Polycarp The Bibliophile Profile Banner
Polycarp The Bibliophile Profile
Polycarp The Bibliophile

@MdemuPolycarp

Followers
9,443
Following
1,175
Media
4,823
Statuses
29,372

- (Historical, Scriptures &Traditional Analyst) - (Highway Engineering Technician) - (CAD Tech 3D Modeling) - (Machinery, Equipments & Industrial Enthusiast)

Iringa, Tanzania
Joined March 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
THREAD ABOUT LOCAL MANUFACTURE (ASIANS) Hapa nimeambatanisha post zangu zenye video za viwanda vidongo ambavyo hata watanzania wakiwezeshwa wanaweza kuanzisha, Tatizo ni makadirio ya kodi na bei za usafirishaji wa baadhi ya machine.
11
42
140
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 years
Picha hii ilipigwa Wakati wa Vita ya Pili ya Dunia (1945), Ni mvulana wa Kijapani amesimama mbele ya mahali pa mazishi na kungoja zamu yake ya kumchoma kaka yake mdogo aliyekufa. 👇👇👇
Tweet media one
85
280
2K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 years
KUTOKANA NA KIFO CHA MALKIA ELIZABETH II sasa mwili wa Mumewe Prince Phillip utaondolewa pale ulipohifadhiwa tangu kifo chake mwaka wa 2021, na kupelekwa mahali ambako mwili wa Malkia utazikwa. 👇👇👇
Tweet media one
90
174
2K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
17 days
HIZI NDIO NDEGE KUBWA ZAIDI ZA ABIRIA DUNIANI Hizi ni ndege kumi za abiria kubwa zaidi ulimwenguni kwa mujibu wa Mtandao wa masuala ya anga unaoitwa 'aerotime' (THREAD)
Tweet media one
Tweet media two
20
135
2K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
12 days
8
2
1K
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
Robbin Van Persie. Robbing Our Tax
Tweet media one
Tweet media two
41
112
918
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Sema CHADEMA ina watu sana, leo Anonymous na Machawa kibao wamefufuka, wakazikwa tena.
Tweet media one
34
74
918
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Habari za leo. Nina mwanangu anaitwa Dorcas Bryson (04) mwaka jana alipata tatizo la utumbo mpana kutoka nje wakati wa kujisaidia. Ulikua unatoka kidogo na baadae kurudi. Lakini kadri alivyoendelea kukua hali imeendelea kubadilika. Mwezi April mwaka huu sehemu hiyo ilitoka kwa
Tweet media one
99
432
857
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Hii video nilikua naitafuta sana, Ally Kesi (Mbunge CCM) aliwachana sana Wazanzibari na WanaCCM walipiga makofi na kucheka sana
56
259
860
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
7 months
Habari kaka? Naomba unisaidie kuokoa maisha ya mdogo wangu. Anaitwa Consolata Mgata, ana umri wa Miaka 17. Tunaishi Luganga, wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa. Amemaliza kidato cha nne mwaka jana shule ya sekondari Kilolo, Iringa. Mdogo wangu Conso alianza kuona uvimbe wa mguu
Tweet media one
64
429
834
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Huyu ndiye Tundu Lissu Wazanzibari wanasema mbaguzi.
53
244
848
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
9 days
10 LARGEST EXCAVATOR IN THE WORLD Hii ni orodha ya Excavator kubwa zaidi duniani zinazotumika kwenye Miradi ya Ujenzi na Uchimbaji wa Madini (THREAD)
Tweet media one
Tweet media two
21
120
835
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
26 days
Picha ya kwanza ni mahali alipokua akiishi Judith baada ya kutoka stendi ya mabasi Ubungo. Alipanga chumba kimoja huko Boko akaishi na wanae wote watano. Picha zinazofuata ni makazi yake mapya aliyojengewa na Watanzaia kupitia GH Foundation. Mungu awabariki wote mliobadili
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
36
92
682
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 months
Jeshi la Polisi Kuna ujumbe wenu hapa 🙏 Mama etu kaongea kwa uchungu sana.
95
230
660
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
KILA RANGI YA KIFUNIKO CHA CHUPA YA MAJI HUWA NA MAANA YAKE. Hii jana niliiona kaandika kwa ufupi @deokya40 mahali, nikasema au jamaa anataka kutupiga butwaa, nikaenda kuchunguza Reddit ebwana kumbe ni Kweli, Kila rangi ya Kizibo cha chupa ya maji huwa na maana yake "Bottle Cap
Tweet media one
49
302
635
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Jamaa katengeneza Design yake ya Swing Bridge, 💪💪💪 chakutafuta ni ideas Generator's
38
158
624
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Nini Tofauti ya Hizi Road Sign mbili ambazo zote huonyesha Kivuko cha watembea kwa miguu ?
Tweet media one
Tweet media two
77
40
610
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Nipe picha moja ya KIAFRICA hapo kwenye Gallery yako.
Tweet media one
168
25
603
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
26 days
Sijui Mmenielewa?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
80
89
607
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 months
Picha hii inamuonesha mwanaume mmoja nchini Kenya ajulikanae kwa jina la Dan Shisia Matakhaya, mwenye umri wa miaka 33 na ni Askari polisi nchini humo. Hakuzaliwa na sura ya kutisha namna hii. Unachokiona ni matokeo ya mabishano kati yake na mke wake. Siku moja, Matakhaya na
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
116
108
594
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
KITABU CHA HENOKO (THE BOOK OF ENOCH) SEHEMU YA KWANZA - Biblia ina Vitabu 73 lakini isiwe Mpaka wakusoma hivyo 73 tu, Canon ya Vitabu 73 iliapitishwa mwaka 382 na Baraza la Maaskofu wa Roma kuna Vitabu Vilipitishwa vikiwa Havina Sifa E.g (Waebrania) lakini kuna vitabu
Tweet media one
63
223
577
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
13 days
@SyedaaAiman I stand with helicopter
38
19
553
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Indian Local Manufacture wakiunda Sprocket Gear, Kuna namna hivi vifaa tuvipate.
55
144
548
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
8 months
@kitchie_witchie @DrEliDavid Why always Palestine supporters try to act as all Palestine civilian are "CHILDREN'S AND WOMENS"?
62
7
505
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Utaskia "mi mfugaji wa samaki" Tukifika site kwako tunaona maji 😁 ona Wafugaji hawa mkuu
69
131
519
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Jamaa anatengeneza Plastic Water Tank, Yuko zake kwenye Workshop yake nje ya Home. Akili mtu wangu
19
110
515
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
8 months
Ile Entrance ya Magufuli terminal kuna kakipande Kama 5 mita rough kabla hujaianza hilo daraja (Overhead), Yaani tuseme wameshindwa hata kumwaga lami baridi (Emulsion Bitumen) au hata mabaki ya Zege, Unajua magari yanavyoingia pale yanadunda sana, yaani hii defect niliiona
Tweet media one
55
43
482
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
HAPPY BIRTHDAY TO ME 💪
Tweet media one
89
53
476
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Mzee Local Manufacture wanatengeneza Njiti za viberiti simple sana, hiki kiwanda Mbongo akianzisha kuna idara ni tatizo sitaki kuitaja
39
134
465
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
29 days
SIKU NYINGINE YA KUMSIKILIZA MWAMBA TUNDU LISSU Hii ni clip maalumu ambayo Tundu Lissu alilielezea Bunge la katiba ni Jinsi Gani Tanganyika Ilipotea, Ni Vipi Mali za Tanganyika kama Mahakama, Wafanyakazi wa Umma na Katiba viliibiwa. ENJOY
28
173
467
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 years
@AVFCOfficial @Samagoal77_ Here we Come, Thats is Clouds Tv Rooms, our famous Tv and Radio Station
Tweet media one
2
14
414
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
"Friji halikai sebuleni mkuu pambana sana"
Tweet media one
102
25
424
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Hii inaweza Kukufunza kitu, Please watch it 💪💪💪
13
112
418
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
KITABU CHA HENOKO SEHEMU YA PILI. Basi katika Sura ya 8 tunaona Malaika AZAZEL anawaonea huruma Binadamu, Anaanza kuwafundisha Kutengeneza Silaha, Mapanga (Swords) , Visu, Ngao na Ngao za Vifuani (BREASTPLATED) hapa ndipo zana za chuma zilipogunduliwa (MWANZO 4: 22)
Tweet media one
47
158
402
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
5 months
Fundi wenu wa Umeme mnayempa kazi ana vifaa kama hivi?
52
75
393
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Wauza Madafu ikulu nadhani wameshajulikana sasa.
Tweet media one
Tweet media two
37
35
390
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Idea, Hizi nazi vifuu si mnatupa'ga' tu huko Pwani?
17
79
391
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Mungu tunaomba ujuzi hata huu kidogo, yaani USB cable wanatengeneza wahuni nyumbani. Local Manufacture
31
103
379
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
13 days
@SyedaaAiman Don't call you and your family a whole world
4
6
376
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Hivi india viwandani wana Hizi Compliance kama OSHA, NEMC, TRA nakadhalika kama huku Kwetu, Hawa jamaa wako bize sana nini
47
105
375
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Hakuna Kiwanja kisichojengeka wakuu, Tutafute hela.
24
103
367
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
10 days
@EuropaLeague @Atalanta_BC Lookman is the first African player in history to score a hat-trick in a European final • Lookman is the first player in history to score a hat-trick in the European League final
Tweet media one
4
24
362
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Nilipo upload video ya machine hii watu wengi waliuliza bei yake. Ngoja nitengeneze short thread hapa, Hii machine wachina wanaiita MINI TILLER TRACTOR MACHINE kampuni za kichina nyingi zina manufacture aina hii ya machine.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
79
364
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
25 days
Anaandika @MalisaGJ_ Picha ya kwanza ni chumba cha mjane Judith tulipomtembelea mwaka 2021 baada ya kutoka stendi Ubungo. Chumba kimoja cha giza chenye godoro tu bila kitanda. Alijilaza hapo na watoto wake wote watano. Hichohicho ndio chumba, sebule na stoo hapohapo. Ndio maana
Tweet media one
Tweet media two
27
46
362
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Portable Power Station 2000W
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 months
Kama una kibunda nunua power station kwa matumizi ya nyumbani achana na majenereta kizamani sana.
Tweet media one
94
169
2K
17
59
361
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Wakenya Wana siri sana, Huu ni upande wa Pili wa Nairobi, Hii Uswazi hata DSM sidhani kama ipo
95
79
357
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Tumrudie Jamaa anayetengeneza Water Heater, 💪
16
80
350
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
30 days
NI SIKU NYINGINE YA KUMSIKILIZA TUNDU LISSU Hapa ilikua Tarehe 14/04/2014 Bunge la katiba, Siku hii ilitoa taarifa Kamati ya 3 naya 4, Part 4/4. Humo ndani Wamekaangwa sana CCM kwa mafuta yao, Kwa mbali utamuona Kigwangala hapo. ENJOY
21
163
345
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Kwenye construction site, Hakuna mwenye akili 100% Mtoto anapeleka chuma yake ipakiliwe kifusi Mama anaogopa, majamaa wanampokea kwa shangwe 😂
28
69
344
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Hizi machine tunazoziona kwenye Kilimo hasa Asia, Zinakua manufactured locally kama hivi. Ni Idea tu mtu wangu.
39
68
341
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
7 months
Watoto wa 2ks watajua huu ni waya wa sabufa 😁 Muhenga sema hii nini?
Tweet media one
109
25
337
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
28 days
Nchini Botswana, wanafunzi wa vyuo vikuu hulipwa $154 (400,400 TZS) kila mwezi. Wananchi wanapata huduma za afya bure. Nchi iko salama kiasi kwamba Rais anaweza kutembea bila Walinzi. Wananchi wanapewa ardhi bure endapo wataomba. Botswana inatoa ruzuku kwa wazee na
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
59
55
337
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Huu mtego nao umeenda shule, akili tu mtu wangu 😂
15
71
329
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
13 days
@HumaZhr Stop calling your family "World"
3
5
324
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
30 days
Submarine nje ya maji kuelekea Museums, Dude ni Kubwa
27
54
327
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Wahindi wapewe Maua yao, Huyu dogo kaenda na taa ya gari imevunjika, Jamaa wamemfanyia restoration dakika kadhaa tu, Hawa Local Manufacture wametisha. Then Gharama yake ni $2 tu.
36
88
318
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Viwanda vya Sabuni, Kiwanda Cha kawaida lakini product ya maana, Sio mnatuuzia sabuni ziko uchi
14
51
320
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
@fatma_karume Unasema haya sababi wewe pia ni Mzanzibari, Mnufaika wa Muungano, lakini Lisu angewabagua watanganyika lazima ungeufyata. Ukweli ni Kwamba, Huu muungano umeua kabisa Identity ya Mtanganyika, Ukabakiza Identity ya Mzanzibari. We will fight for our own Identity
26
27
316
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Watoto wanatakiwa kucheza michezo kama hii, hebu taja michezo yetu watoto wa kibongo 😁
41
92
314
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 years
@AVFCOfficial @Samagoal77_ @AVFCOfficial OUR Future Presdent was there too in Villa park, with many Tanzanian
Tweet media one
9
6
295
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Wachina wanapenda sana Kurahisisha vitu, Haka ni Kamachine portable kukoboa mpunga, 2 in 1.
23
60
307
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Sikiliza Kiingereza cha Maofisa wetu 😁😁 Anakwambia Zambia To Chama 🤣
90
47
305
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
27 days
Gari zinazoundwa Ulaya (Eurotrucks) huwa ni Gari makini sana. Ona hii VW, kumbuka Volkswagen MAN na SCANIA ni Makamuni chini ya Kampuni moja Traton SE Group. Traton ni moja ya Wazalishaji wakubwa wa Magari duniani, Makao yake Makuu ni Munich, Germany.
30
47
303
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
💪💪💪 Jeshi AFGHANISTAN
34
60
294
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Mzee anaitwa YAI BOVU kagoma kuhana Rufiji huyo
49
63
292
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Hili ndio Kaburi la Bwana Napoleon Bonaparte lipo ndani ya kanisa linaloitwa "Dome des Invalides" huko Ufaransa. Licha ya Ubabe wake na Akili zake, Jamaa mwisho wake ulikua mfupi sana, Unajua ilikuaje? Jamaa katika utawala wake, Alizikataza kabisa nchi za ulaya ambazo zoko
Tweet media one
32
40
286
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Ukiangalia vizuri haya ni matakata ya Plastic, naona mpaka shopping/shipping bag ambazo huku tunaita "Visalfeti" jamaa wameviyeyusha mpaka wametengeneza viti. 💪💪💪
19
62
289
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 years
Sasa kwa kuwa Malkia amekufa, Philip pia atahamishiwa kwenye jumba la kumbukumbu la King George VI ili kulala pamoja na mke wake wa miaka 73, ili waweze kuunganishwa katika kifo. R.I.P Her Majesty
4
10
285
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Hapa Jamaa wanatengeneza Skocks Absober za Pikipiki, then waje kutuuzia huku, Amazing skills 💪💪💪
23
42
285
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
4 months
@TrollFootball MOROCCO AIRPORT THAT WAY POOR MOROCCO 😂😂😂😂😂😂 WHERE IS HAKIMI? HE’S CRYING IN HIS CAR
Tweet media one
8
11
280
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
14 days
Huyu Mdada Niffer Alisema anapigia Shida kumbe Kafungua Mall. Yeye mwenyewe alisema "Ukitaka Kufanikiwa, Danganya" ni kweli alidanganya watu wakaingia "kingi" Huu mchezo aliwahi cheza Hata CHAMP, Mpambazi humu 😁
21
21
285
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 years
Mnamo 2021 mwili wa Philip uliteremshwa futi 15 ndani ya Jumba lenye umri wa miaka 200 chini ya St George's Chapel huko Windsor Castle ambako umehifadhiwa mpaka leo.
Tweet media one
2
6
274
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Oya 😁 Wahindi/Pakistan hata transformers hawataki za kununua kwa ABB wanazo zakwao hapa hii iko kiwandani.
21
48
280
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
27 days
Mambo ya kugonga misumari kwa nyundo yaishe
18
62
280
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Kumbe Misomisondo alikua na Jamaa zake mahali 😂😂 jamaa popote wanakichafua
17
33
275
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 years
Kwa mpangilio wa utangulizi, mwili wa Philip haukuweza kupelekwa Vault kabla ya Malkia ambaye ndiye aliandaliwa Kwa hiyo mwili wake ulipaswa kuwekwa mahali fulani kwa muda.
1
8
272
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Machine ya Kumenyea miwa, Fasta sana kwa wanaotengeneza Juice za Miwa, sema tunapenda kutumia nguvu wakuu
24
79
277
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Mwinyi Kuzaliwa Mkuranga hakumfanyi kuwa Mtanganyika, Sababu wazazi wake wote HASSAN na BI AISHA ni watu wa Zanzibar na ndiyo maana alizikwa Zanzibar. Kama Mwinyi ni Mtanganyika sababu alizaliwa Mkuranga basi hata Abeid Karume Babu yake na Fatma Karume ni mtu wa Malawi
25
27
272
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
16 days
Tuombe Mungu hawa Wanasiasa wetu wasijue kuna vitu Vinaitwa LINCOLN NAVIGATOR waishie tu kwenye VIEITE hizo hizo. Hizi gari za Kimarekani kwanza zinaitwa FULL SIZE LUX VEHICLE.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
26
271
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Kutoa visiki sio kazi ya Binadamu huko Italy
21
34
269
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
17 days
@eastafricatv Hili bunge lina watu wasenge wasenge sana, vitu wanavyojadili ni ujinga ujinga tu, na hili bunge ndio kuna raisi alituachia ili lituletee maendeleo mamae
24
8
266
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Kenya vs Tanzania. Who Killed it 🔥
49
40
264
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
26 days
Land Cruiser ni nyingi, Ila aina hii ni kama iliumbwa kwa ajili ya Africa. 👍💪
51
62
262
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 months
Huyu Jamaa siku watakuja kumdaka kwa Human trafficking
20
62
258
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 years
Hapa palikuwa tu mahali pa kupumzika au tuseme kuhifadhiwa kwa muda kusubiri kifo cha Malkia (Mkewe) siku kitapotokea. Kijadi Mme wa Malkia au Mke wa Mfalme anatakiwa kutanguliwa Hatua mbili mbele ya Mfalme/Malkia.
1
6
254
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
RUIKANG DOOR SMART LOCK Wacheki NZOTA TRADERS kwa ajili ya kupata chako kwa 350,000 tu. Kitasa kina: - Fingerprint - Password - Face recognition - Camera - Funguo - Card - Mtu asiyetambulika akifungua kina access na kupiga simu. - Mtu akijaribu Password ikakataa anapigwa
19
67
248
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Trekta kubwa zaidi duniani, na La zamani zaidi linalotumia nishati ya Mvuke. Ni Tractor ya CASE lakini plough ni ya JOHN DEERE.
9
72
250
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Kibongo bongo huu mti wa kupinda unapatikana wapi wakuu?
26
56
248
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
28 days
Algeria huwalipa vijana wasio na ajira $97 (247,000 TZS) kila mwezi. Kima cha chini cha mshahara nchini Algeria ni $149 (380,000 TZS) kwa mwezi. Upatikanaji wa Umeme kwa wakazi wa nchi ya Algeria ni 100%. Wastani wa kuishi kwa watu wa Algeria ni (miaka 78) Wastani mkubwa
Tweet media one
Tweet media two
45
36
243
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
2 years
Vault katika kanisa la ukumbusho la Mfalme George VI lilikuwa limetengwa kama mahali pa mwisho pa kupumzika kwa Malkia. Ilijengwa mnamo mwaka 1810 na 1814, na inahifadhi mabaki ya Baba wa Malkia George VI, Mama wa Malkia na Dadaye Princess Margaret.
Tweet media one
1
8
238
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Kwa Jinsi tunavyoogopa Cobra, huyu ng'ombe kampiga mate 😁😁 ukiitwa ng'ombe pigana man
35
50
242
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
6 months
Indian local Manufacture making Electric Motor 💪💪
14
71
239
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 years
Hapo ndipo mlinzi alipomuomba maiti kwa kusema "nipe mzigo ulioubeba mgongoni mwako". Na kijana akajibu: "Huu si mzigo huyu ni Kaka yangu". Alitoa mwili, akageuka na kuondoka .... Huko Japan, hata leo, picha hii inatumiwa kama ishara ya nguvu.
Tweet media one
1
17
233
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Jamaa wanatengeneza Cherehani, Na wanajua wao sio Kiwanda, Ni workshop tu, Lakini kuna nchi mtu akiwa na Cherehani 3 ni Kiwanda. 💪💪💪
14
74
231
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
1 month
Huwa mnajiuliza kwanini Majengo yanachelewa Kuisha sio, Ngoja niwaibie siri.
22
40
232
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
23 days
Jamaa anamuuliza Bodaboda wa china kama anapajua Tabata Shule 😁
32
45
231
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
7 months
@godbless_lema Jamaa alikuwaga na uwezo wa Kuionya Embassy ya Marekani, sikuizi labda awaonye wavuta sigara za Embassy
27
11
229
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Hiki kiwanda Kidogo cha Indian Local Manufacturers wanatengeneza Yebo Yebo (Flip Flops) Hatuwezi pata hizo raw Materials kwa Hapa bongo na sisi kupata, Au kazi za wawakikishi wetu ni nini?
34
56
229
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
27 days
@MwijakuBurton Hii hujaandika wewe, Akili hizi si zako
21
10
227
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Ni Jinsi gani ndala/Malapa "Slippers" hutengenezwa? Jibu unalipata Kwenye Video hapo.
11
52
225
@MdemuPolycarp
Polycarp The Bibliophile
3 months
Haya mfano unaulizwa kiwanda cha kusindika mananasi kijengwe mkoa gani hapa Tanzania?
42
27
226