mauly
robby
1 year
0
0
2