EL SUKAYO🇹🇿
@Sukayotz
Followers
11K
Following
76K
Media
5K
Statuses
78K
Mchambuzi || Sports Quotes ||Transfer exclusives || Saka prime fan || All days chasing funds || DM 📩 me for promo
East Africa
Joined November 2022
🚨 BREAKING Uongozi wa Simba Sc umesitisha mkataba wa head coach wao Fadlu Davids Official statement itatolewa soon 🔜
67
24
417
💥Tangu hili taifa lianzishwe halijawahi pata rais kama JOHN POMBE MAGUFURI,,
1
6
23
Maisha ni ufala saana unaweza kukwepa kuvaa nguo za mtumba halafu unakuja kuoa mke used ..🚮
7
19
107
Sijawahi kuona taifa lenye watu waoga kama bongo yaani mkwala kidogo tu wote wamechimba😆😆😆 Yaani unaogopa kuandamana kisa kichapo halafu ni kichapo tu hawakuui na mabomu ya machozi kidogo tu maana jeshi la police haliwezi kuua raia wake
9
5
36
Aliyesema oktoba tunatoka amekutwa chini ya uvungu kajificha 🤣🤣🤣
7
14
58
Leo unaweza ukatoka Bamaga hadi posta unaendesha ukiwa umefumba macho na ukafika tu salama,. Njia ni nyeupeeeee😂💔🚮.
6
6
28
💥hapa katoro mjini mbona kama nimetk peke yangu au nyie mnatk online,,😁
1
1
5
Kuna hawa ambao huwa wanaoga kila asubuhi wakiamka, kwani vitanda vyao vinakuwaga na matope..?🤔
1
7
59
Kabla Hauja fikiria kuandamana kwa fujo fikiria utamu wa hii mambo hapa.😂
31
32
140
Barabarani kweupe hamna watu watanzania mi niliwaambia hamuwezi kufanya maandamano akili zenu bado ni ndogo mkawa mnabisha mnanitukana haya mmeona sasa? Mmejiona namna mlivyo na akili ndogo?
30
16
108
Unaleta pisi usiku kila mtu akiwa amelala alafu asubuhi bi mkubwa anatuma ka junior kakuulize kama mgeni atakunywa chai ya maziwa ...😂
15
16
123
Wachezaji wa mpira hawanaga muda kabisa na wanawake wenye mashepu au wanamalizaga nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣
12
15
49
Nilisema sikusema? Bongo nyoso mtu ananakujaza mkaandamane halafu yeye analala nyumbani kwake
7
4
45
Thread 🧵! Je wajua unaweza fanya unsafe sex na mtu alienamaambukizi ya virusi vya UKIMWI na usipate maambukizi? Ila huyo mtu anatakiwa awe katika hali ya U=U maana yake unpredictable(havionekani)=untransmittable( haviambukizi) na hiyo hali hutokea baada ya kua anazingatia,
18
26
41