
Linus Lasway
@LinusLasway
Followers
999
Following
22K
Media
289
Statuses
36K
App Alchemist |Spiritual Alchemist– I help you build & monetize apps, & grow spiritually For B2B and Personal Brand.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2022
Hali yako ipoje kwa sasa ya kiroho na kimwili,. -Nzuri.-Amani.-utulivu .-Mbaya.-Majonzi na utulivu.
0
2
9
Unaujua uchawi unausikia wewe?. Vitu kama;. "Kuiba hela rituals".
@AM_NIC3 @CarolNdosi Unampaje zaida wakat pale kuna kile cha kuhesabu hela , na kinahesabu unaona kabsa actual numbers ina maana we unaamin mchawi anaweza loga gar lisiwake . ?.
1
0
2
Kwenye mabenki ninavyoona kwa nini wanafeli kuiba hao uliowaita chuma ulete;. -Labla kuna ulinzi wa ziada kiroho kwa hiyo inawawia Ngumu kwao kuiba benk kiwepesi.
@Cowwbama Kwanini chuma ulete hawaibi kwenye mabank??.
2
0
4
Yeah mwisho wa siku,. Umemzaa mtoto na mtoto ajichagulie anachotaka kufanya . Na isiwe kama ndio kisa umemzaa wewe basi ndio awe uwekezaji wako wa uzeeni.
@iamthatfemale Ni mawazo ya kifala na kimaskini kuwaza kuzaa Eti watoto waje wakusaidie uzeeni,Mimi uzee wangu naandaa mwenyewe plus kuandalia wanangu Msingi wa maisha Yao ikiwemo Elimu na investment that's it.
1
0
1
Akusaidie How?.
@iamthatfemale mtu anakuambia huna mtoto hadi sasa unatakiwa uwe naye mapema aje akusaidie uzeeni.
1
0
1
Kivipi iwe haki? Kwani mtoto kuchagua anachotaka kuja kufanya aachane na kufanya kazi na urithi wa kifamilia ni vibaya?.
@iamthatfemale Lakini tukumbuke kuwa malezi ya watoto ni gharama kubwa sana ambazo huyo mzazi angewekeza kwenye miradi mingine angekuwa bilionea , ni haki na wajibu wa watoto kulipa uwekezaji wa wazazi wao. Nashauri itungwe Sheria ya kuwalazimisha vijana walipe wazazi wao gharama zote za malezi.
0
0
0
Kwa hiyo haujipi Break kwa ajili yako kaka?. Kama,. -kucheck movie?.-kujiponya ki ndani yako?.
@IssahuyaFx 😂😂. I CHOOSE MONEY OVER SLEEPING.
1
0
1
RT @LinusLasway: Hali ya wewe ambaye ni mjasiliamali wa mtandaoni na mjasiliamali wa nje ya mtandaoni kuwa na changamoto hizi 2 ambazo ni,….
0
1
0
RT @LinusLasway: Chocolate baada ya kukaa miezi 4 bila ya kujichua/kupiga punyeto. Kwa hiyo ewe ndugu Mjasiliamali wa mtandaoni na mjasilia….
0
1
0
@Johansentz @gabyconscious Kwa mtazamo wangu naona pia ndio mbinu na kitu kitakachowafanya selcom pesa wakae muda mrefu sokoni . Wako,. Linus Lasway. Niite pia kama "Ba maila".
0
0
1