Proffe_sa Profile Banner
Proffesa Profile
Proffesa

@Proffe_sa

Followers
16K
Following
9K
Media
893
Statuses
12K

Akili Mtu Wangu 🫡 Punter wa mapunter Odss zetu ni bure kabisa ila hatuwezi kukuhakikishia kwamba ni za uhakika😀 kumbuka kubeti kistaarabu🙃

Fiji
Joined January 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Proffe_sa
Proffesa
9 hours
Msafara wa mabadiliko umeingia Karatu, Manyara. Zoezi la wadhamini linaendelea kwa nguvu, wananchi wakipaza sauti zao kwa #UwakilishiMakini. Oktoba tunaenda na CHAUMMA . #CHAUMMA2025
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
1
1
@Proffe_sa
Proffesa
9 hours
RT @chokochoko2025: Msafara wa mabadiliko umeingia Karatu, Manyara. Zoezi la wadhamini linaendelea kwa nguvu, wananchi wakipaza sauti zao k….
0
5
0
@grok
Grok
3 days
Join millions who have switched to Grok.
178
199
2K
@Proffe_sa
Proffesa
9 hours
RT @IpyanaJr007: Msafara wa mabadiliko umeingia Karatu, Manyara. Zoezi la wadhamini linaendelea kwa nguvu, wananchi wakipaza sauti zao kwa….
0
3
0
@Proffe_sa
Proffesa
1 day
Mgombea Urais wa JMT kupitia @ChaummaT, Mh. Salum Mwalimu na Mgombea Mwenza Mh. Devotha Minja wakiendelea na ziara ya kusaka wadhamini Bahi, Dodoma. Katika ziara hiyo, Mh. Omar Baduel amejiunga rasmi na CHAUMMA na kutangaza nia ya kugombea Jimbo la Bahi. #UwakilishiMakini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
2
5
@Proffe_sa
Proffesa
2 days
Safari ya udhamini sasa ipo Kanda ya Kati. Msafara wa CHAUMMA leo umewasili Wilaya ya Bahi, Dodoma, kwa hamasa na mwitikio mkubwa wa wanachama na wananchi. Huu ni uthibitisho wa kwamba safari ya ukombozi haizuiliki. #CHAUMMA2025 #UwakilishiMakini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
4
5
@Proffe_sa
Proffesa
2 days
Huu ndio wakati wa ukombozi wa kisiasa na kifikra. CHAUMMA kimekuja na ahadi ya Uwakilishi Makini, na sasa zoezi la kutoa kadi za uanachama linaendelea kwa nguvu. Tukiwa jeshi kubwa la wananchi, tunaelekea Oktoba tukiwa imara na wenye nguvu. #CHAUMMA2025 #UwakilishiMakini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
4
6
@Proffe_sa
Proffesa
2 days
RT @yunusi_jr: Mkoani Morogoro wilaya ya kilosa, Mgombea Urais Salum Mwalimu na msafara wake wakiwa wanaomba Udhamini. @ChaummaT #uwakilish….
0
5
0
@Proffe_sa
Proffesa
2 days
CHAUMMA itazindua mkakati wa kitaifa wa lishe bora unaoitwa “Ubwabwa kwa Wote”, ili kuhakikisha kila mtoto, kila mwanafunzi na wagonjwa hospitalini wanapata lishe bora kwa afya na maendeleo ya Taifa. #CHAUMMA2025 | #UwakilishiMakini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
2
5
@Proffe_sa
Proffesa
2 days
RT @IpyanaJr007: CHAUMMA itazindua mkakati wa kitaifa wa lishe bora unaoitwa “Ubwabwa kwa Wote”, ili kuhakikisha kila mtoto, kila mwanafunz….
0
5
0
@Proffe_sa
Proffesa
2 days
RT @chokochoko2025: CHAUMMA itazindua mkakati wa kitaifa wa lishe bora unaoitwa “Ubwabwa kwa Wote”, ili kuhakikisha kila mtoto, kila mwanaf….
0
4
0
@Proffe_sa
Proffesa
2 days
Mkumbukwa Shida aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Dumila ,amechukua kadi ya Chaumma leo tarehe 20 Agosti,2025 na kuomba ridhaa ya kugombea Udiwani kupitia Chaumma kwenye kata ya Dumila.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
3
3
@Proffe_sa
Proffesa
3 days
RT @Aduiwayanga: FANSPORT 🔥💵 . 3 odds .Booking code ➡️EN8XR. 3 odds .Boooking code ➡️XDYXR. 7 odds .Booking code ➡️ZF9XR. Jisajili hapa htt….
0
12
0
@Proffe_sa
Proffesa
3 days
Mwitikio wa wanachama wa CHAUMMA unaonyesha mshikamano wa kweli na kuibuka kwa matumaini mapya. Kila siku udhamini unazidi kuongezeka, ari ya pamoja inakuwa kubwa zaidi, na safari ya mabadiliko inachukua kasi mpya yenye msisimko usiozuilika. #CHAUMMA2025 #UwakilishiMakini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
2
4
@Proffe_sa
Proffesa
3 days
Safari ya kuomba udhamini imeingia Morogoro kwa kishindo kikubwa. ✊ Ahsanteni wanachama wa CHAUMMA kwa mwitikio wenu wa kweli na udhamini wa dhati kwa Salum Mwalimu na Devotha Minja Safari ya mabadiliko inazidi kushika kasi. Oktoba tukapige kura za wingi. #UwakilishiMakini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
1
3
@Proffe_sa
Proffesa
3 days
RT @chokochoko2025: Safari ya kuomba udhamini imeingia Morogoro kwa kishindo kikubwa. ✊ Ahsanteni wanachama wa CHAUMMA kwa mwitikio wenu wa….
0
4
0
@Proffe_sa
Proffesa
3 days
RT @DukeDizzo: Safari ya kuomba udhamini imeingia Morogoro kwa kishindo kikubwa. ✊ Ahsanteni wanachama wa CHAUMMA kwa mwitikio wenu wa kwel….
0
5
0
@Proffe_sa
Proffesa
3 days
RT @DukeDizzo: Safari ya kuomba udhamini imeingia Morogoro kwa kishindo kikubwa. ✊ Ahsanteni wanachama wa CHAUMMA kwa mwitikio wenu wa kwel….
0
4
0
@Proffe_sa
Proffesa
3 days
RT @rezam06: Safari ya kuomba udhamini imeingia Morogoro kwa kishindo kikubwa. ✊ Ahsanteni wanachama wa @ChaummaT kwa mwitikio wenu wa kwel….
0
6
0
@Proffe_sa
Proffesa
3 days
RT @DukeDizzo: Mchakamchaka unazidi kupamba moto. Mkoa kwa Mkoa, Jiji kwa Jiji, Jimbo kwa Jimbo — na sasa tupo Morogoro. Ahsanteni wanacham….
0
4
0
@Proffe_sa
Proffesa
3 days
RT @DukeDizzo: Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinaendelea na safari yake ya kusaka wadhamini nchi nzima. Mkoa kwa Mkoa, Jiji kwa Jiji….
0
5
0