SmartChannel_Tv Profile Banner
SmartChannel_Tv Profile
SmartChannel_Tv

@SmartChannel_Tv

Followers
17K
Following
2K
Media
2K
Statuses
4K

Pata Habari Kwa Saa 24

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
3 hours
na elimu ya kutosha ili waweze kujua wanachokifanya lakini pia kuwe na umeme ili kuwe na usalama, tuweze kufanya kazi zetu kwa usalama, Maji safi na salama- Hii ndio ahadi yetu kwenu wana Kalinzi." Amesema Dkt. Samia aliposimama kuzungumza na wananchi wa Kalinzi Mkoani Kigoma
0
0
0
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
3 hours
tunaleta reli ya kasi na tunaiunganisha na nchi jirani ili Kigoma ifanye biashara na nchi jirani. .... Lakini tunajua ili hayo yafanyike lazima Vijana na watoto wetu na wananchi kwa ujumla wawe na afya ya kutosha ili waweze kulima na kuzalisha kwa kiasi cha kutosha, lakini wawe
1
0
0
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
3 hours
ameahidi kuifanya Kigoma kuwa Kitovu cha Biashara Ukanda wa Ziwa Tanganyika. "Ahadi yetu kwa Kalinzi na Kigoma kwa ujumla, mkitupa ridhaa kuongoza serikali lengo letu ni kuifanya Kigoma kuwa kitovu cha biashara kwenye Ukanda huu na ndio maana tunafanya ukarabati wa reli ya zamani
1
0
0
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
3 hours
DKT. SAMIA ASIMAMISHWA KALINZI KIGOMA, AAHIDI UKUZAJI WA UCHUMI WA WANANCHI Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Kalinzi Mkoani Kigoma tarehe 13 Septemba, 2025
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
0
1
@GetCoinZoom
CoinZoom
1 month
She booked the boat – send her what you owe in an instant for free no matter where you are with ZoomMe. Buy a round for the group with your CoinZoom debit card and you’ll get up to 5% back in free crypto.
0
4
36
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
4 hours
waongeze thamani mazao" Mhe. Dkt. @SuluhuSamia
0
0
0
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
4 hours
"Mbali na ruzuku ya pembejeo kutolewa, tutafungua skimu za kilimo cha umwagiliaji ili wananchi wa Buhigwe waweze kulima mara mbili kwa mwaka kupitia Mradi wa Jenga Kesho Iliyobora (BBT), BBT inakuja Buhigwe. Vijana tutawaweka huko wazalishe mazao, tuwawekee viwanda vidogo ili
Tweet media one
1
0
0
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
4 hours
upatikanaji wa maji itafikiwa hapa Buhigwe" Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, Mgombea Urais kupitia @ccm_tanzania
0
0
0
@AmericanStorie3
American Stories Network
10 days
Want your tactical tools seen on national TV—not just social? Our tactical shows air on cable, satellite & streaming across the U.S. Make customers see your brand like never before. See how it works.
0
1
2
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
4 hours
"Ahadi yetu kwenu wana Buhigwe ni kwamba, kila Kitongoji cha Buhigwe na kila mwananchi wa Buhigwe anapata maji karibu na yeye, sasa hivi tupo asilimia 84 (hali ya upatikanaji wa maji) ndani ya wilaya ya Buhigwe, kwa miradi ya maji ambayo inaendelea ikikamilika asilimia 90 ya
Tweet media one
1
1
1
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
4 hours
Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeendelea na kampeni zake Mkoani humo kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
0
0
0
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
4 hours
WANANCHI WA BUHIGWE KWENYE MKUTANO WA KAMPENI ZA DKT. SAMIA Umati wa wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wakiwa wamejitokeza kwa wingi leo Jumamosi Septemba 13, 2025 kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
0
1
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
5 hours
"Tutajenga na kumaliza ujenzi wa barabara za Mwanga-Muyama (KM 36), Uvinza - Kanyani (KM 60), Mugome-Mkanda (KM 36) kwa kiwango cha lami na barabara" Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, Mgombea Urais kupitia @ccm_tanzania
Tweet media one
0
0
0
@SurferX_IO
SurferX Token - $SRFX
1 day
SurferX Army!!!! Takeover!!
76
90
121
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
5 hours
Nafahamu kuna uhitaji wa maji Kasulu, mradi wa maji wa miji 28 utafanya kazi ya kutatua changamoto hii, lakini pia tumeleta magari ya kuchimba visima kila mkoa kwa maeneo ambayo yapo mbali na vyanzo vya maji ili maji yawafikie wananchi" Mhe. Dkt. @SuluhuSamia
Tweet media one
0
0
0
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
5 hours
jirani upo" Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, Mgombea Urais kupitia @ccm_tanzania
0
0
0
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
5 hours
"Kigoma tayari mmeanza kupata uwekezaji wa viwanda vikubwa, kuna viwanda vya saruji, sukari na kuifanya Kigoma kuwa mkoa wa kimkakati katika uzalishaji wa sukari na saruji nchini, tutaandaa mazingira ya kuwafanya wawekezaji zaidi waje Kigoma kwasababu usafirishaji kwenda nchi
Tweet media one
1
1
1
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
5 hours
mwaka kwaajili ya ununuzi wa vipuri na mafuta ya dizeli kwaajili ya majenereta ya umeme baada ya kuiunganisha Kigoma na Gridi ya umeme ya Taifa na hivyo kuondokana na matumizi ya umeme wa majenereta, fedha ambazo zimetumika kusambaza umeme kwenye Vijiji vyote vya Mkoa wa Kigoma.
0
0
0
@BPharmCatalyst
BioPharmCatalyst
23 days
🎙️New episode of Biotech Bulls and Breakthroughs is live! John Gagliano and Sheff discuss the latest trends in the biotech market, focusing on key companies, insights from earnings season, and upcoming catalysts.
0
2
15
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
5 hours
kituo Cha kupooza umeme Kidakwe ili kuondokana na changamoto ya umeme Mkoani humo inayotokana na umbali kutoka unapozalishwa umeme kufika Mkoani humo. Awali Dkt. Samia pia amesema serikali ya awamu ya sita imefanikisha pia kuokoa zaidi Ya Bilioni 58 zilizokuwa zinatumika kila
1
0
0
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
5 hours
muhimu tunaahidi kuwa tutaanza na kiwango cha changarawe ili ziweze kupitika kwa muda wote." Amesema Dkt. Samia. Akizungumzia sekta ya nishati Mkoani Kigoma Dkt. Samia pia amesema serikali yake itaendeleza ujenzi wa mradi wa kufua umeme kwenye mto Malagarasi pamoja na ujenzi wa
1
0
0
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
5 hours
ikiwa atachaguliwa katika uchaguzi Mkuu ujao atajenga pia barabara ya Ilani- Mwanga- Muyama, Uvinza- Kanyani na Mugome- Kagera Nkanda Kilomita 36. "Tunaamini kwamba hizi ndizo barabara muhimu za kiuchumi kwahiyo tutazijenga kwa kiwango cha lami na kama kuna barabara nyingine
1
0
0
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
5 hours
amezitaja barabara hizo kuwa ni za Manyovu- Kasulu Kilomita 68, Barabara ya Kanyani- Vugwe, Vugwe- Nduta pamoja na barabara ya Nduta- Kibondo, akisema kukamilika kwake kutaifanya Kigoma kuwa Miongoni mwa Mikoa yenye barabara nzuri za lami nchini. Dkt. Samia pia ameahidi kuwa
1
0
0
@ICEgov
U.S. Immigration and Customs Enforcement
17 days
America needs you! Join U.S. Immigration and Customs Enforcement today.
3K
4K
27K
@SmartChannel_Tv
SmartChannel_Tv
5 hours
Oktoba 29, 2025, ameahidi kukamilisha ujenzi wa barabara zote za Kasulu Mjini ili kuendelea kuvutia zaidi biashara na uwekezaji na kurahisisha shughuli za kiuchumi kupitia usafiri na usafirishaji. Dkt. Samia wakati akizungumza na maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza,
1
0
0