Small Business Elevator
@SB_Ladder
Followers
13K
Following
5K
Media
841
Statuses
3K
Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters
Joined November 2024
Kama wewe ni mtu unayependa haya mambo hapa 👇 umefika nyumbani! - Business - Marketing - Branding - Sales - Growth Mindset - Personal Development Follow account yetu sasa hivi, maana hii ndiyo community yako sahihi! Ukiiona tweet hii, retweet kisha tufollow — tusonge pamoja!
2
36
139
“Couples who live together for years, telling themselves that they’re as good as married, rarely seem to believe it… ‘My girlfriend’ neither carries the ring nor commands the respect of ‘my wife.’ Impermanence alienates and unnerves us.” @AbigailShrier
2
0
15
10/ Mwisho, usisubiri kila kitu kuwa perfect. Anza na resources ulizo nazo, fanya mistakes, adjust. Hii ndiyo njia ya kufanikisha idea yenye potential. Please follow us for more content like this. — End.
0
0
2
9/ Kumbuka, mtaji ni muhimu, lakini mindset, persistence, na execution ndio huchukua idea kutoka ndoto hadi reality. Kila hatua ndogo inakua kubwa. — More:⤵️
1
2
5
8/ Show progress. Watu hushawishiwa na action, si tu idea nzuri. Kama una proof of concept, prototypes, au wateja tayari, itakuwa rahisi kupata mtaji kutoka kwa watu. — More:⤵️
1
0
4
7/ Build your network. Watu sahihi wanaweza kukuunga mkono kwa ushauri, mtaji mdogo, au resources. Watu wakikuamini wanaweza kukupa mzigo on credit as long as wewe ni mtu trustworthy. Join groups, events, online communities. — More:⤵️
1
0
3
6/ Kama hizo ni ngumu explore alternative funding: - Familia na marafiki - Seed funding kutoka incubators au accelerators - Grants za biashara ndogo - Crowdfunding Chagua njia inayoendana na idea yako. — More:⤵️
1
1
4
4/ Start small. Huwezi kuanza kikubwa ikiwa huna mtaji. Anza na prototype, test idea yako kwa wateja wachache. Hii inakupa proof ya concept. 5/ Tumia bootstrapping: reinvest mapato madogo unayopata. Hii inakuza business bila kutegemea mtaji mkubwa kutoka mwanzo. — More:⤵️
1
1
4
3/ Angalia assets ulizo nazo: time, ujuzi, network. Hizi zinaweza kuwa zaidi ya mtaji wa pesa. Watu wengi hushindwa kuona nguvu waliyonayo kupitia ujuzi, muda wao au network walizo nazo. — More:⤵️
1
0
3
2/ Andika business plan fupi lakini inayoeleweka: Kwanza eleza idea yako kwa maneno machache - Eleza tatizo unalotatua - Eleza wateja wako - Eleza mapato na gharama Hii itasaidia watu kuelewa ni serious kiasi gani wewe ni. — More:⤵️
1
0
0
1/ Kwanza, usisubiri mtaji uwe sawa na idea yako. Idea nzuri haishikiliwi na mtaji pekee. Weka mpango wa jinsi utakavyotumia resources ulizo nazo sasa kupata mtaji. — More:⤵️
1
0
2
Nimekutana na DM hii: "Nina business idea ambayo ninaamini ina potential kubwa lakini sina mtaji. Nifanyaje?" Soma hii thread bila makasiriko, kila point itakupa mwanga wa hatua halisi za kuchukua. Thread:⤵️
1
16
38
Ukianza kupiga hatua kwenye maisha punguza mdomo, punguza show off kuna watu wanaweza kuzima vilivyowaka.
1
12
51
Kama wazazi wako wapo hai bado — Mungu awalinde mpaka waone mafanikio yako.
1
12
61
Wakati mwingine sio vibaya kuwadanganya wale wanaotaka kujua mambo yako. Hiyo inakuwa kinga unapokutana na shinikizo la watu kufuatilia kila hatua unayopiga.
0
11
36
Hakuna kitu kinachoumiza kama kuwa smart guy, ambaye unajua mambo mengi lakini hajapiga hatua kimaisha.
3
19
117
Njia ya harakana rahisi ya kupoteza pesa ni kujionyesha una pesa na kujaribu kuthibitisha kwa watu. Kama mwanaume epuka kutaka kuonekana una fedha nyingi. Cheza chini. Toa pale panapohitajika. Ficha au wekeza pesa yako kwa sababu utaihitaji kwa matumizi ya baadae.
2
11
54
Nimeanzisha biashara mara 5, na nimefel mara 4, na kufanikiwa mara moja — sijivunii kufeli, lakini hii ni kwa ajili ya kukutia moyo kwamba mpaka upate ile breakthrough, kuna kuchoma sana pesa.
2
7
39
Mtu akikupa pesa huyo ni rafiki wa kweli ila mtu akikufundisha jinsi ya kutafuta pesa, huyo ni familia.
0
28
92
God promised to bless the work of your hands. Build skill, stay committed, and keep your hands active so you receive the blessing he prepared for you.
0
4
8
Kuna wakati maisha hayakusukumi upande wowote, tatizo linakuwa matumizi yasiyo ya lazima. Punguza mzigo, achana na pisi nyingi, hata hiyo bia moja isiwe ratiba ya kila siku. Weka breki kwenye matumizi yasiyo ya msingi.
1
21
84