Left Writer✍🏽
@LeftWriter_
Followers
536
Following
18K
Media
2K
Statuses
7K
BHIKOLA'BHAGABO. Journalist | Genius in Words, Master of Stories I Thinker | Creator | Builder of something valuable. #Tuishi✊🏾
Tanzania
Joined January 2016
Kuna mtu ananipanga eti 'NDAFU' 🐐 Ilitokana na wazungu kusema WONDERFUL pale walipokuwa wakichomewa nyama nzuri na watu wa kasikazini sasa kina Mangi wakawa hawawezi kutamka Wonderful wakaishia kuiita Ndafu. Ni kweli au nimwambie anywe glass ya mwisho asepe?😂
0
0
1
Temeke ni industrial area ya kimya kimya! Watu wanapiga kazi saana mitaa ile hususani inshu za vyuma na magari. Mungu awabariki wapambanaji wote. #Tuishi✊🏾
0
0
2
Nmekutana na hii screenshot humu X, nikaishia kujisemea; "If you see someone you can help in any way, whether they ask or not, do it. Your kindness might be their lifeline, and God will bless you for it. Vifua vya binadamu vimebeba mengi na si yote yanayosemwa. #Tuishi ✊🏾
0
0
1
Hawa watamaduni ni wakali sana kwenye Story Telling kupitia muziki. Kwa upande wako nani bora zaidi?
0
1
2
Mabibi na mabwana, mshindi wa channel niliyotazama mara nyingi zaidi kwenye YouTube yangu kwa mwaka 2025 niiiiii .... Kuviiiii Facts... Dj msindikize na goma la Nash MC liitwalo Tabia akija jukwaani kuchukua tuzo yake😁. #Tuishi✊🏾
1
1
1
Unakuta ratiba ya mgao wa maji inasema leo yatatoka mtaani kwenu halafu hadi sasa mabomba bado yamenuna. Agggr! #Tuishi✊🏾
0
0
2
Napendezwa namna @JamiiForums wanachapisha habari zao. Ubunifu wao kuanzia mwandiko hadi usanifu wa maandishi ni wa kisasa zaidi. Hata kama hauna nia ya kusoma habari yao, sanaa ya kucheza na mwandiko na uchanganyaji wake wa rangi inakuvuta zaidi. Kudos wakuu. #Tuishi✊🏾
0
0
2
Hawa watamaduni ni wakali sana kwenye Story Telling kupitia muziki. Kwa upande wako nani bora zaidi?
0
1
2
Imagine if Florian Wirtz and Alexander Isak had signed for Manchester United…😂😂😂
0
0
2
Some mornings, you wake up completely drained. Deals fall apart. Family is waiting for you. Promises feel heavy. You think so much your eyes almost tear up. Then you remember: you are a man. No excuse. Head up. Move forward, my commander. God will make a way. #Tuishi✊🏾
0
1
2
Haipendezi kwa karne hii kuishi kwa kutegemea maji ya mvua.
0
0
2
Aston Villa just poured sand in Arsenal’s porridge today. Coyg😞
0
0
1
Kuna watu ukiwaambia tulifika pahali hadi samaki, biashara ya bi dada @amprincess9 iliamuriwa ifanyike kwa vipimo watabisha🤣 #Tuishi✊🏾
1
0
3
Leo ukienda kuangalia mechi za hao jamaa wa Kariakoo unaanzia saa 10 jioni hadi saa 3 usiku umekaa eneo moja. Msiokula vitu mnawezaje?
0
0
2
Kuna mwana nimemwambia hivi akaniambia "Sio wana umri mdogo, sema wewe ndio umezeeka, umri walionao sasa na ule uliokuwa nao wakati unaanza chuo havitofautiani sana," imenibidi niite muhudumu aniletee kinywaji, hili jambo halifikiriki kikawaida🤣
First Year UDSM safari hii wengi wana umri mdogo sana, Mungu awasaidie wamalize salama. Vishawishi vilivyopo apo Mlimani City, Mwenge, Sinza, Ubungo Riverside hiyo sio mchezo. Mpaka unamaliza salama umepigana vita nyingi sana
1
1
3
Hata kama ni kuchumia Juani sio kwa hili jua la Dar kudadeki🤣🤣
0
1
2