
Extreme introvert 🤦🏼♀️💫
@SincerelyRahma_
Followers
9K
Following
26K
Media
1K
Statuses
51K
VERY PROUD MOM OF ONE👋 I can be SARCASTIC sometimes, i mean CRAZY TOO.... though i don’t live regrets & I strictly refuse to be disgraced…SO TRY ME🫵🤝🖐️
Mbeya, Tanzania
Joined July 2022
Yaaani kiukweli KAMAVINGA ni vile tu pangu pakavu tia mchuzi ila angekua na hela angeshanichoreshea hata watu waninyooshe, nashukuru Mungu bado kananyonya coz waaah kangekha kamebalehe ningekoma😩🙄😹🙌.
@SincerelyRahma_ 😂😂 kwa haraka haraka anaonekana ana hasira sana na wewe. Hiyo ikupe umakini aisee. Huyo akikuotea sehemu, anaweza kukuua 🙌🏿.
1
0
5
Naenjoy sana namna unaniwaza mpaka leo, mi ni star wako janja lazima unifatilie😹💯🤝 . AM I AMANDAAAAAAA heheiyaaaaa🤣🫵.
4
0
8
Sasa si kama tu mimi na wewe, mi nitaanzaje kulike posts zako za bikra na kuwasema single moms na we utaanzaje kulike posts zangu za MPODODU OYEEEEE .😹.
Umemfollow mtu na yeye kakufollow back fresh tu ila hataki ku-like post yako, hataki hata ku-repost post yako!. But for some reason utakuta ame-like post ya Fabrizio Romano, utakuta amemu-wish happy birthday Bruno Fernandes. Bro hao watu hawakujui what the fuck are you doing?.
2
3
13