
Engkabora
@Engkabora
Followers
6K
Following
22K
Media
2K
Statuses
59K
#BachelorDegree In Data Science #MrLaptopSuplierTz https://t.co/53khTUsDpb #simbasctanzania
world
Joined April 2024
ACHA UMALAYA ACHA UMALAYA ACHA UMALAYA ACHA UMALAYA ACHA UMALAYA ACHA UMALAYA ACHA UMALAYA ACHA UMALAYA
0
0
0
Show off mtandaoni sio kwa kila mtu anaweza ๐ ....maana uweke au usiweke haisaidii chochote
9
17
58
Hii kazi ya kuwa mlinzi magetini naona mdogo mdogo inanishinda wazee
0
0
2
"Freedom is the oxygen of the soul" ๐ถ๐พโโ๏ธ
3
23
94
Raha ya kuwa single unapunguza magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya ngono
0
0
0
Tanzania ni kubwa Sanaa ila Kuna makabila yapo sehemu kubwa ya Tanzania yametapakaa kila kona mengine yapo eneo moja Pekee au machache JE ni lipi kabila lipi kila mkoa utalikuta ?
5
3
7
Mkumbushe mwanao kuwa Migongano ya kimaslahi haijawahi kumuacha mtu salama hivyo akiungana katika utafutaji ahakikishe anazingatia haki, uwazi na usawa .
27
71
131
Tabia ya wamama kukifanya wadada humu naomba ife ๐ซต
12
19
43
MUNGU Wetu Mwenye Nguvu Akatufanyie Wepesi Tena Katika Wiki Hii Mpya Na Kuzibariki Kazi Halali Za Mikono Yetu.๐ Good morning +255๐น๐ฟ
60
81
166
Nyakati ngumu huja ili kutuonyesha kuwa sio Kila nguzo iliyosimama Inafaa kuegemea.
0
3
4
God will make a way where it seems to be no way..๐คฒ๐ Good morning lovers๐ฅฐ
47
39
84
Self confidence is a super power, once you start to believe in yourself. The magic begins to happen, let self love be your guiding light throughout this day. Good morning Fam.
68
55
117
Kumekucha hatimae ni siku nyingine ya kwenda kutetea maisha yetu.,! Good Morning.๐
26
20
51
Palipo na haki huna haja ya kuhubiri amani,huwa inakuja yenyewe tu.Ukiminya haki basi automatically amani inapotea,ajabu kwetu waminya haki ndio wanaohubiri amani. Huhitaji ushawishi katika kutumia akili yako vizuri,unahitaji ukweli tu,ukweli humuweka mtu huru. Good morning fam.
41
32
63