
Adv,Innocent..
@Adv_innocent
Followers
5K
Following
6K
Media
167
Statuses
10K
⚖️ Law Student | Arsenal till the end | 📚 Future Judge in the making |"Dedicated lawyer championing justice and truth.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2021
Usitangaze mambo yako yakiwa bado kwenye pipeline. Kuna watu wana uwezo wa kuyazuia kwa njia zao. Acha watu waone matokeo. Always move in silence, ni kinga dhidi ya ulimwengu wenye wivu.
14
77
557
Usiwalaumu watu kwa kukukatisha tamaa. Jilaumu wewe mwenyewe kwa kuwatarajia mambo makubwa kupita kiasi.✍️
6
13
41
Fikeni pale pinned post Tarehe 15/9 uelekeo ni mmoja tu pale dodoma “MPANZU GENUINE” kuna simu kali na wanauza bei ya dar, Watu wa dodoma na viungo vyake msipange kukosa.
2
12
31
Ulimwengu wa sasa kumpata Mke sio shida , Shida ni kumpata Mke wako!
3
34
78
Niliogopa pale hakimu aliye dhurumu haki za watu na yeye alipata kesi isiyo na dhamana! Maisha yanahitaji unyenyekevu.
9
41
83
Wakiigiza kama wanakupenda na wewe igiza kama unawaamini ili unafiki ubaki pale pale
3
12
24
Wanangu,Kamwe Usimtegemee Mtu Yeyote Duniani Kwa Sababu Hata Kivuli Chako Hupotea Unapokuwa Gizani.
14
48
84
From nowhere "Nitakutafuta nitakapojiskia" ahaha mapenzi ujinga sana 🚮
4
6
41
Wanangu Utaongeza Juhudi Utakapofika Wakati Wa Kutofautisha Utakapoambiwa "Chukua Kiti Ukae" Na "Tafuta Swhemu Ya Kukaa"
3
14
22
nataka nilale sema kesho ntakuwa mahakamani, pale mbezi ngoja nijiandae nsijepigwa za kichwa😂
0
0
1