njiwapori_ Profile Banner
Njiwapori 10k Profile
Njiwapori 10k

@njiwapori_

Followers
6K
Following
66K
Media
2K
Statuses
65K

BaBa T 💥

Tanzania
Joined May 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@njiwapori_
Njiwapori 10k
6 months
Mafanikio sio kama chumvi ukishaiweka kwenye mboga muda huo huo inakolea . Mafanikio hayaji haraka. Mafanikio ni safari ndefu na yanahitaji uvumilivu,jitihada na kuwa na malengo juu ya kile unacho kifanya baada ya hapo utaona nuru ya mafanikio.
20
78
92
@njiwapori_
Njiwapori 10k
4 hours
RT @kasimuabuu98: Tayari tumempumzisha mdogo wetu kwenye nyumba yake ya milele. Kila mwanzo haukosi mwisho,amelala kama utani 😢. Yote….
0
42
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
4 hours
RT @Tweener005: Salah bado ajapost chochote inaonekana kaumizwa sana 💔🤔
Tweet media one
0
23
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
5 hours
Watajuaje mimi ni mjanja?👇🏿.
3
6
10
@njiwapori_
Njiwapori 10k
6 hours
RT @TravisKitengo_: Kuchukia kuona wengine wakifanikiwa, haitofanya mafanikio yao yahamie kwako. Punguza chuki zisizo na faida. #BusaraZaTr….
0
41
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
6 hours
RT @Eliaskaneke: Hivi hawa madereva wa English medium,mnajua majukum yenu ama ni uzuzu umewajaa kichwani🤔. Mnawezaje kufungulia muziki mkub….
0
13
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
6 hours
RT @mzee_wa_fact: Kwa sababu ya JOTA?, 😲.Juzi mbona ilitokea ajali ya gari MBEYA na walikufa zaidi ya watu 30,.Hakuna hata aliyepost, Afrik….
0
1
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
6 hours
RT @kaji_sijo: Kwenye zile video zingine za yule dogo wa Geita aliyepigwa mpaka kufa, Hizi si pingu hizi? au ni macho yangu hayaoni vizuri….
0
30
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
6 hours
RT @Mzungu_pori1: Mda wa kuwapunguza ukifika usisite. .
0
19
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
6 hours
RT @AlexKomba19: Mapambano yanaendeleaa familia yanguu binafsi nakubali na kuheshimu harakati zote za upambanaji wa halali💪.Good morning my….
0
26
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
7 hours
RT @mzee_wa_fact: Juzi ulitokea msiba kule MBEYA wengi walikufa kwa ajali na hakuna aliyepost ⤵️. Taarifa kutoka Ureno kila mtu amepost, 😲….
0
23
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
7 hours
RT @Ayodimejitz: Tunaanza na MUNGU familia pia haso zetu zikajipe. Good morning GOD's people. ❤
Tweet media one
0
22
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
7 hours
RT @Official_T_O_D: Hakikisha Unanyoa unaondoka,Kuosha atakuosha Mkeo nyumbani.
Tweet media one
0
14
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
7 hours
RT @Tweener005: Good morning x family
Tweet media one
0
35
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
7 hours
RT @_MassKing: Kama Umeamka salama shusha handle yako hapa tuongeze followers.
0
24
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
7 hours
RT @Eliaskaneke: Siri ni number. drop your handle let's connect with you guys ☑️👇.
0
15
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
7 hours
RT @Eliaskaneke: Unakuwa kwenye mahusiano ya mapenzi akati huwezi hata kulipa Kodi ya huyo demu wako😂😂. Sasa uko kwenye hayo mahusiano kwan….
0
34
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
7 hours
RT @KiandaWa14: Wazee Wa SUMBAWANGA wanasema;. "Ukipata SHUKURU ukikosa USIKUFURU🙏".
0
30
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
7 hours
Kuna miamba ilimuona nuhu kama chizi 🤣🤣 . Hadi mvua ilipoanza kunyesha. Endelea kujenga safina yako.
11
13
25
@njiwapori_
Njiwapori 10k
7 hours
RT @HajiJum62210965: نحن نكافح كثيرًا في حياة لا تنتهي إلا بالموت. Tunapambana sana kwenye maisha ambayo mwisho wake ni kifo tu💔 https://t.….
0
1
0
@njiwapori_
Njiwapori 10k
7 hours
RT @IamGabby_01: Kwenye maisha ogopa vitu 5️⃣. 1. Muongo, mnafiki, msaliti. 2. Anayecheka nawe, anakuchimba. 3. Anakutumia, halafu ana….
0
46
0