Goodluck Paul
@GoodluckPaul14
Followers
2K
Following
11K
Media
500
Statuses
3K
Presenter/Producer Azam Media. Former Prime Minister UDSM Students guild (DARUSO), Mass Communication, Diplomacy Enthusiast.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2017
Elgidius Ichumbaki Prof wa Archeology na Mwenyekiti wa wanataaluma wa UDSM (UDASA).
0
1
1
Glad to have hosted John Wegesa Heche (CHADEMA VC) at his home. I consider it a constructive talk. I had posed some challenges on his stances but still remained all the way staunch.
1
2
13
"Tangu sasa mtu asinitaabishe; kwa maana ninachukua mwilini mwangu chapa zake Yesu. Ndugu zangu, neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja na roho zenu. Amina" Wagalatia 6:17-18
2
4
18
Timu ya FC Napoli kutoka Naples, mji wa tatu kwa ukubwa na umaarufu nchini Italia baada ya Roma na Millan, wamekuwa mabingwa wa soka wa Italia msimu wa 2024/2025. Kikosi kinachonolewa na Antonio Conte chenye nyota kama Romelu Lukaku na Scott McTominay kimefanikisha ubingwa wa
1
0
7
Naungana na Watanzania wenzangu kuzitaka mamlaka zitende haki juu ya jambo hili. Mungu ibariki Tanzania!
0
3
5
Nimehuzunishwa na taarifa za kushambuliwa kwa katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padre Dr. Charles Kitima. Kushambuliwa kwa kiongozi wa dini kama huyu, ni shambulio dhidi ya haki za kiutu na ustaarabu wa nchi yetu.
1
2
4
Naipongeza Simba SC, mnyama mkali wa mwituni kwa kutinga fainali ya Kombe la shirikisho Afrika kwa mara ya pili. Simba, timu pekee Afrika mashariki na kati kwenye michuano hii, tunawatakia heri watwae ubingwa wa michuano hii ya pili kwa ukubwa ngazi ya klabu Afrika.
2
4
22
Jorge Mario Bergoglio, who at one point of time had been a bouncer, transformed, served the Catholic church to the highest position of the pontiff. The Famous Pope Francis, has left an inspiring story.
5
2
16
We have lost our golden voice and golden heart. The grief is overwhelming but this reminds us that we're pilgrims, Yes, pilgrims of hope.
0
0
5
Ssali taught us how a journalist should be. Knowledgeable, Authoritative and noble. That's the kind of journalism I have always been aspiring for. That Idol is gone, but well, if there's journalism in heaven he'll still be among the best practitioners.
3
4
16
Mzee Wasira anasema kazi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM halipwi mshahara anajitolea
1
2
8
Kwenye tuzo za comedy za jana, mchekeshaji bora mwanaume wa mwaka na mchekeshaji bora wa jumla wa mwaka ambaye naye ni mwanaume, ni watu wawili tofauti. Kwakweli kila nikijaribu kuelewa nashindwa. Msaada kwenye tuta ndugu zangu😂
1
1
6
Leo tuwaachie wapendanao, sisi wengine tusubiri siku ya mashujaa😂😂
3
5
32
Nimeiona huzuni ambayo kimsingi inatokana na namna Derick alivyojitoa kwenye mapambano ya mageuzi katika umri wake mdogo wa ujana na sasa ameondoka katikati ya jukumu hilo. Mungu amrehemu. Poleni CHADEMA, poleni familia ya Magoma.
0
0
1