Gisiggo
@Gisiggo
Followers
918
Following
22K
Media
197
Statuses
10K
Medical writter
๐น๐ฟx๐ฐ๐ช
Joined February 2020
Kwa mujibu wa WHO-2022 hivi ndivyo hali ya Saratani nchini Tanzania ilikua 1. Saratani ya Mlango wa Kizazi (Cervical Cancer) โIlichangia asilimia 24.2% ya visa vyote vipya vya saratani, ikiwa na visa 10,868
1
2
8
In Kenya degree holders are searching for jobs while job holders are searching for degrees.
69
1K
6K
@Gisiggo @BantezeShu55381 Daah kuna figisu sana ukifungua hii hasa Mikoani ๐
1
1
1
Incase unataka kutengeneza version za music kama hizi, fuata steps hizi Step za Mwanzo 1. Download Suno app 2. Ingia website kama Genius tafuta lyrics za nyimbo unataka kui recreate Step za Mwisho Iambie Suno ikutengenezee gospel song yenye mahadhi ya afrika mashariki.
1
7
29
@Gisiggo @kalegamyeh ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบet tutaendelea kushona cervical tear we jamaaa umenikumbusha mbali acha ujinga 2017 naikumbuka brother mmoja humu aliniambia ivo au et nifungue tu zahanat kijijin kwetu ila nyie
1
1
1
@Gisiggo Kama bado upo ni jambo jema sana, Serikali ingeuongezea nguvu na kuusambaza mikoa mingi zaidi ungesaidia mno
0
1
1
@Gisiggo Kwa mazingira yetu bado ni ngumu sana ndugu yangu, man power availability, time, settings, na vingine. Miaka michache nyuma voda walianzisha M-mama ambayo nadhani ilikuwa aproach nzuri zaidi, sijui ilifikia wapi.
1
1
3
Tufanye yote ya muhimu kukiepuka kisukari, hasa kama tunazo ndoto za kuwa ma familia-watoto.
0
1
0
Bila shaka mamlaka husika zinatakiwa kulisimamia swala hilo, isiwe mtu anaibuka tu na products zake anaanza kuuzia watu na kuleta shida. Pili, mtu alinunua na akapata shida anaweza fanya kama F.A vs tiGo as long as uthibitisho upo.
Tatizo kubwa la bidhaa za Wasanii wengi hasa bidhaa za Ngozi Wasanii Wengi si wataalamu wa ngozi wala kemia. Bidhaa nyingi hutengenezwa na washirika tofauti bila udhibiti mkali. Baadhi zina steroids, mercury, hydroquinone na makemikali kibayo si kila mtu yatamfaa Hii
0
0
1
@Gisiggo @makumbawaleo_5n Ndio hoja ya msingi, japo kila mtu anastahili vitu vizuri.
1
1
1
Katafute mahubiri ya apostle Joshua selman titled mystery of deliverance ni mini series ina episode 4 na masaa almost 9, kuna kuomba, kubadili mindset, nk
Sio rahisi mtu kuacha kuangalia porno, kiimani porno hutumika kama mlango wa kufungulia the spirits of lust (destructive force). Ili mtu aache lazima maombi yahusike, yale ya kukemea na kunena against hio spirits lasivyo mtu atateseka sana.
0
1
2
@Gisiggo @Sirjeff_D Mungu sio muoga ila habari zake hazichunguziki Mungu hafanyiwi ujasusi anao upeo zaidi yetu master
2
3
5
Tatizo tuna IMANI ya kuamka salama kesho, lakini hatuna IMANI na yeye anayetupa huo UZIMA. Amini kwamba MUNGU ana namna zake za kupigana vita. MUNGU alipigana mwenyewe na farao, ila MUSA alikuwa akipokea MAELEKEZO ya Nini afanye kama mjumbe. Hii vita ni ya MUNGU sio yetu ๐๐พ
3
17
136
@Gisiggo Ni kweli, anahitaji muda wa Kufunga, Kuomba na kusoma zaidi Neno la Mungu na vitabu vingine ili kujenga MAHUSIANO mazuri na Mungu. Automatically hizo hali zitaanza kuondoka kabisa
0
1
2
Sio rahisi mtu kuacha kuangalia porno, kiimani porno hutumika kama mlango wa kufungulia the spirits of lust (destructive force). Ili mtu aache lazima maombi yahusike, yale ya kukemea na kunena against hio spirits lasivyo mtu atateseka sana.
Mungu anatumia kila njia kukutaka UACHE kuangalia porn, umekuwa mkaidi. Sasa anaamua kukuchapa fimbo. Badala ya kutuma kwa mtu ghafla unaipandisha kwenye status. Hapo ndio utajifunza kwa machozi ya sonona. ACHA KUANGALIA HIZO WEWEEE, ZINAKUMALIZA AKILI YAKO!!
1
0
1
Kwa muda mrefu, wagonjwa wa kisukari wanategemea dawa za Insulin. Lakini sasa, utafiti wa kisayansi kutoka Stanford Medicine umeleta tumaini jipya. Watafiti wameweza kutumia seli maalum za kongosho kuponya panya waliokuwa na kisukari aina ya pili. Seli hizi husaidia mwili
1
6
25
@Gisiggo @__spence_r @marto255_ What exactly are the choices a new born has when born with defects that cause them suffering?
2
1
1
@babyplux_ @Gisiggo @marto255_ Nice question. Let him explain why there are newborns suffering in hospitals because they have cancer.
0
1
1