Timbertzaa Profile Banner
Timber TZA Profile
Timber TZA

@Timbertzaa

Followers
13K
Following
61K
Media
1K
Statuses
104K

Content Creator || https://t.co/WtIHu8xXOB

Mara, Tanzania
Joined March 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Timbertzaa
Timber TZA
2 years
Biblia Kutoka 15:23 "Walipofika mahali palipoitwa Mara hawakupata kuyanywa yale maji ya Mara, kwa kuwa yalikuwa machungu; kwa ajili ya hayo jina lake likaitwa Mara". Good Morning watu wa Mkoa wa MARA
27
58
161
@Timbertzaa
Timber TZA
5 hours
Mwanamke akiandika ujumbe gani mtandaoni unahisi atakuwa na tabia za kiume?
0
0
4
@Timbertzaa
Timber TZA
8 hours
kuangalia maeneo ya mbali yaani Darubini kama mtumbwi/jahazi ambapo pengine wanaitilia shaka walikuwa wanafanya mawasiliano ya ishara na Kijiji cha Namagondo ambao pia walitoa ishara Kijiji cha Halwego na kusambaza taarifa ya hatari Ukererwe. Follow @Timbertzaa
0
0
0
@Timbertzaa
Timber TZA
8 hours
Kipande cha boma hilo bado kipo mpaka leo na kanisa wamesimika msalaba kwenye jiwe refu maarufu Hazamu. Maana ya Hazamu au Handebezyo wazee walipatumia...
2
0
0
@Timbertzaa
Timber TZA
8 hours
Baada ya Biashara ya watumwa kupigwa marufuku Kituo hicho cha Hamuyebe/Mwiboma kilinunuliwa na Mzungu Stokes na kukitumia kwa biashara ya meno ya tembo, shanga na chumvi maarufu Nyalaja kiliuzwa tena kwa wamisionari wa kikatoliki na kutumiwa kueneza neno la Mungu.
1
0
0
@Timbertzaa
Timber TZA
8 hours
BOMA LA WAJERUMANI HAMUYEBE UKEREWE Ukiwa Kijiji cha Hamuyebe wilayani Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza unaweza kutembelea lilipokuwa Boma la wajerumani likitumika kama kituo cha biashara ya watumwa ambapo baadae walielekea Kaegee na kuanza safari ya kuelekea Bagamoyo.
3
8
11
@ATizulwa_
KUBWA LA MAADUI
1 day
Wawekezaji nimewaletea mkeka wa leo bashiri sasa na MELBET upate bonus kibao. 🔥Code, RHK2U 🔥Stake 1.4M 🔥Odds 25 🟢Kampuni Melbet jisajili 🟥Zima VPN unapojisajili First deposit 200% Bonus -Web- https://t.co/EtC8IMQxam -apk- https://t.co/QzSY0Jx2cU Promo code, Cuty
11
24
26
@Timbertzaa
Timber TZA
10 hours
Wasiotoa mchango kwenye sherehe ndio wana uhakika wa chakula na vinywaji, ni tofauti na wale waliochanga shughuli ikiisha ni lawama kuwa pesa yao imeenda bure
0
0
0
@Mzungu_pori1
MZUNGU PORI💪
1 day
Anza wiki kwa mafanikio makubwa ukiwa na Internet bomba ya Airtel ODU router Kwa 100,000\ tu unapata ODU router pamoja bando la mwezi FREE DELIVERY & FREE INSTALLATION bando zake; 70k Mbps 25 100k Mbps 40 Cc @heristraton29 CALL 0687892129 https://t.co/Ylo0KxfsHe
4
17
17
@Timbertzaa
Timber TZA
1 day
Sisi pale shuleni tulikuwa tunawaita PWA (People With Aids) na nyie
0
0
0
@Official_T_O_D
Teacher On Duty (T.O.D)
1 day
Usiyapime Mafanikio Kwa Kutazama Hatua Za Jirani,Kumbuka Mafanikia Ni Safari Kila Mmoja Ana Mbio Zake. Good Morning Stakeholders 👋
1
12
20
@Official_T_O_D
Teacher On Duty (T.O.D)
1 day
Disemba Hii Kumbuka;- Siyo Kila Ndoto Itatimia, Kila Mapito Na Kusudi Lake, Wakati Wote Ni Bora Kama Funzo, Tengeneza Nafasi Nyingine Kwa Kurekebisha Ulipokosea, Fanya Kazi Kwa Bidii Usisahau Ibada, Usihadaike na Ukuu Wa Dunia, Na Jifunze Kusamehe. 2026 Kwa Mafanikio 💪.
6
14
22
@Cargo_1911
CARGO⭐🌍
1 day
3
2
12
@Cargo_1911
CARGO⭐🌍
1 day
3
5
21
@Timbertzaa
Timber TZA
1 day
Mkoa wapi niwaletee challenge na zawadi zenu hapa mkoani Mara niambie "Ni Hatua gani za kufuata mpaka umuone Mpenzi wako kwenye glasi pindi unapokunywa maji"?
3
10
34
@Timbertzaa
Timber TZA
1 day
Wasiotoa mchango kwenye sherehe ndio wana uhakika wa chakula na vinywaji, ni tofauti na wale waliochanga shughuli ikiisha ni lawama kuwa pesa yao imeenda bure
0
0
1
@nassor_01
CHOLLO
1 day
Kuna ile moment umemaliza chuo halafu hauna connection, qmmke unawaza mpaka unaanza kuhisi "au nilienda kusomea bachelor ya umasikini?"...😅😅
2
6
8
@kasesco_tz
kasesco☆
1 day
Unaangalia nini kabla ya kuhamia kwenye nyumba. 1.Eneo lilipo 2.Ukubwa wa vyumba 3.Ukubwa wa jiko 4.Ukubwa wa eneo la nje 5.Urahisi kupata huduma za jamii
22
34
117
@Timbertzaa
Timber TZA
1 day
Kumpeleka mtoto kulelewa na kusomea kwa Bibi na Babu ni chanzo cha kuharibu mtoto Bibi na Babu hawana mamlaka na maamuzi mazito juu ya mjukuu watamlea kama mtani wao muda mwingine watamuomba pesa wakati ni mwanafunzi hivyo inapelekea mtoto kuanza kutafuta pesa badala ya kusoma.
1
6
6
@Cargo_1911
CARGO⭐🌍
1 day
Neno moja kutoka Kwa Mbunge anaye beti😂
14
17
87
@Cargo_1911
CARGO⭐🌍
1 day
Happy New Month, GM family 🙏👏🙌
16
15
49