fatherfarm_agro
@iharidi
Followers
2K
Following
122K
Media
578
Statuses
7K
Technical Sales Agronomist. Horticultural and other crops specialist. farming ideas & guide e-books writer #owner_fatherfarm agro Yanga fan πΉπΏ
Tanzania
Joined July 2014
Unaenda tembea uonane na wakulima shambani kutazama hali na kubadilishana mawazo, unakuta pest aliepita usiku ni tembo na kiboko π€£π€£π€£ Bunda sio pa kitoto, nchi kavu tembo na viboko ukifuata maji kuna mamba. Kilimo si cha watu lelemama ππ₯π @Mazikuagric
3
2
6
Simba fans ndio mfano halisi wa tofauti kati ya Raha na Furaha π€£π€£π€£ Wana raha sana leo ila furaha hawana, acha tuje tuwaoneshe maana ya Furaha
0
0
3
Kilimo kimenifikisha mwisho huu wa Tanzania. Vijana kabla hamjaoa nawashauri tena Mfike mkoa wa Kagera, msijejutia baadae ππππΉπΏπΉπΏπΉπΏ @Mazikuagric @msakufarm @Nalimasaumu
10
3
20
Kamachumu ndani ndani huko, Mwenge umalize tu ukanda wa Kagera tuwe huru π€£π€£π€£πΉπΏπππ
0
0
5
Ng'ombe anadungwa cc 1 kwa kg25. Vijana wanajidunga mls 5. Mtakufa vibaya sana ππππΉπΏ
4
3
7
Daraja toka enzi ya Mwalimu Tanzania Tanzania Tanzania Sijui nilitaka kusemaje ila hapa kama Burundi aise π
2
0
7
Sikujua kama neno CHUGA ni tusi baya sana kwa WAHAYA, kidogo mzee anitoe meno leo dah Ukiwa kwa wahaya usije tamka neno hili π€£
3
1
8
Naona Azam kawakumbuka wachaga na wahaya, hatimae juice yao nimekutana nayo sokoni hapa KasuluππππΉπΏ Huko kwenu iko hii π€πΉπΏ?
2
0
6
Kichane cha ndizi ni Tsh 500, yaan jero. Niliambiwa mia 5 nikasema nipe 2 kumbe kwa buku ni vichane viwili ndizo 10. Sema tena laki 5 ya Dar ni sawa na laki 5 ya mkoani π€£ @Mazikuagric @PichaNzuri
1
1
9
Tangu 2019 niifahamu Total petrol station basi chaguo la kwanza ni Total. Mafuta bora sijawahi kutana na ya kuchakachuliwa kamwe au yenye maji, sema @TotalEnergies ongezeni mawakala au stations zaidi haswa mikoani ukitoka Mwanza unapata station ya pili Kigoma au Makuyuni Arusha
1
2
7
Ikiwa umewahi kusikia 'WEUSI WA KUNG' AA NA KUPENDEZA' na mpaka leo hujawahi uona. Ushauri wa bure fika Kigoma utaona. π
ππππΉπΏ
3
1
5
365 days watu wako kazini Oct mpaka jan wakati wa mvua za vuli Mar mpaka jun wakati wa mvua za mwaka Jul mpaka oct wakati wa kilimo cha umwagiliaji Hapa ndio penye maharage, karanga, mahindi na mpunga bila kusahau mafuta ya mawese. TATIZO soko la uhakika, #FURSA
2
5
14
Wakulime wa kanda ya ziwa tukutane 88 Mwanza tuyajenge mawili matatu, on my way there. #tukutane88
#tukutaneMwanza
#882025
@msakufarm @Mazikuagric @
2
3
10