Mashibe_Jr Profile Banner
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Profile
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@Mashibe_Jr

Followers
41K
Following
61K
Media
813
Statuses
3K

LLB, Mkulima, RC, Kwimba-Mwanza #SimbaSCTanzania , #ManUTD & https://t.co/mcKUPV4xM2 fan

Mwanza, Tanzania
Joined October 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
1 day
Dah πŸ’”πŸ’”πŸ’”
Tweet media one
172
302
2K
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
7 hours
If being part of Patriots is an offence, let's commit it. We have no choice, other than to put the interest of the citizens first.
0
0
4
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
9 hours
Pole Kwa Familia, pole kwa mliofanya naye kazi Mohammed Abdul-rahman pale DW nmeguswa na msiba huu, nilikuwa shabiki wake sana na nilipenda uchambuzi wake wa siasa za kitaifa na kimataifa, hasa alipokuwa anareport taarifa ya uhasama kati ya Ethiopia na Elitrea. R.I.P Mohammed
Tweet media one
0
0
6
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
9 hours
RT @ze_mandevu: Mwenye clip yeyote ya Interview ya leo kutoka Gwajima naomba a comment hapa
Tweet media one
0
49
0
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
10 hours
RT @prossoff: Special kumanyoko kwa dada zetu wanaozalia nyumbani na hawakomi wanazidi kushika mimba za wanaume tofauti tofauti wasiohudumi….
0
13
0
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
12 hours
Tumwambie ukweli au tumwache aingie mtaani kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tweet media one
5
0
26
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
12 hours
RT @MSAFWA_OG: Tisheti formsix 20000/18000.Tisheti round color 20000.Mashati ya mikono mifupi 20000.Mashati ya mikono mirefu 30000.Pensi za….
0
10
0
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
13 hours
Chawa mnaanza sangapi kumshambulia Gwajima. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tweet media one
0
12
110
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
13 hours
RT @EsirEid: #TajiriLaKihaya. Hii Video naitunza hapa….NitaRepost na KuQuote Exactly 2yrs from now… 16/7/2027!.
0
390
0
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
13 hours
Gwajima anatetea maslahi ya Polisi,.anasema waongezewe Maslahi yao ili wafanye kazi kwa ufanisi,.Polisi haohao hawataki waumini wa Gwajima wasali kanisani kwao. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
7
3
60
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
13 hours
Baada ya hapo, Mpina afuate
Tweet media one
@blazadadee1
Shababi a true leader
16 hours
Leo Gwajima, kesho Pole Pole. Natamani sana ningemsikia Dr Bashiru.
Tweet media one
0
1
7
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
13 hours
Haya twende ukatuoneshe ulichofanya jimboni kwako mpaka ukataka wajumbe wakuteue tena. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tweet media one
2
8
91
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
13 hours
RT @blazadadee1: Leo Gwajima, kesho Pole Pole. Natamani sana ningemsikia Dr Bashiru.
Tweet media one
0
5
0
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
13 hours
We unamchukia ??.
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
14 hours
Gwajima anasema Dira ya Taifa ikabidhiwe vyombo vya ulinzi na Usalama wasimamie Rais akija alazimishwe kufata…this is the Guy mnamshangilia?.
0
0
3
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
14 hours
Anaona bunge halitaweza kuchukua hatua kama Rais ataenda nje ya malengo ya muda mrefu, jeshi ndyo litamshughulikia .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
14 hours
Kwa hiyo Gwajima anasema kupitisha sheria haisaidii kwa sababu zitakiukwa so tunahitaji jeshi imara ili Rais akikiuka sheria jeshi lichukue hatua… eh.
0
0
0
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
14 hours
"Huwezi ukamkabidhi paka akurindie lita moja ya maziwa na ukayakuta na yeye akiwa na njaa, hutayakuta. Na ukimuuliza atakwambia niliyanywa si kwa sababu kwamba nilikosa uadilifu, ni kwamba niliyanywa nilikuwa na njaa ili nibakie lindoni". Ask. Gwajima leo. Kuhusu kuongeza maslahi.
0
1
16
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
14 hours
"Sisi CCM tunaweza kuamua kuendelea na Uchaguzi, na tukafanya Uchaguzi bila Reforms na tukashinda. Lakini kushinda Uchaguzi si jambo kubwa sana, lakini kuitawala nchi na kuiletea Maendeleo, iliyomeguka regular kutokana na Makovu na Majeraha ya kiuchaguzi ni ngumu sana". Ask.
0
1
9
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
14 hours
Nimeshauri kufanyike reform ambazo Chadema wanazitaka, sasa hapa sijui watafungia nini,. Mana nilishauri utekaji ukomeshwe wakafunga makanisa. Sasa hivi sijui watafungia nini. Ask. Gwajima leo
Tweet media one
0
17
123
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
14 hours
Nashauri sana nchi yangu, Tufanye reform wanazotaka CHADEMA, hata kama siyo zote ili tuingie nao kwenye uchaguzi. Ask. Gwajima leo.
0
9
107
@Mashibe_Jr
Mashibe πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
14 hours
Masuala ya utekaji SIKUBALIANI NAYO, nitasema asubuhi, nitasema mchana nitasema usiku, . Nitasema haya nikiwa ndani ya CCM, tutabanana humuhumu, SIHAMI CHAMA. Ask. Gwajima leo.
2
6
51