TanzaniaUpdates Profile Banner
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@TanzaniaUpdates

Followers
28
Following
70
Media
1
Statuses
66

Follow kupata updates na ripoti mbalimbali za uhakika kuhusu Tanzania.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
RT @factchecktza: UFAFANUZI: Kutokana na ufuatiliaji uliofanywa na umebaini kuwa taarifa iliyosambazwa mitandaoniโ€ฆ.
0
2
0
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
RT @factchecktza: MATUMIZI MABAYA YA AKILI MNEMBA. Video hii iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, mโ€ฆ.
0
2
0
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
RT @factchecktza: 19 MEI 2025 - CAF YAKANUSHA BARUA KWA SIMBA SPORTS CLUB. @CAF_Media limekanusha kuwepo kwa barua inayosambaa mitandaoniโ€ฆ.
0
2
0
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
RT @factchecktza: TAARIFA YA UONGO inayohusisha @tanpol .Na @SuluhuSamia . Follow us kupinga upotoshaji wa taarifa. #Tanzania https://t.cโ€ฆ.
0
3
0
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Treni mpya ya umeme inatarajiwa kuwasili nchini jumanne Machi 26 mwaka huu tayari kwa kuanza kazi mwezi Julai. Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa juzi na shirika la reli nchini (TRC) #TanzaniaUpdates.
1
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Waziri wa elimu,sayansi na teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa kupitia sera ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 ambayo imeanza kutekelezwa January 2024, wenye taaluma ya ualimu wataanza kufanyiwa tathmini ya mitihani ili kupata ajira #TanzaniaUpdates.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Waziri wa elimu, sayansi na teknolojia, Prof Adolf Mkenda amesema kuwa mitaala mipya imeanza mwaka huu ikihusisha ngazi ya darasa la kwanza na la tatu, upande wa sekondari imeanzia kidato cha kwanza na kidato cha tano pamoja na vyuo vya ualimu #TanzaniaUpdates.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Rais wa Senegal, MackySall amekubali kufanya mabadiliko ya tarehe ya uchaguzi mkuu kutoka Disemba 15, 2024 hadi Machi 24, 2024 kutokana na maandamano yanayotaka aheshimu muda wake wa kuondoka madarakani #TanzaniaUpdates.
0
0
2
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Siku ya wanawake husherekewa kila ifikapo Machi 8, ikilenga kutambua jitihada, harakati na mchango wa wanawake duniani #HappyInternationalWomensDay #TanzaniaUpdates.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kampuni ya Asas inayohusika na usambazaji wa maziwa imetunukiwa tuzo ya heshima kwa viwango na ubora kutoka Super Brand East Africa Choice. Tuzo hizo zimetolewa jijini Dar es Salaam #TanzaniaUpdates.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Dar es salaam (DAWASA) imetoa taarifa kwa wateja wake wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu chini kuwa kutakuwa na upungufu wa huduma za maji kuruhusu maboresho ya msingi kuanzia leo Jumanne jioni hadi Alhamis March 7, 2024.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Ushirikiano wa NMB na UBX inayounganisha benki 17 kupitia mtandao wa Umoja Switch umeiwezesha benki ya NMB kuunganisha benki 17 kwenye mtandao wake wa ATM lengo likiwa kuongeza wigo wa upatikanaji wa mashine za ATM na kupunguza gharama za miamala ya ATM kwa wateja wa benki.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Baraza la sanaa,sensa,filamu na utamaduni la Zanzibar (BASSFU) limemfungia msanii wa bongo fleva Zuhura Masoud 'Zuchu' kuendesha shughuli zozote za kisanaa visiwani humo vilevile imepiga marufuku vituo vya redio na TV kucheza kazi zake kwa kipindi cha miezi 6 #TanzaniaUpdates.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Serikali nchini Ufaransa ya rais, Emmanuel Macron imeidhinisha sheria ya utoaji mimba kuwa haki ya kikatiba kwa wanawake ambapo watakuwa huru kufanya hivyo pindi wanapojisikia #TanzaniaUpdates.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Serikali kupitia naibu waziri wa mambo ya ndani Jumanne Sagini imetoa siku 14 kuondolewa kwa namba za 3D kwenye magari kwani namba hizo hazitengezwi na wakala mwenye kibali kutoka TBS na pia herufi hizo zina ugumu wa kusomeka katika umbali usiopungu mita 100 #TanzaniaUpdates.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
EPL : Klabu ya Arsenal imeibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Sheffield United ugenini usiku wa kuamkia leo. Arsenal bado imesalia nafasi ya 3 wakiwa na alama 61 nyuma ya Manchester City na vinara Liverpool kwa tofauti ya alama 2 #TanzaniaUpdates.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Nchini Senegal mamia ya waandamanaji wameripotiwa kuendelea kumtaka rais wa nchi hiyo MackSall kufanya uchaguzi mkuu mwezi mmoja kabla ya muda wa urais wake kuisha April 2, 2024 #TanzaniaUpdates.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amepiga marufuku vituo binafsi kuwaondoa wodini wagonjwa ambao ni wanachama wa NHIF mara baada ya saa 48 kupita kutolewa kwa taarifa hiyo na vituo hivyo. #TanzaniaUpdates.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kupitia instagram stori mwanamuziki Wizkid ametudokeza juu ya ujio wa albamu yake mpya ikiwa ni miaka miwili tangu alipoachia albamu yake ya 'More Love, Less Ego' #TanzaniaUpdates.
0
0
1
@TanzaniaUpdates
Tanzania Updates ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Wizara ya afya inayoendeshwa na Hamas inailaumu Israel kufatia vifo vya wapalestina 100 waliokuwa wakisubiri msaada Gaza #TanzaniaUpdates.
0
0
1