Narrowbeefly
@Narrowbeeflying
Followers
830
Following
2K
Media
40
Statuses
2K
Hivi kumbe kuna bodaboda ukiwaagiza mfano nyama kilo moja wanaenda kununua robo tatu?!π³ Au kama ni nyama choma wanafungua foil wanadokoa njiani ndo wanaleta inayobaki?!π³π³ Naskia hadi chips dohπ³π³π³
31
16
162
Mafanikio ni mzigo,ndiomana wachache wenye uvumilivu ndio wanaweza kuubeba!!ποΈ
4
20
40
To be a real MAN Youβre inner voice, must be POWERFULLY kuliko any voice ya nje Na hapo ndipo ilipo stability ya MANHOOD
0
6
19
Adui wako namba moja wa pesa zako ni wewe mwenyewe..Kushindwa kujizuia (Self control) 1. Kushindwa kudhibiti spending 2. Kushindwa kufata bajeti Ukikosa self control utanunua vitu kwa sababu UMESIKIA, na sio kwa sababu UNAKIHITAJI Hapo ndipo pesa inavyopotea kimya kimya.
3
11
61
Hivi kumbe sikuizi shule ya msimgi wanaishia darasa la sita? Kweli mambo yananipita π
1
0
5
Kile kiwango cha pesa unachokiokoa kutoka kwenye mambo yasiyo ya thamani Iweke moja kwa moja kwenye uwekezaji kwa faida ya kununua uhuru wako uzeeni Hata babu alikua kijana, usisahau kesho yako
0
7
27
Huwezi kupata mchongo wa milioni 1 wakati huna hata mishe ya kutafuta buku 3... So unapoona mambo magumu usiache kukusanya hizo buku buku, maana zitaleta laki na laki italeta milioni.
1
8
40
Video za Tems huwa naangalia kwa utulivu mkubwa sana ule mshepu sio wazee π
0
0
2
Una followers chini ya 2000? Fanya hivi: β’ Comment mara 50 kwa siku β’ Chunguza mambo yanayopata engagement β’ Panga upya profile yako β’ Tweet mara 3 au zaidi kila siku β’ Shiriki unachojifunza β’ Jibu comment unazopata Hii njia itakupa mwendo wa haraka kufika 2k followers.
1
6
31
Katika kupigapiga naye story kaniambia "yeye huwa hapendi watu anapenda kukaa mwenyewe mda mwimgi" hii siyo red flag kweli?π€
0
0
3
Kuna hatua kwenye maisha inakupelekea mpaka kunyamaza tu. Unasikiliza zaidi. Hakuna kuongea kupita kiasi. Hakuna mabishano. Hakuna maelezo marefu. Ni ukimya tu.
3
23
101
Kabla ya kujua kutengeneza pesa β maisha yalinifundisha kwamba kuna kupoteza pia kwenye mchakato wa kupata.
1
40
168
Yawezekana mambo yako mengi hayaendi kwasababu una roho mbaya.
0
9
28
Hivi PEMBE ZA NDOVU mbona huwa zinalindwa sana kwani zinatumika kutengeneza nini?π€
1
0
1