ufmradiotz Profile Banner
UFM Radio Profile
UFM Radio

@ufmradiotz

Followers
14K
Following
293
Media
8K
Statuses
10K

Azam UFM | Part of @azamtvtz / @ofclbakhresagrp | 107.3 DSM, 101.7 Dom, 96.5 Arusha, 98.7 Shinyanga, 93.3 Kigoma, 97.7 Mtwara, 90.9 Musoma #SisiNiWewe

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@azamtvtz
Azam TV
13 days
Je, umealikwa? Tukutane Karatu Septemba 27, 2025 kwenye kilele cha msimu wa 10 wa shindano la #SafariFieldChallenge 🔥 Usipange kukosa hii…
2
1
13
@azamtvtz
Azam TV
14 days
Jibu tutalipata Septemba 27, 2025 Karatu, mkoani Arusha utakapofanyika usiku wa kilele cha #SafariFieldChallenge2025 ikiwa ni msimu wake wa 10. #SafariFieldChallenge #AzamSports
0
2
24
@azamtvtz
Azam TV
14 days
HIVI KARIBUNI #AzamTV 💥🔥 #BurudaniKwaWote
1
3
7
@azamtvtz
Azam TV
14 days
Timu gani imetisha zaidi? 👀
0
3
10
@ufmradiotz
UFM Radio
17 days
#SafariFieldChallenge2025 | Tumewaona, tumewasikia, tumewapigia kura; na sasa ni muda wa kujua nani amefanikiwa kutoboa na kuwa Muongozaji Bora wa Watalii kwa mwaka 2025 kwenye msimu wa 10 wa shindano la #SafariFieldChallenge ya Septemba 27, Karatu…Uko tayari? Usikose hii.
0
2
7
@Azamtv_ug
Azamtv_ug
1 month
Don't miss CECAFA Kagame Cup 2025 Showing live on #Azam_Sports 1HD 💫 #Followyourstars #SportsUpdate #Azam max app https://t.co/GCPMgapCj0
3
5
14
@azamtvtz
Azam TV
2 months
Azam Media Limited leo Agosti 18, 2025 imepokea ugeni kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ukiongozwa na Taasisi ya Ofisi ya Rais Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini (ZPDB). ZPDB ikiwakilishwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mohamed Mansour Nassor,
2
2
171
@azamtvtz
Azam TV
2 months
KAA TAYARI KWA Kipindi chako bora cha #ShabikiSosho ikiwa ‘spesho’ kwenye michuano ya #CHAN2024, bado siku mbili tu kabla ya shughuli ya kihistoria haijaanza kwenye mataifa matatu ya Kenya 🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 na Uganda 🇺🇬 Nini matarajio yako kwenye michuano hii ya CHAN? Umejipanga
1
2
15
@azamtvtz
Azam TV
3 months
2
4
139
@ofclbakhresagrp
Bakhresa Group
3 months
Tunakutakia maadhimisho mema ya siku ya Sabasaba.
1
2
12
@azamtvtz
Azam TV
3 months
OTTOMAN IMERUDI KIBABE: Ngome bado iko imara, maadui wameongezeka, vijana kwa wazee njia ni moja tu ya ushindi na kuisimamisha himaya kubwa duniani ya Ottoman. Kuanzia Julai 10, 2025 msimu mpya wa tamthilia pendwa ya OTTOMAN utaanza rasmi, muda ni ule ule saa 4:00 usiku
15
5
118
@AzamPesa
AzamPesa
3 months
Tunawatakia heri katika kuadhimisha siku ya sabasaba. Karibu katika banda letu ujipatie huduma zote za Azampesa kuanzia kujisajili, huduma za uwakala, huduma za Lipa namba,kadi za GUSA na muhimu zaidi—elimu ya kina juu ya matumizi ya Azampesa. Azampesa tunapatikana kwenye jengo
0
4
9
@AzamPesa
AzamPesa
3 months
Pakua App ya #AzamPesa inayopatikana kwenye Google Play Store au iOS App Store uweze kulipa #bili, kununua #tiketi za ndege, Malipo ya serikali, na kufanya yote kwa bonyeza moja bila wasiwasi hii #Weekendi #tunakujali #Azam
1
1
5
@AzamPesa
AzamPesa
3 months
Uliwahi kujisajili Azampesa ukaishia njiani? Tungependa kukusaidia kumaliza usajili wako uanze kufurahia miamala kwa gharama nafuu zaidi. Tupigie BURE kupitia 0800 785 555/ Tutumie namba zako Inbox tukupigie kukusaidia. Bofya link kupakua App ujisajili mwenyewe:
1
2
23
@ufmradiotz
UFM Radio
5 months
BREAKING NEWS: Prof. Mohammed Janabi amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Ni baada ya uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika kufanyika leo Geneva Uswisi.
3
0
14
@ufmradiotz
UFM Radio
5 months
Mtia nia kwa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Hamad Rashid Mohamed, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho ili kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar katika uchaguzi utakaofanyika mwaka huu.
0
0
4
@ufmradiotz
UFM Radio
5 months
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, ameondoka nchini leo kuelekea Brasilia, Brazili, kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Pili wa Brazili na Afrika kuhusu usalama wa chakula, mapambano dhidi ya njaa na maendeleo vijijini. #UFMUpdates
0
0
4
@ufmradiotz
UFM Radio
5 months
Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema Serikali inatarajia kuanzisha uuzaji wa sarafu ya dhahabu nchini ili kuwawezesha Watanzania kuwekeza na kumiliki dhahabu kwa urahisi ili kuimarisha soko la ndani la dhahabu na kuongeza mzunguko wa fedha nchini.
0
0
2
@ufmradiotz
UFM Radio
5 months
Maafisa wa Ukraine wamesema shambulio la ndege zisizo na rubani la Urusi katika mkoa wake wa kaskazini wa Sumy limelenga basi la abiria mapema leo na kuua watu tisa na kuwajeruhi wengine wanne.
0
0
1
@ufmradiotz
UFM Radio
5 months
Muimbaji nyota wa R&B Chris Brown amenyimwa dhamana na mahakama moja Uingereza na kurudishwa rumande baada ya kufika mbele ya mahakama hiyo kufuatia tuhuma za kutumia chupa kumshambulia mtu katika klabu ya burudani mjini London Uingereza. #UFMUpdates #ufmhabarinamatukio
0
0
5