
Cowbama
@Kaaobama
Followers
11K
Following
53K
Media
2K
Statuses
54K
Joined January 2018
Hizi mechi za uchochoroni kamanda anatakiwa achukue dakika ngapi apige bao?
57
27
439
Kuna vyumba vya kupanga ile unahamia tu unajisemea kabisa “hapa kodi ikiisha nahama…” 😂🙌
5
8
82
Nimewaletea hii pia Ipo dukani Bei poa kabisa 25000 Kila mtu apendeze😂🫵
0
17
24
Foldable wooden table 80*80cm/Futi 3X3 Tsh 80,000 0755693113 📍 Ubungo External
3
44
83
Linen shirts 22000 tuu 🔥💯✅ Delivery ✅🚚 mikoani tunatuma WhatsApp 0753103048 Kindly repost 🙏♥️
13
36
50
Hawa viumbe wakisha kuzoea ndo utaamini wanapenda ule mchezo kuliko sisi
62
62
1K
Kuna wasengerema wana hela aisee kuna jamaa hapa kila round kwenye aviator anastake 500k tangu sa sita Kindege kiruka hadi 30+ na hacash out🙉
0
0
1
Mzazi :- mungu amjalie mwanangu huko mjini kwenye kazi zake Mtoto :- kwenye kazi zake 😂👇
5
8
24
Sio kariakoo Tu na sio waislamu tu , huo ni utaratibu tulionao wabongo Tizama hata mitaani kukiwa na shuhuli yoyote hasa msiba na maulidi barabara zinafungwaga Kuna hoja hata sio za kuzisimamia kidedea NCHI HURU HII
0
0
0
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Size S_______2XL 👉Bei 27,000/= https://t.co/AV51Xv9yTT Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
24
188
207
Wakati Alikiba Anapambania Watu watiki oktoba, NRNE wanambless kwa kutrendisha ngoma yake "Tutaonana tenaa, nikufe keshoo , waniweke kwa mchanga"
0
0
3
X Skuizi imekua ya Kichoyo sana Yani wadau hadi zilizovuja mnatuuzia🥺
4
0
16
Hivi ishawah kutokea kwenye Dabi refa akaita kati hata kama goli lilikuwa na mkanganyiko ( goli halali au sio halali) Halafu akaja kubadili maamuzi kuwa sio goli?
0
0
1