
Abdul
@AbdulAmeir
Followers
7K
Following
97
Media
1K
Statuses
53K
Son | Pilgrim | Husband | Dad | Bibliomania | 26:217-220
Tanzania
Joined October 2010
Qunut: innahu laa yathillu man waalayta, [wa laa ya 'izzu man 'aadayta] 🤲🏾 none whom You have committed to Your care shall be humiliated [and none whom You have taken as an enemy shall taste glory] 🤲🏾 hakika hadhaliliki uliyemfanya mpenzi, [wala hatukuki uliyemfanya adui]
0
42
95
Vitu vitatu hupotezwa na vitu vitatu 1. Ustahamilivu unapokutana na mpumbavu. 2. Nasaha njema inapokutana na mwenye kiburi. 3. Wema unapokutana na asiyeustahili.
0
80
157
“Vazi bora la kukufaa kwenye maisha linafumwa kwa nyuzi tatu; ibada, bidii na shukrani.” — @SuluhuSamia
0
98
111
Surah Al 'Imran Ayat 150 Bali Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wenu, naye ndiye bora wa wasaidizi.
0
94
96
“You can have your own opinion, but not your own facts.” — Talib Kweli
0
49
62
Unadhani kwa kuwa unaelewa MOJA basi lazima pia uelewe MBILI, sababu moja NA moja zinaleta mbili. Lakini lazima pia uielewe NA. - Rumi
0
71
94
Kurani Tukufu Sura ya 36 (Yasin), Aya ya 82 Hakika amri yake anapotaka kitu ni kukiambia tu: Kuwa! Na kikawa!
0
54
79
"Mkakati bila mbinu hauleti ushindi; na mbinu bila mkakati ni kelele kabla ya kushindwa." - ST
0
66
98
"Hakika amri yake anapotaka kitu ni kukiambia tu: Kuwa! Na kikawa." — 36:82
0
88
101
“Umuombe Mwenyezi Mungu akujaalie mambo manne. Moja, nafsi yenye kutambua Ukuu wake. Mbili, ujasiri na bidii kubadili unayoweza kuyabadili. Tatu, ustahamilivu wa kupokea usiyoweza kuyabadili. Nne, busara ya kutambua yapi unaweza kuyabadili na yapi huwezi.” - @SuluhuSamia
0
80
110
Nyakati bora kabisa za maisha yako ni wakati unaotumia kumdhukuru Mwenyezi Mungu kwa tafakuri na mazingatio kiasi kwamba unasahau kila kitu kingine.
0
16
49
“Hakuna kitu kigumu kwenye maisha kama kushindana na wakati. Waja wote ni watwana mbele ya wakati.” - @SuluhuSamia
0
93
218