paka2104 Profile Banner
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ  Profile
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 

@paka2104

Followers
4K
Following
23K
Media
135
Statuses
5K

แฅซแญก Highly Favoured แฅซแญก

Joined March 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
Kuanzia kesho tarehe 10/12 mpaka tarehe 21/12 kila siku saa 12 asubuhi tutakuwa na space tukisali pamoja NOVENA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA kama upo tayari kushiriki pamoja andaa maombi yako maalumu kwa siku hizo kumi na mbili tusali na kufunga pamoja โœจโค๏ธ๐Ÿ™
20
79
451
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
Niwake kabla mwaka haujapinduka ๐Ÿซ  Happy new year all friends ov mine โค๏ธ
5
0
22
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
I am so lucky to have you as my friend hope your Birthday is as special as you are May God grant all your wishes and all of your dreams come true Thanks for being such a great friend I love you so muchโœจโค๏ธ @NyamboTina
6
4
24
@iamZature
Zature
1 year
๐ŸŽ‰ Ni Baraka kwa siku nyingine, mwaka mwingine, na fursa nyingine! Asante kwa kila mmoja, tuko pamoja, Heri ya Krisimasi! ๐Ÿฅณโค๏ธ Nakupenda @paka2104 ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
1
1
7
@iamZature
Zature
1 year
๐ŸŽ‰ Grateful for another day, another year, and another chance to embrace life! Thank you to everyone who has been part of my journey. Hereโ€™s to making more beautiful memories together! ๐Ÿฅณโค๏ธ ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ @paka2104 ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
18
5
30
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
Heri ya siku ya kuzaliwa mahi wangu @iamZature mwaka huu ukulete karibu na ndoto zako na kukupa furaha upendo usio na mwisho na mafanikio ambayo moyo wako unatamani ๐Ÿคฒ Nakupenda zaidi ya maneno yanavyoweza kueleza โœจโค๏ธโค๏ธ๐ŸŒน.
5
1
19
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
Kumbe kesho ni kesho EHHHHH๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
0
2
8
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
Heri ya siku ya kuzaliwa mama Asali โฆโฆ@Mrsdavieeโฉ yesu wa mbinguni akupe umri mrefu na kukutunza vyemaโค๏ธ
5
5
71
@MiriamMkanaka
MIRIAM๐Ÿ’œ
1 year
Kuna watu wameingia kazini leo maskini ya Mungu hapo ndio utajua umuhimu wa kuwa jobless ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
28
49
828
@DullahTheking2
Dullah_theKing๐ŸŽง
1 year
Hii Week nayo nimeshajichanganya wazee ๐Ÿ’” Ikwishe tuu nitajipanga Mwakani ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ
15
21
97
@Mrsdaviee
Ms Bee๐ŸŒน
1 year
YES to david 22.12.2024 โค๏ธ Nakupenda mume wangu Asante ๐Ÿ™
185
80
2K
@MiriamMkanaka
MIRIAM๐Ÿ’œ
1 year
God when Foundation tumeshatoka church sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
16
19
243
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
NENO LA ASUBUHI:Wakorintho 15:57-58 Lakini Mungu ashukuriwe Yeye anatupa tia ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristoย Kwa hiyo ndugu zangu simameni imara Msitikisike Mzidi sana kujitoa kwa ajili ya kazi ya Bwana kwa maana mnajua ya kuwa juhudi yenu si bure katika Bwanaโœจ๐Ÿ™
2
6
32
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
Huyu ni ndila kabisa akishachukua maic space ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kaa chonjo @fadhili_ndilla
0
2
11
@fadhili_ndilla
Fadhil Ndilla
1 year
Dada zangu mshawekwa Kwenye Bajeti Ya Christmas Allowance Au Kikubwa Mle Pilau ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ @Zeeswitcher @Iamcleopatricia @itc_zennah @Kahawa260 @MSAFWA_OG @paka2104 @fantasy_FGP @bitilisi
5
3
23
@Mrschuggaking
z๐”ฒ๐”ฏ๐”ฆ
1 year
We endelea tu ku Cut off watu Harusi yako utajichangia
3
2
11
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
NENO LA ASUBUHI:103:2 Barikiwa Bwana ee nafsi yangu na kumsitu Bwana kwa yote aliyoyafanya Hivyo Shukrani kwa Mungu Baba" ni njia ya kutoa sifa kwa Mungu kwa kuwa mwema na mwenye huruma kwetu
1
8
29
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
NENO LA ASUBUHI:zaburi 136:1 Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake ni za mileleโœจ๐Ÿ™
3
9
38
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
0
2
10
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
NENO LA ASUBUHI: Zaburi 89:13 Mkono wako ni mkono wenye uweza Mkono wako una nguvu Mkono wako wa kuume umetukuka Ndugu yangu hata kama moyo wako unaugua na taabu basi mweleze Bwanaโœจ๐Ÿ™
2
8
22
@paka2104
๐—ฃ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ แต•ฬˆ ๐“ƒ 
1 year
0
0
4