
π₯± tulialfreda
@tulialfreda
Followers
12K
Following
23K
Media
6K
Statuses
91K
less expectations = less disappointment π€
Somewhere called home π
Joined February 2013
Nilikaa nyumbani miaka minne bila kazi .Niliuza senene .Niliuza nguo .Nilijitolea kazi bila malipo kampuni.Nilishaenda mpaka kigoma kusambaza maharage .So asikate tamaa jamani inaweza ikawa ujasiriamali au ajira ndo calling yake apambane kote kote kuomba kazi na kujiajiri.
Kuna kijana kanitumia DM juzi, amechoka na maisha na anaifikiria kujiua, amemaliza chuo toka 2023, mpaka leo ajira hajapata, amejitolea makampuni mengi ila kipato ni kidogo sana!. Niliongea nae kwa muda mrefu, inasikitisha sana!. Dear Men, jifunzeni kuongea!.Sending Hugs!.
3
6
26
RT @Iamivy05: all of us are selective sinners. we choose the sins we are comfortable with, and judge others that commit the ones weβre notβ¦.
0
17K
0
RT @SomaKazima2: Change the songs all you want, I knew what she was doing IMMEDIATELY πππ she TORE
0
4K
0
π.
@Mwenyekit_i Huyu ni dada angu kabisa. Atapost vitu za South Africa na yupo Ilazo ananyonyesha.π.
0
0
0
Anyways kwenye hilo tangazo la asas yogurt kumbe kuna ya yellow π³.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United Democratic Party (UDP), Saumu Hussein Rashid akiwa ameambatana na Mgombea mwenza wake aitwaye Juma Khamis Faki, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15,2025 huku akiahidi kuwa
0
0
1