king kijo Profile Banner
king kijo Profile
king kijo

@am_joe28

Followers
4,049
Following
1,730
Media
436
Statuses
1,377

Hold the vision, trust the process 💯 || Music blood🎶 Yanga sc || liverpool ||

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
@am_joe28
king kijo
2 months
huyu bacca ni material ya kucheza pale Real Madrid Kwa perez
Tweet media one
6
6
455
@am_joe28
king kijo
3 months
haka kajamaa kasingekuwa kanalewa kangesumbua sana😂😂
Tweet media one
1
10
404
@am_joe28
king kijo
5 months
Mo salah kwenye harakati za kuomba mialiko ya wali😂😂
Tweet media one
0
9
355
@am_joe28
king kijo
3 months
aziz Ki maufunguo 🗝 . hat trick ya assist🎯🎯🎯 goli moja⚽
Tweet media one
0
7
335
@am_joe28
king kijo
3 months
au na sisi tumpeleke gamondi akasome😂😂
Tweet media one
2
3
291
@am_joe28
king kijo
5 months
hapa Congo wameupiga mwingi nimependa creativity yao👌
Tweet media one
9
16
217
@am_joe28
king kijo
3 months
Kwa wale mashabiki uchwara wanojaribu kumkompare paccome na uchafu mwingine wakumbusheni kuwa paccome ndio alifanya simba ikamfungia chama Kwa muda usiojurikana wakamundia na kamati ya uchunguzi
Tweet media one
11
10
145
@am_joe28
king kijo
2 months
tutawapiga kipigo cha mbwa koko alafu tutawapigia na simu😂😂
Tweet media one
0
4
127
@am_joe28
king kijo
3 months
Kuna namna hii mask ya okra inatisha wachezaji wa timu pinzani😂😂
Tweet media one
6
1
125
@am_joe28
king kijo
3 months
Mungu akupi unachotaka, anakupa unachostahili💚💛
Tweet media one
1
7
124
@am_joe28
king kijo
5 months
Happy New Year Blood
Tweet media one
1
3
110
@am_joe28
king kijo
4 months
kabla hujamaliza Kusema kuduuuuuus warabu washachomoa😂😂
Tweet media one
3
3
110
@am_joe28
king kijo
2 months
maisha hayapo fair kabisa😂😂 . Mzungu Mwafrika
Tweet media one
Tweet media two
0
1
90
@am_joe28
king kijo
2 months
Al Ahaly leo jioni tutawapitisha njia ya Bunju tulipoweka bango letu la 5-1😂😂
Tweet media one
Tweet media two
0
2
83
@am_joe28
king kijo
5 months
Baleke challenge . "sasa mayere ameondoka, utawala wa NBC premier league ni wako sema Amina.
Tweet media one
1
3
83
@am_joe28
king kijo
3 months
mara ya mwisho comeback kama hii ilifanywa na Liverpool dhidi ya Barcelona
Tweet media one
1
3
81
@am_joe28
king kijo
4 months
Mchawi wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe
Tweet media one
4
4
76
@am_joe28
king kijo
3 months
chama tunaemjua sisi😂😂
Tweet media one
1
3
78
@am_joe28
king kijo
3 months
kuna ile simu ambayo Gabriel jesus huwa anapiga Kwa ex wake ambae halimtosa kisa hana kitu enzi hizo . Alafu kuna hii simu ambayo Muda anaipiga Kwa Azam ambao waligoma kumwogezea mshahara na kumwabia hatofika popote . simu ipi inakupa nguvu ya kupambana ili uje uwaprove wrong
Tweet media one
Tweet media two
0
3
75
@am_joe28
king kijo
2 months
Doctor wa mpira Kiungo punda
Tweet media one
Tweet media two
1
1
76
@am_joe28
king kijo
3 months
imagine been us💛💚
Tweet media one
2
1
74
@am_joe28
king kijo
3 months
trey nyoni Amecheza mechi yake ya kwanza senior team akiwa na miaka 16 na Siku 243 tu Hivyo inamfanya kuwa ndie mchezaji mdogo Zaidi kuwahi kushiriki michuano ya FA katika historia ya Liverpool . ourown starboy🌟
Tweet media one
2
2
72
@am_joe28
king kijo
2 months
niliwambia mapema tafuteni mishangazi aina ya Ms B hapa unapewa hela na unaramba asali bure😋
Tweet media one
2
2
72
@am_joe28
king kijo
5 months
kocha anaenda Afcon kutafuta uzoefu utazani atadumu na stars miaka yote😂😂
Tweet media one
3
2
69
@am_joe28
king kijo
7 months
Salah kapiga chuma 4 kwenye ushindi wa goli 6 D.Nunez kapiga chuma 1, Uruguay wakiwapiga Argentina L. Diaz kapiga chuma 2 mbele ya Vini Jr na G. Martinelli😂😂😂 . We are Liverpool 😇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
6
70
@am_joe28
king kijo
2 months
Good morning Kwa timu ambazo hazijaruhusu wavu wao kutikiswa
Tweet media one
2
3
70
@am_joe28
king kijo
4 months
hakika kimepigwa, bonge moja la mechi🔥🔥
Tweet media one
2
0
67
@am_joe28
king kijo
2 months
leo gamondi Kacheza kimbinu sana kongole kwake🙌 hatua ya kwanza ni kutokuruhu bao💪
Tweet media one
0
1
66
@am_joe28
king kijo
2 months
aligeuka akanambia Simba tunacheza Mpira mzuri kuliko Mamelord😂😂
Tweet media one
1
0
68
@am_joe28
king kijo
4 months
mbali na kufugwa Ivory cost wana Watu bana😂😂
Tweet media one
Tweet media two
3
2
60
@am_joe28
king kijo
4 months
man u is still producing memes, after maguire now is onana😂😂
Tweet media one
1
1
59
@am_joe28
king kijo
5 months
Sis hao
Tweet media one
0
0
55
@am_joe28
king kijo
5 months
Konkoni kakosa namba yanga, alafu anaenda kucheza ulaya Kwa mkopo . Kweli maisha hayana fomula🙌
Tweet media one
8
4
58
@am_joe28
king kijo
5 months
ukishinda, wananchi tumeshinda
Tweet media one
1
2
56
@am_joe28
king kijo
4 months
Kupata pesa kidogo tu ya maji ushanza kutuona vijana wenzako hatujitumi
Tweet media one
0
2
54
@am_joe28
king kijo
5 months
Ni Siku nyingine tena ya kupambania ndoto zetu Morning X fam
Tweet media one
2
1
56
@am_joe28
king kijo
5 months
Thanks for the gift of happy new year
Tweet media one
0
1
56
@am_joe28
king kijo
3 months
sasa itakuwaje😂😂
Tweet media one
3
1
56
@am_joe28
king kijo
2 months
sikia chama usije tena ukaomba juice Kwa warabu leo hatutaki aibu round hii😂😂
Tweet media one
0
3
57
@am_joe28
king kijo
2 months
ko baby Mama ako ndio alikuzaa😂😂
Tweet media one
0
1
56
@am_joe28
king kijo
3 months
umetimia mwaka sasa tangu tumkande wanitesa united goli saba mtungi😂😂
Tweet media one
0
3
55
@am_joe28
king kijo
3 months
kelleher Katuokoa sana onesha upendo kwake❤️
Tweet media one
1
1
56
@am_joe28
king kijo
5 months
sasa Yanga hizi sifa yani walowakanda makolo hamsa bado wapo alfu mnaongeza tena na hiki chuma🙌😂😂
Tweet media one
1
0
54
@am_joe28
king kijo
4 months
binadamu tumeumbiwa kusahau😂😂
Tweet media one
1
3
52
@am_joe28
king kijo
2 months
kwahiyo nikileta nzi mjane ntafanikiwa kumpata rihanna😂😂 . shusha uongo unaoujua wa waganga👇
Tweet media one
5
3
52
@am_joe28
king kijo
3 months
kabla ya jua kuzama utaona mengi yaliyofungwa kwako we yatafunguliwa🙏
Tweet media one
1
1
51
@am_joe28
king kijo
5 months
wakaona isiwe tabu nao wameleta muIvory Coast😂😂
Tweet media one
2
0
52
@am_joe28
king kijo
4 months
Mwamba kabisa Ivan Toney leo amemaliza adhabu yake ambapo alifungiwa Kutokana na kujihusisha na maswala ya kubeti . Welcome back to pitch 🔥🔥
Tweet media one
0
0
52
@am_joe28
king kijo
3 months
No liverpool fans can Scroll this without Dropping some like for Darwin Nunez ❤️❤️
Tweet media one
1
1
50
@am_joe28
king kijo
3 months
ila chama akikutanaga na vibonde huwa anakuwa paccome mtupu
Tweet media one
2
1
50
@am_joe28
king kijo
5 months
Chelsea squad against Middlesbrough😂😂
Tweet media one
2
1
51
@am_joe28
king kijo
4 months
medali ya CAF sio ya Kila mtu wala sio ya Kila timu😂😂
Tweet media one
1
0
47
@am_joe28
king kijo
7 months
@CrewsMat10 Messi is the only player to graduate football and wear cloak 🤝
Tweet media one
0
1
45
@am_joe28
king kijo
2 months
Licha ya mwakarobo kuwa ndio timu pekee ikiyokandwa robo fainali, pia ndio timu iliyokandwa bao la mapema kabisa Dakika ya5 yalikuwa yashachomekwa😂😂
Tweet media one
1
0
48
@am_joe28
king kijo
3 months
kwahiyo kwenye yale magoli 6 kolozidad walowafunga kina JB caf wamekosa hata goli1 la kuingia kwenye best group stage goals😂😂😂😂
Tweet media one
1
0
48
@am_joe28
king kijo
5 months
Uliumia ulipoanguka? Hakika unaonekana ulianguka kutoka mbinguni
Tweet media one
0
6
46
@am_joe28
king kijo
3 months
Nunez to score🔥🔥
Tweet media one
0
1
46
@am_joe28
king kijo
5 months
ndo mana sisi yanga tukajivunja mapema tu hatuwezi beba kombe lenye lawama na manung'uniko kiasi hiki😂😂
Tweet media one
1
4
46
@am_joe28
king kijo
4 months
ukimtoa bacca, Manula na Mwamnyeto wachezaji wengine wote wa taifa stars ni mashoga
Tweet media one
4
1
45
@am_joe28
king kijo
5 months
Kwa niaba ya mashabiki wote wa liverpool tunaomba radhi Kwa ushindi mwembamba
Tweet media one
0
0
44
@am_joe28
king kijo
4 months
njia pekee ya kuwaokoa iPhone users na changamoto ya umeme
Tweet media one
2
2
46
@am_joe28
king kijo
5 months
Top 3 ya watanzania maarufu wanaoshabikia liverpool thread👇 . 1. Alikiba Kupitia Enterview ambayo alifanya nchini Kenya kwenye kituo cha media cha radio jambo, aliweka wazi kuwa yeye ni shabiki wa liverpool na hata kuna baadhi ya post zake Akionesha proud to be liverpool fan
Tweet media one
7
1
45
@am_joe28
king kijo
4 months
hao virasta FC hawatoamini kitakacho wakuta
Tweet media one
2
1
46
@am_joe28
king kijo
2 months
Mfate Al Ahaly na chuma 3 utakuja kunishukuru badae
Tweet media one
2
0
45
@am_joe28
king kijo
5 months
Hatimaye forward tapeli jana limefunga ko sahivi linalingana magoli ya EPL na kipa wetu Allison Becka😂😂
Tweet media one
0
3
40
@am_joe28
king kijo
5 months
ko Chelsea jana walishindwa kabisa kufanya comeback kama hii kwa katimu ka championship😂😂
Tweet media one
1
1
42
@am_joe28
king kijo
2 months
haikuwa Siku nzuri kazini We will back strong 💪 💚💛
Tweet media one
0
3
44
@am_joe28
king kijo
5 months
ni Siku nyingine tena ya kuteseka Kwa mashabiki wa manyuu😂😂
Tweet media one
0
0
43
@am_joe28
king kijo
3 months
Manyuu fans they are ready for onana futiweki😂😂
Tweet media one
1
1
43
@am_joe28
king kijo
4 months
lakini mganga si ulituambia tukileta shombe shombe wa ulaya tutashinda mpaka tumeleta mwenye nywele kama za halland lakin wapi
Tweet media one
1
1
40
@am_joe28
king kijo
4 months
unamuacha paccome na Wilfred Zaha alafu unapeleka matapeli😂😂
Tweet media one
2
0
41
@am_joe28
king kijo
5 months
Mlioangalia hii gemu wale wazungu tulioletewa yaliyomo yamo?
Tweet media one
0
0
42
@am_joe28
king kijo
3 months
that Nunez chop🔥🔥
Tweet media one
3
1
42
@am_joe28
king kijo
3 months
njooni tuwacheke wanitesa united😂😂
Tweet media one
0
0
43
@am_joe28
king kijo
4 months
kama kweli ataondoka tutakuwa tumepoteza bonge moja la kocha
Tweet media one
2
1
41
@am_joe28
king kijo
5 months
Mungu hakupi unachotaka, anakupa unachostahili tuzidi kupambana tusikate tamaa Morning X fam
Tweet media one
0
1
40
@am_joe28
king kijo
3 months
the best coacher in the universe💪
Tweet media one
0
1
42
@am_joe28
king kijo
2 months
nipo nangalia marudio ya simba naona wanarudia makosa yale yale washapigwa chuma cha kwanza😂😂
Tweet media one
0
3
42
@am_joe28
king kijo
5 months
mwanaume hauna hela, hauna ndevu, na bado hauna sauti ya jaivah😂😂
Tweet media one
0
1
41
@am_joe28
king kijo
4 months
haka katoto kanafanya utu uzima uonekane sio dawa😂😂 haka Thiago silva kanamuita mjomba😂😂
Tweet media one
2
1
41
@am_joe28
king kijo
5 months
baby toka niwe na wewe wananambia nimezidi kuwa handsome😂😂
Tweet media one
1
1
38
@am_joe28
king kijo
4 months
maguire wa kibongo
Tweet media one
1
2
39
@am_joe28
king kijo
5 months
Mayere alimkimbia baleke😂😂
Tweet media one
3
0
39
@am_joe28
king kijo
5 months
habari za asubuhi familia
Tweet media one
0
1
37
@am_joe28
king kijo
5 months
kale kafeeling Baada ya Kukumbuka mto unao ukumbatiaga umeufua ni msafi
Tweet media one
0
0
39
@am_joe28
king kijo
4 months
wanaume tukingia kikao cha mwisho cha kuamua hatima ya valentine day😂😂
Tweet media one
1
1
39
@am_joe28
king kijo
2 months
mpaka Umri huu hauna mtoto hukuletwa duniani uje uzurure uliletwa uje uijaze dunia😂😂
Tweet media one
1
0
39
@am_joe28
king kijo
7 months
arsenal kawekwa tayari. Wawekezaji mikeka bado inapumua? 😂😂
Tweet media one
2
1
37
@am_joe28
king kijo
2 months
vitu viwili sijawahi kuvipost social media 1. Pesa 2. Mahusiano sio Kwa sababu nimekua, ila ni sababu sina😂😂
Tweet media one
0
2
38
@am_joe28
king kijo
5 months
Kale kafeeling Baada ya kupata mwaliko😂😂 Leo siinami wakuu😂
Tweet media one
1
0
36
@am_joe28
king kijo
5 months
Morning X fam
Tweet media one
1
2
36
@am_joe28
king kijo
5 months
@Neypaul01 🔥🔥
1
1
37
@am_joe28
king kijo
4 months
mpeni mji kijana wenu au tumpeleke fesibuku😂😂
Tweet media one
2
2
35
@am_joe28
king kijo
3 months
azam wametumia mechi nne kukaa kileleni alafu kaja yanga katumia mechi moja tu kumshusha azam😂😂 . Football humiliation😂😂
Tweet media one
1
0
36
@am_joe28
king kijo
4 months
nasikia fumbo khan alipata mchongo wa Kupiga Enterview kwenye private company na akafeli sasa umuhimu wa GPA ya 4 uko wapi kama unafeli Enterview
Tweet media one
6
4
35
@am_joe28
king kijo
4 months
saa 5 mkiwa mnateswa na taifa stars mimi ntakuwa zangu naliangalia chama langu lisilo kera mashabiki wake Kupanga ni kuchagua😂😂
Tweet media one
3
1
33
@am_joe28
king kijo
5 months
wanitesa United ishanza kuwatesa mashabiki wake boxing day 😂😂
Tweet media one
0
0
34
@am_joe28
king kijo
3 months
I expect trey nyoni apate dakika kwenye mechi ya leo dhidi ya Southampton . our own youngstar🌟
Tweet media one
1
0
35
@am_joe28
king kijo
7 months
Kati ya Mbappe na Koundé yupi anaongoza kutupia?
Tweet media one
Tweet media two
5
1
34
@am_joe28
king kijo
6 months
Bacca Day tunenda tumevaaje? 😂 😂
Tweet media one
1
0
35