@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 months
Tuliingoja sana siku hii. Tumekumbushana - inawezekana kuishi kwa kuheshimiana na kusikilizana. Aluta continua.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
94
340
2K

Replies

@Sativa255
SATIVA17
5 months
@TitoMagoti Umewakilisha wasomi wote nchini. Umetisha Kaka Tito.
1
0
13
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 months
@Sativa255 Mwanangu sana ED - pamoja manπŸ’ͺ🏽
2
0
8
@NajjatOmar
Odo
5 months
@TitoMagoti Nilikuona mbele nikasema huyu ni Tito mbona nywele zake kama chakram kumbe kweli πŸ˜…πŸ˜…
1
0
1
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 months
@NajjatOmar Hujaona ndevu au bado sana?😁😁
1
0
6
@Zendajr2
Emmatinny19
5 months
@TitoMagoti Learned Counsel Safi sana Champ!
2
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 months
@Zendajr2 Bingwa🀝
0
0
1
@aasyah__
Asyah Islam-Lavish Cakes
5 months
@TitoMagoti Huyo ni wewe? πŸ˜‚
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 months
@aasyah__ Nakuheshimu sana Asyah ujue😁😁
1
0
0
@DavidMpilipili
Dave Mpilipili
5 months
@TitoMagoti Braza braza
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 months
@DavidMpilipili My brother πŸ™ŒπŸΌ
1
0
1
@fredkavishe
Fred Kavishe
5 months
@TitoMagoti 🀝
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 months
@fredkavishe 🀝🀝
1
0
1
@GGalawika
Director Gh_De_Classic
5 months
@TitoMagoti Kuna watu wanasambaza picha zako ukiwa na kitambi wakati hizi hauna, sasa naamini kuna watu wanakuhujumu kaka πŸ˜‚ Hili naendelea nalo kulifanyia uchunguzi lazima waseme kwann wanaedit?
1
0
5
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 months
@GGalawika Ni edits na hujuma. Ni watu wasiolitakia mema taifa hili na watu wake.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
2
0
9
@Nice_Gisunte
Nice Gisunte
5 months
@TitoMagoti Kaka hata picha na wewe leo ni kitu ya kuninyima kweli na furaha yote tuliyokuwa nayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1
0
3
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 months
@Nice_Gisunte Na tulikuwa bega kwa bega.. shame on usπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1
0
4
@ChixxMr
NyanguLo
5 months
@TitoMagoti Sema nini, nuff rispec gwaan fi yuh man,You are voice of voiceless JAH bless yuh all di deyz
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 months
@ChixxMr Maa Nigga🀝πŸ’ͺπŸ½πŸ™πŸ½
0
0
1
@jajurombo
JaJu
5 months
@TitoMagoti Homeboy kumbe ulisharudi mjini asee, nlidhani bado uko kwa Malkia.....Hongereni kwa utii wa sheria na kuandamana kwa amani homeboy...Mmeenjoy tafsiri halisi ya 4Rs au vipi homeboy
1
0
0
@TitoMagoti
Tito Magoti, PG
5 months
@jajurombo Acha hizo blah blah za kimataga my brother.
2
1
2