kirigitim Profile Banner
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข Profile
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข

@kirigitim

Followers
22K
Following
129K
Media
6K
Statuses
65K

๐๐ž ๐ฌ๐ฆ๐š๐ซ๐ญ ๐š๐ฅ๐ฐ๐š๐ฒ๐ฌ ๐›๐ž๐œ๐š๐ฎ๐ฌ๐ž ๐ง๐จ ๐จ๐ง๐ž ๐œ๐š๐ซ๐ž๐ฌ ๐š๐›๐จ๐ฎ๐ญ ๐ฒ๐จ๐ฎ๐ซ ๐„๐…๐…๐Ž๐‘๐“๐’ , ๐จ๐ง๐ฅ๐ฒ ๐‘๐„๐’๐”๐‹๐“๐’.

Serengeti Tanzania.
Joined October 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
1 hour
RT @ERICNYAKI1: 2345hrs MANGA tupo mbele kama tai ile EKL itakuta chuma inaoga.
0
1
0
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
1 hour
Mtego๐Ÿ˜.
@Adrianomgimwa
Adriano mgimwa
4 hours
EQR imefika lini wakuu @kirigitim @Kangaboy_ @TBoundBuses
Tweet media one
0
0
0
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
7 hours
Wakiila hiyo EKL hawafiki Singida wanashusha injini.
@ERICNYAKI1
om boi
10 hours
@PabloYende @kirigitim @truck_tz @TBoundBuses @TBoundBuses huyu tumfanyaje sasa aliwe au
1
0
3
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
8 hours
Namna gani pale๐Ÿ‘€. SOULI ndo nani?
Tweet media one
2
0
32
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
12 hours
Yale ma G7 itakuweje?.
@munyamambogo
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿฅฐ๐Ÿ™
12 hours
Daaaaa
Tweet media one
5
0
15
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
12 hours
Mkerewe anahitaji msaada kuona anatembea spidi gani kupitia App.
@DavinciP4
Mkerewe
12 hours
@kirigitim msaada App gani naweza kuangalia VTS yangu kama nimezidi mwendo.
1
1
5
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
12 hours
Marcopolo Volkswagen ikikutana na Marcopolo Scania wakapewa ruti moja Dar - Mbeya na wakatoka muda mmoja, halafu VTS zikazimwa. Ni nani atakuwa mbele Uyole?
Tweet media one
7
4
78
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
15 hours
Kutoka Dar - Mwanza kwa Wakurugenzi Top 10, Ally's ๐ŸŒŸ ndo Mkurugenzi pekee anayetembeza gari namba EF na EH la matajiri, lakini bado hadhi na ubora wa huduma ni wa juu kuliko Wakurugenzi wote. Wakurugenzi wengine wote wapo EJ - EM Series lakini bado wanahenya kwa EFE. Legendโœ”๏ธ.
Tweet media one
3
2
28
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
1 day
Ni kwanini mabasi mengi sana tokea hapo kale yamekuwa yakipendelea sentensi hizi mbili?. โœ”๏ธIN GOD WE TRUST.โœ”๏ธINSHAALAH. Ni nini siri ya hizi sentensi kwenye mabasi?
Tweet media one
7
1
41
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
2 days
Hii picha imepigwa leo. T501 EFE chungwa kuu, ilikuwa inasubiria abiria ambaye alichanganya mabasi pale SHY HQ na kujikuta anarudi Dar. Hivyo taarifa zinazotembea zina lengo la kuichafua kampuni. Hatutasita kuwashughulikia ki-ulaloulalo wote. Ahsanteni.
Tweet media one
24
5
102
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
2 days
Hii picha ya T948 EBF imepigwa jana kabla ya safari kuelekea Mwanza. T948 EBF imetimiza miaka 10 rasmi leo ikiwa na historia zifuatazo. โœ”๏ธ Imeua EBR, ECR, EDR na DXE. โœ”๏ธHaijawahi kuguswa injini wala gia boksi. โœ”๏ธChuma ya kwanza bei ghali Tanzania nzima. โœ”๏ธHajawahi kutaga.
Tweet media one
16
1
72
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
2 days
RT @preacher56189: @kirigitim Huyu mwamba ana basi nyingi sana alaf anaztunza, na ktk michina yote dragon ndizo basi imara zaidi ๐Ÿšƒ๐Ÿš‹yaani yuโ€ฆ.
0
1
0
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
2 days
RT @lex_tarry: Hata chakaby alianza hv hv mtapiga kelele sana ila polo bongo hii ni katarama tu.
0
2
0
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
2 days
Hongera kwao kwa kujitoa kuchangia Damu. Ninaunga mkono uchagiaji damu. Ndugu zetu hospitali wanauhitaji na damu sana. Ukiweza kuchangia damu, ninakuomba ufanyehivyo. #ChangiaDamuOkoaMaisha.
@BugandoC
bugando medical centre
2 days
BUGANDO YAENDELEA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA. Washiriki na wawakilishi wa Miss Universe Tanzania 2025 kutoka Kanda ya Ziwa wametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando Leo julai 25, 2025 lengo likiwa kuchangia damu.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
0
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
2 days
Ila Wasukuma๐Ÿ˜€.
@Bosco_Mk
๐๐จ๐ฌ๐ฌ
3 days
Nobody would have believed that a cow stole a motorbike, If it wasn't caught on the Camera ๐Ÿ˜…
0
0
0
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
2 days
Nipate mmoja kaa huyu. Ninamuweka Usagara pale. Yakipita yake ya ma puti na mabati, yanakula shoti yanawaka๐Ÿ˜€.
@NatureChapter
Nature Chapter
2 days
Robot Dog Vs Normal Dog ๐Ÿ• ๐Ÿ˜…
0
0
8
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
2 days
๐Ÿ˜ Kamba.
@OfficialTownkid
KACHERO
2 days
@kirigitim Hiii ndo siku ya kwanza 501 EFE linaingia road DAR - MWANZA, juzi juzi hapo tu ๐Ÿ˜„
Tweet media one
1
0
4
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
2 days
Sema hizi Dragon zikifika, asee watu wa Bonyokwa tutafaidika sana.
Tweet media one
5
1
56
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
2 days
Ni mara 100 nipande G7 za Cash kuliko zile za Mikopo. Hapa mchawi madereva pekee. Akuje tumuuzie angalau wawili wa kuziweka mbele hizo G7. Baada ya mwezi mmoja, za mikopo zinapaki zenyewe.
Tweet media one
3
1
49
@kirigitim
๐Š๐ข๐ซ๐ข๐ ๐ข๐ญ๐ข
2 days
T501 EFE, Chungwa Kuu Iite Kylian Mbape. Imetimiza miaka mitano (5) njiani leo tokea ianze saari zake Dar - Mwanza huku ikiwa na rekodi zifuatazo. โœ”๏ธHaijawahi kutaga. โœ”๏ธHaijawahi kuguswa injini wala gia boksi. โœ”๏ธImekula G7 na I6s zote. โœ”๏ธInasukumwa na vijana wadogo sana.
Tweet media one
31
4
160