CaptainGerry_ Profile Banner
Captaιn Mƙυυ🎖️ Profile
Captaιn Mƙυυ🎖️

@CaptainGerry_

Followers
18K
Following
871K
Media
3K
Statuses
62K

S I Y A B O N G A B A B A🙏🏽

Morogoro, Tanzania
Joined December 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
4 years
Pamoja na ubize wako usisahau kutenga muda wa kushiriki matukio ya kijamii kama sherehe na Misiba.
64
170
993
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
21 hours
Bwana akubariki na Kukulinda, akuangazie na Nuru ya Uso wake, na kila ufanyalo likafanikiwe. Good Morning Family.
10
16
30
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
2 days
RT @Mwaki28: Tumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa siku Nyingne Tena Maana ni Mwema sana 🙏.
0
10
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
2 days
RT @VeronicaPanta15: Hata ukisongwa usiache kusonga mbele. 🙏.
0
15
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
2 days
RT @QueenOnlineBiz: Naomba Repost🙏. #VIATU BORA🛍️🛍️. ✅Size 40-45. ✅Bei 85,000/=. 📍Kariakoo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
70
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
2 days
RT @Mwacha5: Asante Mwenyezi Mungu kumekucha tena.
0
11
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
2 days
RT @mchachu_: Ukiwa mfanyabiashara ni rahisi kuongeza pato lako la mwezi kuliko aliyeajiriwa. Muajiriwa yeye mpaka boss acheke. 🤞🏿.
0
48
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
2 days
RT @Ambele_Young: Naomba retweets hapa wakuu. 🚨 HABARI NJEMA! 🚨. 🌟 AIRTEL 5G ROUTER 🌟. ✅ Kasi Bila Mipaka – Furahia intaneti yenye kasi pop….
0
40
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
2 days
RT @sonnino123: Tumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa Kutuamsha Salama siku ya leo 🙏.
0
13
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
2 days
RT @Adventure_36: Mungu atubariki harakati zetu Leo zikajipe. 🤲.
0
32
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
2 days
RT @MissChelsea1221: Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍. 👉Size S_______2XL.👉Bei 27,000/=. Au 0714336827. 👉Duka lipo….
0
198
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
2 days
Hakuna adui mgumu kumkabili kama yule aliekua rafiki awali, rafiki uliekua ukimwambia kila kitu chako. Jitahidi kuanza kuweka mipaka ya mambo ya kushirikisha watu kwa kivuli cha jina rafiki. Good Morning Family.
11
12
32
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
3 days
RT @ze_mandevu: Kiroho Safi naomba Repost yako hapa 🫡
Tweet media one
0
159
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
3 days
RT @SamsonErnest_: Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu….
0
12
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
3 days
RT @MissChelsea1221: Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍. 👉Size S_______2XL.👉Bei 27,000/=. Au 0714336827. 👉Duka lipo….
0
173
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
3 days
RT @nyuki_malkia: Goodmorning!. Tujifunze kuzicontrol hasira sana na kufikiria matokeo ya kile unachofanya kwa hasira kama yatakuacha salam….
0
57
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
3 days
RT @rezam06: Omba Mungu siku yako ikabarikiwe kwa kila utakachoenda kukifanya. Good morning🙏.
0
23
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
3 days
RT @sonnino123: Tumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa Kutuamsha Salama siku ya leo 🙏.
0
18
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
3 days
Kubali tofauti zetu za kibinadamu, kamwe hatuwezi kufanana. Kuna yale unaweza kumbadilisha mtu na mengine huwezi na ni muhimu kuelewa na kukubali hilo. Good Morning Family.
5
10
20
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
3 days
RT @Adventure_36: Mungu atubariki harakati zetu Leo zikajipe. 🤲.
0
39
0
@CaptainGerry_
Captaιn Mƙυυ🎖️
3 days
Kumbe hawa Katuni walitaka kufanya Umafia deal la Mbeumo. Wameshindwa kwa Jina la Yesu😁
Tweet media one
1
0
0