
ππ©π¨π₯π₯π¨
@Apollo_Boniface
Followers
48K
Following
433
Media
1K
Statuses
5K
HOSOME Chadema | Bavicha Head of Information and Communication Depertment 2018 - 2024
Mikocheni Kinondoni DSM
Joined December 2019
"@TunduALissu anyongwe, watanzania tupo milioni 63, akitoka mmoja kuna hasara gani." Kijana wa CCM. Huku ndipo tulipofika kama Taifa.
29
22
67
Mahakama (@judiciarytz) imeondoa video zote za mwenendo wa kesi ya Uhaini na Uchochezi iliyokuwa inamkabilia Mhe. @TunduALissu katika ukurasa wake wa Youtube. Mna hofu nini watu kurejelea mwenendo wa kesi?.
20
98
467
Mwenyeliti wa Chadema Taifa Mhe. @TunduALissu akiwa gerezani amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa @idualliance.
12
106
517
RT @Nice_Gisunte: Sekretarieti ya zamani ya Chama ndiyo iliyohusika katika kuipika na kuiandaa agenda ya #NoReformsNoElection wakaipeleka Kβ¦.
0
134
0
RT @Nice_Gisunte: Bawacha Mkoa wa Ilala ipo imara sana na itaendelea kuwa imara, hatuwezi kuyumbishwa kwa kukimbia mapambano kwa mtu mmojaβ¦.
0
77
0
Katibu Mkuu wa Chadema Mhe. @jjmnyika atazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari kesho tarehe 30 Aprili 2025, saa tano asubuhi Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni Dar Es salaam. #StrongerTogether
1
65
243
RT @Nice_Gisunte: Nimefika Mahakani kufuatilia mwenendo wa kesi ya Mhe. @TunduALissu, Jeshi la Polisi limetuzuia. Kesi hii ina maslahi maβ¦.
0
263
0