AlexKomba19 Profile Banner
Alex debrizy Profile
Alex debrizy

@AlexKomba19

Followers
3K
Following
548K
Media
2K
Statuses
63K

Public health practitioner, MUHAS alumin, Wirtz fan,Fc Barcelona,Manchester United ♥️and Young Africans (wananchi)💚my favourite clubs, GOD over everything 💪

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@AlexKomba19
Alex debrizy
2 hours
RT @udsm_finest: Kama wewe ni mfatiliaji wa Mpira Tuambie jina la huyu Mchezaji 👇
Tweet media one
0
17
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
2 hours
Nahitaji pasi used ya philips kwa madogo ambao wamemaliza chuo mwaka huu waliopo DSM lakini @HeIsMox_ @hamis__tz @udsm_finest kama unamfahamu kijana yeyote anaeuza pasi used mnicheki familia yanguu ✊.
4
5
10
@AlexKomba19
Alex debrizy
2 hours
RT @Mwlzephania: Kuwa makini na miji maana matapeli ni wengi mjini.
0
1
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
2 hours
RT @Badman001_: Ila kuishiwa pawa😁🙌🙌
0
3
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
2 hours
RT @humbleQueen02: Haichukui nafasi ya daktari😅😅
Tweet media one
0
18
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
2 hours
RT @TravisKitengo_: Je, wewe ni maskini wa kutupwa? Yani huwezi kuingiza hata dollar moja kwa siku?.Basi nitakuletea mbinu za kupata pesa n….
0
17
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
3 hours
RT @JosephBaharia: Jibu kama mtanzania😂
Tweet media one
0
3
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
4 hours
Nashida na Ashura ndala ndefu leo nampata wapi 😂.
@vistovic17
YAMALNHO
9 days
Bookmark hii simba anachukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara Leo simba akikosa ubingwa mniite Ashura ndara ndefu 😎
Tweet media one
1
0
4
@AlexKomba19
Alex debrizy
5 hours
RT @moyowakijani: Watu wa mikoa ya kaskazini tunamiliki soksi nyingi kuliko nguo.😺
Tweet media one
0
6
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
5 hours
Mnajisahau kabisaa nyie vijana 😂
Tweet media one
@Tweener005
PąChâ#1738🧑‍🤝‍🧑🎨⚽️🌴
6 hours
Ukitaka kujua ligi ya bongo ni dhaifu huyu jamaa akirudi Yanga anakuwa starting eleven 🤣🤣🤣
Tweet media one
3
3
6
@AlexKomba19
Alex debrizy
5 hours
RT @Official_T_O_D: Msimu huu wa sababa tuendelee kuzingatia!.-Kama haelewani na baba yake mzazi huyo Usioe,.-Kama ana mtoto huyo Usioe,. M….
0
12
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
5 hours
RT @Tweener005: Ukitaka kujua ligi ya bongo ni dhaifu huyu jamaa akirudi Yanga anakuwa starting eleven 🤣🤣🤣
Tweet media one
0
9
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
5 hours
RT @humbleQueen02: Kidogo mchana upite
Tweet media one
0
18
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
6 hours
RT @WideEdson: Hivi kati ya Rafael Leao na Marcus Rashford yupi ni Left winger mzuri kuliko mwenzie, kuna kitu nataka nijua apa!? 🤔.
0
6
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
6 hours
RT @kasesco_jr: Leo kama kawaida watu wa kazi kazi . Operesheni Maji Maji iko Liwale Mkoa wa Lindi. Oktoba #LindaKura.#MuhuniHasusiwi .@ACT….
0
5
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
6 hours
RT @Jogoo_Mtemi: Naomba tu kuuliza. Kwanini Ally Mayai Kila akiomba Ridhaa ya kugombea Urais pale TIFUFU wanamkataa Kwa kusema hajakizi….
0
12
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
6 hours
RT @Mwansk10: Barcelona Sasa hawana budi kusalmia kwa Ditram Nchimbi baada ya dili la Williams kuingia mchanga. 😂😂😂😂
Tweet media one
0
1
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
6 hours
RT @_Minihaji: Ukitaka Kuwa Na Amani Moyoni Mwako Kubali Mambo Mengine Yakupite.!!.
0
5
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
6 hours
RT @amjustbau: Maana halisi ya kifo ndo kitatutenganisha 💔
Tweet media one
0
2
0
@AlexKomba19
Alex debrizy
6 hours
RT @moyowakijani: Nikipika na jiko la mkaa naumwa sana kichwa sijui tatizo ni nini?
Tweet media one
0
4
0