Explore tweets tagged as #mtanzaniadigital
@Pandadigitaltz
Panda digital
2 years
Uzinduzi wa jukwaa jipya la Ongea Hub kwa njia ya SMS. Makala kutoka Mtanzaniadigital. Bofya kiunganishi hapo chini kwa taarifa zaidi. https://t.co/4zBbH3Taba #hakihaiuzwi
0
0
2
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
6 months
SERIKALI YAFAFANUA KUHUSU MZAZI ANAYEDAI KUBADILISHIWA MTOTO #MtanzaniaDigital
0
0
1
@pmgaya04
けいし
1 year
Hii ni faida ya tatu ya social media katika kampuni, taasisi au biashara yako. Ukitaka kujua faida zaidi endelea kufatilia page zetu. Like, share & comment #wasafi #wasafi #media #homedecor #graphicdesign #lyerokainvestment #mtanzaniadigital #socialmediamarketing #crownmedia
0
0
1
@pmgaya04
けいし
1 year
Hii ni faida ya nne ya social media katika kampuni, taasisi au biashara yako. Ukitaka kujua faida zaidi endelea kufatilia page zetu. Like, share & comment #graphicdesign #crownmedia #media #mtanzaniadigital #wasafi #socialmediamarketing #cloudsmedia
0
0
1
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
7 months
RAIS @SuluhuSamia: TUMEFANIKIWA KUONDOA NJAA KWA ASILIMIA 100 TANZANIA... #MtanzaniaDigital
0
0
4
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
7 months
DK. SAMIA: TUMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA SEKTA YA AFYA TANZANIA @SuluhuSamia #MtanzaniaDigital
0
0
0
@afya_block
Afya Block
2 years
"Transforming the healthcare Industry, one solution at a time. Explore our services Suit designed for Your Healthcare institution's excellence. 🌟 Join us on the journey to better health! 🚀 #AfyaBlocks #HealthcareRevolution #InnovateWithUs #HealthcareExcellence #mtanzaniadigital
0
1
1
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
4 months
#PICHA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Rais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan aliposhiriki Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa wa mwaka 2025 uliofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete JKCC jijini Dodoma leo Machi 29, 2025. #MtanzaniaDigital
0
0
0
@gazetini
Gazetini
2 years
ametoa wito kwa Wazazi kuwapeleka wototo shule. Rais Dk. Samia amezindua shule hizo wakati wa ziara ya kikazi mkoani Singida ambapo pia amesema Serikali imedhamiria kuboresha elimu na kumuandaa mtoto kuanzia awali mpaka elimu ya juu. @IkuluTanzania #MtanzaniaDigital
0
0
4
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
4 months
Rais Tanzania, Dk. @SuluhuSamia alipotembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato Mkoani Dodoma wakati wa ziara yake Mkoani humo leo Juni 14, 2025. #MtanzaniaDigital
0
0
0
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
7 months
DK. SAMIA: TUJENGE KIZAZI CHA WATOTO WANAOJUA KUJENGA HOJA @SuluhuSamia #MtanzaniaDigital
0
0
1
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
7 months
DK. SAMIA: TUMEPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA WAJAWAZITO @SuluhuSamia #MtanzaniaDigital
0
0
1
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
7 months
#PICHA: Rais @SuluhuSamia katika matukio tofautitofauti aliposhiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha leo Machi 8, 2025. #MtanzaniaDigital
0
0
2
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
7 months
DK. SAMIA: TUMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA USAWA WA KIJINSIA @SuluhuSamia #MtanzaniaDigital
0
0
1
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
7 months
DK. SAMIA: TUMEKARIBIA 80% YA UPATIKANAJI WA MAJI SAFI VIJIJINI @SuluhuSamia #MtanzaniaDigital
0
0
0
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
7 months
DK. SAMIA: TUMEPUNGUZA KIWANGO CHA UMASIKINI KWA ZAIDI YA ASILIMIA 26 @SuluhuSamia #MtanzaniaDigital
0
0
0
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
4 months
ACT Wazalendo ni kuchagua mabadiliko"- Sheikh Issa Ponda. #MtanzaniaDigital
0
0
0
@MtanzaniaNews
Mtanzania Digital
6 months
wa Mjini, Maĥmoud Ali Mahinda, Waziri Kivuli wa Maendeleo ya Wanawake, Watoto na Makundi Maalum katika Baraza Kivuli la Mawaziri la ACT Wazalendo Zanzibar, Halima Ibrahim na Mwanachama ŵa Chama hicho, Badru Adam Ali. #MtanzaniaDigital
0
0
0